Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / LUKUVI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU WIZARA YA ARDHI JIJINI DODOMA, HUKU AKIWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA WELEDI

LUKUVI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU WIZARA YA ARDHI JIJINI DODOMA, HUKU AKIWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA WELEDI

katibu (1)Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Dorothy Mwanyika akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa maelezo ya mwanzo kabla ya ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika mjini Dodoma.

lukuvi (2)-min

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika jijini Dodoma

mshikamano (3)-min

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi (wa tatu kutoka kulia) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wizara ya ardhi kabla ya ufunguzi wa baraza hilo jijini Dodoma

ukumbini (4)-min

Baaddhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi Wizara ya Ardhi wakifuatilia mada ya ufunguzi iliyotolewa na Waziri Lukuvi alipokuwa akifungua kikao cha baraza hilo jijini Dodoma.

pamoja(5)-minWajumbe wa baraza la wafanyakazi Wizara ya Ardhi katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi jijini Dodoma.

(PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA ARDHI)

About Alex

Check Also

WAKITAZAMA

Waziri Biteko Asema Wizara Iko Tayari kuwahudumia Watanzania kutokea Ihumwa

Muonekano wa Jengo la Wizara ya Madini linalojengwa katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa.  …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − eighteen =