Friday , October 19 2018

Home / Alex

Alex

WAZIRI MKUU AMKABIDHI WAZIRI JAFO ORODHA YA WATUMISHI

PMO_9061

*Ni wa halmashauri ya wilaya ya Bahi waliogoma kuhamia kituo cha kazi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Selemani Jafo orodha ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ili awachukulie hatua baada ya kugoma kuhamia katika kituo chao cha kazi na kuendelea kuishi jijini Dodoma.   …

Read More »

UJERUMANI KUFADHILI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2019

DSC007

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Waechter akibadilishana nyaraka za mkataba wa ufadhili na Mheshimiwa Simai Mohamed Said (Mwakilishi Jimbo la Tunguu),  Mwenyekiti wa  Bodi ya Wadhamini ya Busara Promotion katika Ubalozi wa Ujerumani Dar es Salaam jana Oktoba 18,2018. Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Waechter akiagana …

Read More »

MAREKANI YAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson

Na Grace Semfuko –MAELEZO Serikali ya Marekani imesema inatambua juhudi za Serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali yatasaidia kufikia Uchumi wa kati na wa Viwanda. Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt Inmi Patterson amesema kufuatia juhudi hizo Serikali yake inaungana …

Read More »

RAIS MAGUFULI AICHANGIA TAIFA STARS MIL.50

2

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameichangia timu ya Taifa ya   mpira wa miguu (Taifa stars) kiasi cha fedha shilingi milioni 50, ambazo zitatumika katika maandalizi ya wachezaji hao ambao wanatarajia kuwa na mechi dhidi ya timu ya Lesotho. Akizungumza  leo …

Read More »

DAWASA Yajipanga kuongeza Mapato Yake kufikia Bilini 12

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza na wananchi wakati wa kukabidhi miradi ya maji ya Charambe na Kibonde maji Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya hatua zinazochukuliwa katika kuimarisha huduma hiyo kwa wananchi. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikata utepe kuzindua miradi ya maji …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BUNGE LA CHINA

PIC 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mgeni wake Mheshimiwa Prof. Lou Jiwei ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China (CPPCC) alipomtembelea hii leo na kufanya nae mazungumzo kwenye Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na …

Read More »

PROFESA MBARAWA AKERWA NA WAKANDARASI WABABAISHAJI

1

Mhandisi wa Maji Wilaya ya Nanyamba, Moses Msuya akimuonyesha Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa mpango ya utekelezaji wa mradi wa Nanyamba-Mlanje. Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akikagua matenki ya mradi wa Nanyamba-Mlanje katika Wilaya ya Nanyamba, mkoani Mtwara. Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwa kwenye mradi wa …

Read More »

Onesho la Tigo Fiesta Latua Moshi na Ofa kabambe ya Data Kama Lote Inayowapa Wateja Hadi Mara Mbili ya Thamani Ya Intaneti Watakayonunua Kutoka Tigo

Rosa

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo  jinsi wapenzi wote wa muziki mjini Moshi watakavyofurahia promosheni tatu murwa katika msimu huu wa vibes. ‘Data Kama Lote inawapa wateja hadi mara mbili ya vifurushi vya intaneti watakavyonunua kupitia menu iliyoboreshwa ya *147*0#. Pembeni yake …

Read More »

MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA

GAMBA2

MTANGAZAJI wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili (DW) ya Ujerumani, Isack Gamba amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwake chini humo. Mmoja wa marafiki zake amesema  jana Gamba hakuonekana kazini kuanzia siku ya Jumanne ndipo leo  walienda kutoa taarifa polisi, waliofika nyumbani kwake na kuvunja mlango wakamkuta Gamba ameshafariki dunia.” Akiwa nchini, Gamba …

Read More »