Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 15

Daily Archives: March 15, 2019

MLOGANZILA YAPATIWA MSAADA WA VIFAA TIBA

001

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru, (wa pili kutoka kushoto) akipokea msaada wa vifaa tiba kutoka kwa Prof Sang Lyun Nam, (kulia) ni Prof. Seung –Kon Huh wa Korea Kusini. kushoto ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mloganzila Dkt. Julieth Magandi akishuhudia makabidhiano …

Read More »

WASOMI NCHINI KUANDIKA HISTORIA UPYA HISTORIA YA UKOMBOZI WA TANZANIA

5

Nyumba ambayo wanaharakati wa kudai Uhuru nchini kutoka Wilayani Urambo walikuwa wakiendeshea vikao vyao vya siri na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mratibu wa Programu yaUurithi wa Ukombozi wa bara la Afrika Ingiahedi Mduma akijibu hoja mbalimbali kwenye  mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na …

Read More »

ARSENAL YAPEWA NAPOLI ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

179338251JD00013_Arsenal_v__crop_north

Arsenal itamenyana na Napoli, Chelsea na Slavia Prague katika Robo Fainali ya Europa League  EUROPA LEAGUE DRAW QUARTER-FINAL DRAW Napoli vs Arsenal Villarreal vs Valencia Benfica vs Frankfurt Slavia Prague vs Chelsea       SEMI-FINAL DRAW  Napoli/Arsenal vs Villarreal/Valencia Benfica/Frankfurt vs Slavia Prague/Chelsea     TIMU ya Arsenal ya England itamenyana …

Read More »

TUGHE MKOA WA TEMEKE WATOA MSAADA KWA YATIMA WA KITUO CHA HIARI

_MG_8616

Wafanyakazi wa  Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wa Mkoa wa Temeke, wakiwa wamewabeba watoto Yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari kilichopo Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam  walipokwenda kutoa msaada leo wa vyakula na vitu mbalimbali zikiwemo nguo ikiwa ni moja ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofikia tamati …

Read More »

AUAWA WAKATI AKIJARIBU KUPORA PIKIPIKI

AAA

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI OMARY Abdallah maarufu Mboweto (50) mkazi wa Kagera ,Dar es salaam aliuawa na watu waliojichukulia sheria mkononi ,kijiji cha Malale kata ya Vihingo, Mzenga Kisarawe mkoani Pwani,baada ya marehemu akiwa na washirika wenzake wawili kufanya jaribio la kupora pikipiki huko Maneromango. Kamanda wa polisi mkoani Pwani, …

Read More »

RC Wangabo aonya vitendo vya Rushwa baraza la Ardhi Sumbawanga

IMG_7520

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. joachim Wangabo (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa baraza la ardhi la Wilaya ya Sumbawanga Bi. Frida Chinuku muda mfupi baada ya hafla ya kiapo cha mmoja wa wajumbe wa baraza hilo.  ……………………………………………………………………. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametahadharisha vitendo vya kuchelewesha …

Read More »

MIUNDOMBINU WEZESHI MRADI WA RUFIJI YAKAMILIKA

RU4

Waziri wa Nishadi Dk. Merdald Kalemani akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors na Elsewed Electric juu ya ujenzi wa miundombinu wezeshi katika kutekeleza mradi wa Stiegler’s Gorge katika bonde la mto Rufiji. Hii ni miundombinu inayojengwa kabla ya kuanza kwa ujenzi wa  mradi wa Stiegler’s Gorge bila …

Read More »

ASILIMIA 80 YA WANANCHI SIMIYU KUTUMIA BIMA YA AFYA

PICHA 1

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na viongozi wa Vyama vya Ushirika vya Msingi (AMCOS)mkoani humo katika Jukwaa la Ushirika Afya Mkoa wa Simiyu lililofanyika kwa lengo la kujadili namna wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Msingi (AMCOS) wanavyoweza kujiunga na Bima ya afya na kupewa kadi …

Read More »