Saturday , March 23 2019

Home / 2019 / March / 16

Daily Archives: March 16, 2019

KAMATI YA UONGOZI CUF WAMEMCHAGUA KHALIFA KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA

IMG-20190316-WA0050

Katibu mkuu wa chama cha wananchi Cuf Mh. Khalifa Suleiman akiongea baada kushinda katika kinyang’anyilo cha Katibu mkuu wa Cuf.  Naibu katibu mkuu wa chama cha Wananchi Cuf Magdalena Sakaya akiliongelea suala la ushindi wake  ……………………….. NA Emmanuel Mbatilo Kamati ya uongozi wa baraza kuu la uongozi wa chama cha …

Read More »

WAKANDARASI ACHENI KULIPUA KAZI ZINGATIENI VIWANGO-MAJALIWA

AA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mamantilie Asha Livembe (aliyesimama) na Asha Mluki (kushoto) baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 (Picha na Ofisi ya …

Read More »

WAGONJWA WATANO WAPANDIKIZWA FIGO BENJAMIN MKAPA

FV0A1874

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (Wakwanza kushoto) akiwa katika kikao na Madaktari bingwa kutoka shirika la Tokushukai kutoka nchi ya Japan baada yakufanikisha upandikizaji wa figo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma. Picha ya pamoja ikiongozwa …

Read More »

KONGAMANO LA KUIMPONGEZA RAIS SHEIN

8

Sehemu ya Waliohudhuria Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi lililofanyika kwenye hotel ya Verde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Sehemu ya Waliohudhuria Kongamano la UWT la kumpongeza …

Read More »

Waziri Lukuvi azindua mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, Asema wenye tija hawaonekani kwasababu tu hawako karibu na wakubwa.

1

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wadau wakati akizindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo. ………………………………………………………………………………………… …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AFUNGUA SEMINA YA KITAIFA KUHUSU MASUALA YA ARDHI NA RASILIMALI ZISIZOREJESHEKA ZANZIBAR

IMG_0499

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Semina ya Kitaifa Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka  Zanzibar, ikiwashirikisha Wadau wa Ardhi na Sheria , inliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni , leo 16-302019. WAZIRI …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UGANDA AMBAYE NI MJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1A

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa ambaye pia ni mjumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

DKT. NDUGULILE – “WATUMISHI TUISHI KWA UPENDO

1A

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akiongea na Watumishi wa Sekta ya Afya, katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi kujadili bajeti ya Wizara ya Afya uliofanyika katika ukumbi wa Mipango Jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya …

Read More »

MKUU WA OPERESHENI NA MAFUZO YA JESHI LA POLISI, KAMISHNA LIBERATUS SABAS, AFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KWA WAKAGUZI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU KILICHOPO MKOA WA MOROGORO

B

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo Ndani ya Jeshi la Polisi, CP Kamishna Liberatus Sabas akipokea salamu kutoka kwa Askali wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili chuo cha Mafunzo ya Polisi Kidatu ziara yake hiyo ni kwaajili ya kufunga mafunzo ya utayari kwa Wakaguzi yaliofanyika takribani kwa miezi miwili. Mkuu …

Read More »

TAA WAJIDHATITI NA UENDESHAJI WA JENGO LA TATU LA ABIRIA

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia Sekta ya  Ujenzi, Elias Kwandikwa (kulia), akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege kutoka Wizarani, Eng. Emmanuel Raphael, wakati Kamati Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ilipofanva ziara katika jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa …

Read More »