Tuesday , March 26 2019

Home / Alex (page 10)

Alex

MAKAMU WA RAIS AKICHANGIA MADA KWENYE MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

22

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia mada katika masuala ya kuboresha biashara huria barani Afrika wakati wa hitimisho la mkutano wa Africa Now Summit 2019 jijini Kampala, Uganda. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) …………………………………………………………………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya …

Read More »

TAA Yasaidia Madrasat Istiqama Misahafu

????????????????????????????????????

Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakishughudia Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhandisi na Huduma za Ufundi, Mhandisi Mbila Mdemu (kushoto) akikabidhi Katibu wa Madrasa ya Istiqama ya Buguruni, Ghana, Ustaadh Hemed Suleiman moja ya misahafu 29 waliyotoa msaada leo. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha …

Read More »

Nafasi za Masomo na Ajira

DODOMAHEADEDPAPERSWAHILI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Nafasi za masomo na ajira Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwahimiza Watanzania wenye sifa kuomba fursa za masomo na ajira zinazotolewa na wadau mbalimbali duniani. Fursa zilizopokelewa mwezi Machi 2019 ni kama ifuatavyo: i. Mafunzo ya Shahada ya …

Read More »

BAADHI YA WANANCHI WADAI VIGUTA MAMILIONI YA FEDHA

IMG-20190312-WA0010

Baadhi ya picha zikionyesha nyumba za sampo zilizokuwa zikidaiwa kujengewa wananchi kwa gharama nafuu ………………………. NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  WANANCHI zaidi ya 200 mkoani Pwani,wanadai kutapeliwa fedha milioni 185 ,kwa ajili ya kupatiwa viwanja na kujengewa nyumba kwa gharama nafuu kupitia kampuni ya Vicoba group union Tanzania (VIGUTA).  Aidha Chamwino …

Read More »

Prof. Kabudi Akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

URUSI1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Prof. Palamagamba J. Kabudi (Mb)  amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Urusi katika Ofisi Ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, Waheshimiwa Mawaziri  wamezungumzia masuala mbalimbali yaliyolenga …

Read More »

WAUGUZI WASISITIZA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

0002

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini Sista Agnes Mtawa (kushoto) akimkabidhi Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mloganzila Dk. Julieth Magandi kitabu cha maadili na miongozo ya wauguzi na wakunga, leo hospitalini hapo. Mratibu wa leseni na Maadili Sista Jane Mazigo akitoa mada katika mafunzo ya siku …

Read More »

Prof. Kabudi na Dkt. Mahiga Wakabidhiana Ofisi

1H7A0660

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akikabidhi Taarifa ya Makabidhiano ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.  …

Read More »

MGANGA MKUU ASHAURI KUJENGWA KWA HOSPITALI KUBWA NCHINI

001

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Kambi akizungumza kwenye mafunzo ya  kuwawezesha wataalam wa afya kusimamia upumuaji kwa wagonjwa waliolazwa ICU. Mafunzo hayo yanafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Kambi wakati akifungua mafunzo hay oleo. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu …

Read More »

MKUTANO WA AFRICA NOW WAFUNGULIWA LEO JIJINI KAMPALA

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa na mwenyeji wa Mkutano wa Africa Now Summit 2019 Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Rais wa Somalia Mhe. Mohamed Abdullahi Mohamed (kulia) wakati wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano katika hoteli ya …

Read More »

WAZIRI KAIRUKI AMKABIDHI RASMI WIZARA, BITEKO

index

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Angellah Kairuki, amemkabidhi rasmi majukumu ya Uwaziri wa Wizara ya Madini, Doto Biteko katika kikao kilichohudhuriwa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Waziri Kairuki amemshukuru Waziri Biteko kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa Waziri wa wizara hiyo na kueleza …

Read More »

BI.GAUDENSIA ATUA KUSINI UNGUJA

DSC_0247-min

MWENYEKITI wa UWT Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akizungumza na Akina Mama Wajasiriamali wa Jimbo la Peje katika ziara yake Wilaya ya Kusini Unguja. MWENYEKITI wa UWT Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akikabidhi Saruji mifuko 100 iliyotolewa na Wabunge, na Wawakilishi wa Viti Maalum wa Mkoa huo kwa uongozi wa Hospitali ya …

Read More »