Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 14

Daily Archives: March 14, 2019

UJUMBE WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI KANDA YA AFRIKA WAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Shirika la nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Prof. Shaukat Abdulrazak akizungumza na uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar ulioongozwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Asha Ali Abdalla (kushotoni kwake). Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Nguvu Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Lazaro Busagala akisisitiza jambo katika mkutano uliowashirikisha …

Read More »

MTAMBO WA KUCHAKATA ASALI WAFUNGWA WILAYANI MANYONI

index

Mtendaji Mkuu wa TFS Profesa Dos Sontos Silayo akiangalia mitambo ya kuchakata asali iliyofungwa wilayani Manyoni mkoani Singida Mitambo ya kuchakata asali ambayo imefungwa katika kiwanda cha TFS wilayani Manyoni,mkoani Singida …………………….. Mwandishi wetu WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida. Akizungumza …

Read More »

WATOTO NJITI HATARINI HOSPITALI YA RUFAA NJOMBE

unnamed

NJOMBE  Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe Kibena imekiri kukabiliwa na changamoto ya chumba cha kuhifadhia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati(NJITI) hatua ambayo inailazimu hospitali hiyo wakati mwigine kuhifadhi watoto zaidi  ya  20 katika chumba kimoja kilichopo chenye uwezo wa kubeba watoto wanne. Kutokana na hali hiyo serikali mkoani …

Read More »

UFAHAMU MDOGO CHANZO CHA UKEKETAJI

Pix 1

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu Maendeleo ya Jamii) Bw. Atupele Mwambene akizungumza na wadau wa kupinga ukeketaji nchini wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wadau hao jijini Dodoma kujadili Mkakati wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukeketaji. Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya …

Read More »

WADAU WA NISHATI WAPANGA KUTATUA TATIZO LA UMEME

IMG-20190314-WA0039

Wadau wa Nishati kutoka sehemu mbalimbali wakifuatilia mjadala wa kutatua mapungufu yaliopo katika sekta ya Nishati.  Kaimu Kamishina Msaidizi wa nishati jadidifu wizara ya Nishati Edward Leornad Ishengoma akiendesha mkutano.  ……………………… Na Emmanuel Mbatilo Wadau wa nishati kutoka katika nchi mbalimbali kushirikiana na Wizara ya Nishati hapa nchini wamekutana kwa …

Read More »

TANZANIA YAPIGA HATUA UWEZESHAJI WANAWAKE

PIX 1

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akiwa katika katika Mkutano Mkuu wa 63 Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani unaoendelea katika jiji la New York nchini Marekani. ………………..   Na Mwandishi Wetu – New York Marekani Tanzania ni nchi mmojawapo duniani iliyofanikiwa …

Read More »

LUKUVI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU WIZARA YA ARDHI JIJINI DODOMA, HUKU AKIWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA WELEDI

lukuvi (2)-min

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Dorothy Mwanyika akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa maelezo ya mwanzo kabla ya ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika mjini Dodoma. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika jijini …

Read More »

TAMTHILIYA MPYA YA WAARIS KUONYESHWA KWENYE STARTIMES SWAHILI

GY3A09120

Meneja masoko wa Startimes Davis Malisa  akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kuonesha tamthiliya mpya ya kihindi iliyotafasiriwa na kuingiziwa sauti za Kiswahili itakayokuwa inaoneshwa kupitia kwenye kingamuzi cha Startimes leo uliofanyika katika ukumbi wa sinema uliopo mlimani City jijini Dar es Salaam. ……………. Dar es salaam, …

Read More »

Vyeti vya kuzaliwa Sasa kwa Mtendaji Kata

thumb_856_800x420_0_0_auto

  MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amesema Halmashauri hiyo itahakikisha watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano wanasajiliwa kwa ajili ya kupatiwa vyeti vya kuzaliwa bure kutokana na umuhimu wa nyaraka hiyo ambayo kuanzia tarehe 15 Machi, 2019 itaanza kutolewa katika Ofisi zote za Kata …

Read More »

MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA STARTIMES WALETA BEBA BEBA

unnamed

Meneja Masoko wa Kampuni ya StarTimes Tanzania Bw. David Malisa akizungumza wakati wa kutangaza Promosheni ya Pasaka ………………………… Dar es salaam, Kuelekea msimu wa siku kuu ya Pasaka Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes wametangaza Promosheni na Ofa kubwa msimu huu wa siku kuu ya pasaka ambapo …

Read More »

Serikali ya Zanzibar kujenga hospitali mithili ya Mloganzila

004 (2)

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdulla (aliyevaa mtandio wa bluu) akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na Upanga mara baada ya kuwasili Mloganzila kwa ziara maalum ya kujifunza. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili Prof. Lawrence Museru. Mhandisi wa mitambo katika Hospitali …

Read More »

MIGOGORO YA ARDHI YAMRUDISHA WAZIRI LUGOLA MKOANI MOROGORO

PICHA-WAZIRI LUGOLA 1

wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugolawa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ………………………………………………………………………………. Na Felix Mwagara, MOHA. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola anatarajia kuwasili kwa mara nyingine Mkoani Morogoro leo, kwa ajili ya kutatua migogoro ya ardhi ambayo imeibua mifarakano baina ya wananchi …

Read More »

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA WIZARA YA MADINI

m2

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Danstan Kitandula wa kwanza kushoto akisikiliza maelezo ya ujenzi wa jengo la taaluma la chuo cha Madini (MRI) kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Chuo Fredrick Mangasini wa kwanza kulia na wapili yake ni Waziri wa Madini Mhe. Doto …

Read More »

Acacia yazungumza na Serikali kunusuru Mgodi usifungwe

IMG_20190312_174609_7

Waziri wa Madini Doto Biteko akiwa na Viongozi wa Kampuni ya Acacia wa mgodi North Mara, ofisini kwake jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Mara, Agness Marwa. ………………………………………………………………………………… Na Issa Mtuwa, Dodoma Uongozi wa Kampuni ya Acacia kupitia Mgodi wa North Mara umezungumza na Serikali kuelezea …

Read More »