Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA TPB BENKI TAWI LA DODOMA

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA TPB BENKI TAWI LA DODOMA

V25A1391

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward Mlowo (katikati) alipomtembelea leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis Salehe

V25A1409

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward Mlowo (katikati) walipomtembelea leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis Salehe

V25A1440

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward Mlowo (kulia), Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis Salehe (kushoto) walipomtembelea leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About bukuku

Check Also

WAKITAZAMA

Waziri Biteko Asema Wizara Iko Tayari kuwahudumia Watanzania kutokea Ihumwa

Muonekano wa Jengo la Wizara ya Madini linalojengwa katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa.  …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

7 − three =