Tuesday , March 26 2019

Home / Alex (page 2)

Alex

TANZANIA IMEJAA RAHA, NGOJA NIKUELEZEE

index

Na Emmanuel J. Shilatu 1. Ukimulika idara ya michezo unaiona Taifa Stars ikifuzu AFCON Mwaka huu tangu mara ya mwisho 1980; Kule bondia Mwakinyo akiwakilisha vyema kwenye masumbwi. 2. Ukitazama angani unaona ndege 6 ikiwemo ya Dreamliner ikikata mawimbi nchini na anga za Kimataifa zikiongeza Watalii nchini, zikiimarisha usafiri wa …

Read More »

WAZIRI LUGOLA ASEMA MKOA WA DAR ES SALAAM UNAONGOZA KWA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU NCHINI, AWATAKA WANAOJIHUSISHA KUACHA MARA MOJA BIASHARA HIYO

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Watekelezaji wa sheria ya kuzuia biashara haramu ya kusafirisha binadamu, katika hoteli ya Ngalawa, mjini Unguja, Zanzibar, leo. Lugola ameutaja Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kufanya biashara hiyo, na pia amewataka wanaohusika na …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE ASISITIZA UZALENDO KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Sekta ya Uchukuzi (Hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa kufanya kazi kwa uzalendo, wakati Waziri huyo alipokuwa akifungua baraza hilo, jijini Dodoma, mwishoni mwa wiki. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe …

Read More »

KESI YA MAUAJI YA WATOTO WATATU IMEENDELEA NJOMBE

unnamed

  NJOMBE Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa njombe imeahirisha kesi ya mauaji yawatoto watatu wa familia moja inayowakabili watuhumiwa watatu mkoani humo hadi April 9 mwaka huu. TAARIFA YA JOCTAN MYEFU KUTOKA NJOMBE INASOMWA STUDIO. Kesi hiyo ambayo imesomwa na hakimu mkazi mfawidhi mkoa wa Njombe Magdalena Mtandu imesogezwa …

Read More »

BONDIA IBRAHIMU CLASS AFUDHU VIPIMO SASA RASMI KUPIGANA U.S.A MACHI 30

class super d

Bondia Mtanzania Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akifanyiwa vipimo nchini Marekani kwa ajili ya mpambano wake wa march 30 katika ukumbi wa  Fantasy Springs Casino, Iliyo nchini Marekani. Bondia Mtanzania Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akifanyiwa vipimo nchini Marekani kwa ajili ya mpambano wake wa march 30 katika ukumbi wa  Fantasy Springs …

Read More »

Mhe. Shonza Aviagiza Vyama Vyote vya Kiswahili kujisajili BAKITA

PIX 3

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza jana Mkoani Morogoro wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11 la Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Waisilam Mkoani hapo (MUM). Makamu Mkuu wa Chuo cha Waislam  Morogoro akizungumza …

Read More »

KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TANZANIA KUFUZU AFCON 2019

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli amesema kuwa amefurahishwa mno  na ushindi wa mabao 3-0 ambao timu ya Tanzania ‘ Taifa Stars’  imeshinda dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda na kufuzu kucheza fainali za AFCON nchini Misri Baadaye mwaka huu. Akizungumza kutoka Ikulu jijini …

Read More »

MPINA AWAMWAGIA MABILIONI WAVUVI NCHI NZIMA

_MG_1305

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya  Bunge, Kilimo, Mifugo na Maji, Mahmoud Mgimwa(Aliyesimama) akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina na Mjumbe wa Kamati hiyo Calist Komu   Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina wa …

Read More »