Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SOKO/STENDI YA MABASI DODOMA

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SOKO/STENDI YA MABASI DODOMA

PIC1

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akiwaongoza wajumbe wa Kamati hiyo kukagua maendeleo ya ujenzi wa Stendi kuu ya Mkoa wa Dodoma pamoja na Soko hii leoJijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

PIC 2

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Ndg. Kunambi (kushoto) Kamati hiyo ilipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kupokea taarifa za utekelezaji wa miradi ujenzi wa Stendi kuu ya Mkoa pamoja na Kituo kikuu cha Mabasi cha Mkoa wa Dodoma hii leoJijini Dodoma. (Picha na Ofisiya Bunge)

About Alex

Check Also

WAKITAZAMA

Waziri Biteko Asema Wizara Iko Tayari kuwahudumia Watanzania kutokea Ihumwa

Muonekano wa Jengo la Wizara ya Madini linalojengwa katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa.  …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × 2 =