Thursday , January 17 2019

Home / Alex (page 20)

Alex

SIMIYU KUANDAA MWONGOZO WA UWEKEZAJI KWA KILA KIJIJI

PICHA 1

Na Stella Kalinga, Simiyu Mkoa wa Simiyu umejipanga kuandaa mwongozo wa uwekezaji  kwa kila Kijiji na Mtaa utakaobainisha fursa za uwekezaji zilizopo katika kijiji na mtaa husika katika vijiji vyote 471 na Mitaa 92 ya wilaya zote tano za Mkoa huu, ikiwa ni maandalizi ya utekelezaji wa Falsafa ya Bidhaa …

Read More »

NAIBU MWANASHERIA MKUU AZINDUA KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI

IMG_4436-2

Naibu Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Dkt. Evaristo Longopa akizindua Kamati mpya ya Ukaguzi wa Ndani katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika uzinduzi huo Dkt. Longopa amesema Kamati hiyo haitangiliwa katika utekelezaji wa Majukumu yake. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Bw. Waziri Kipacha kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi. …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA WAZIRI MKUU WA MISRI DKT. MOSTAFA MADBOULY WASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 2100 KATIKA MTO RUFIJI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji kati ya Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab Contractors/El Sewedy Electric kushoto …

Read More »

JAFO AWATAKA WAKANDARASI KUONGEZA KASI

index

Waziri Jafo ambaye ni Mbunge wa Kisarawe akiongea na moja ya mkandarasi anayejenga barabara ya Kisarawe – Maneromango kwa kipande cha Kazimzumbwi Waziri Jafo akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya Kisarawe katika ukaguzi wa barabara ya Kisarewe – Maneromango Wakandarasi wakina katika harakati za ujenzi eneo la Kazimzumbwi …………………… Waziri …

Read More »

BAO LA SALAH LAIPELEKA LIVERPOOL 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

1544560791924_lc_galleryImage_Soccer_Football_Champions

  Liverpool imeondoa ile hofu ya mashabiki wake kuhusiana na kutoka mapema katika Ligi ya Mabingwa baada ya kuitwanga Napoli kwa bao 1-0 na kusonga mbele katika michuano hiyo. Bao pekee la Mohamed Salah, mfalme wa Misri limetosha kuiangusha Napoli inayofundishwa na Carlo Ancelotti. Ilikuwa furaha kubwa kwenye Uwanja wa …

Read More »

WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TARURA

2

Waziri Jafo akikagua daraja la Mto Tete wilayani Kisarawe Waziri Jafo akiongea na wananchi wa Vikumburu wakati wa zoezi la ukaguzi wa Barabara Viongozi wakikagua kipande cha barabara katika kijiji cha Korea wilayani Kisarawe ……………………. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI selemani Jafo amewapongeza watendaji Wakala wa Barabara Vijijini …

Read More »

BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA BENKI ZA AKIBA AFRIKA MASHARIKI

BANK (15)

Baadhi ya viongozi wakifuatilia kwa makini mkutano wa mabenki ya akiba Afrika Mashariki. Mkutano huo uliofanyika Zanzibar ulijumuisha wajumbe kutoka benki ya akiba Uganda na Kenya. Dhumuni la mkutano huo ni kujadili changamoto pamoja na fursa mbalimbali zilizopo katika nchi za Afrika Mashariki kupitia benki za akiba nchini humo. Uongozi …

Read More »

KAMATI YA MAADILI TFF YAWAFUNGIA VIONGOZI FA ARUSHA KWA UBADHIRIFU

images

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) iliyokutana Novemba 5 na Novemba 7,2018 ilipitia shauri linalowakabili viongozi 4 wa Chama cha Soka Mkoa wa Arusha (ARFA) wanaotuhumiwa kufanya ubadhirifu wa mapato ya mchezo kati ya Arusha United na Simba Sports Club uliofanyika Jumatano Agosti 15,2018 katika uwanja …

Read More »

DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA DISEMBA 15,2018

index

Dirisha Dogo la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Daraja la Kwanza na Daraja la Pili linafungwa Disemba 15, 2018 saa 5:59 usiku Klabu zinakumbushwa kutuma orodha ya wachezaji waliowaongeza katika dirisha dogo. Wakati wa dirisha dogo klabu inaruhusiwa kuongeza idadi ya wachezaji kama haikusajili wachezaji 30 wakati wa kipindi cha …

Read More »

TFF YAFAFANUA UTATA WA MILIONI 300

index

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kufafanua kuhusu taarifa katika baadhi ya vyombo vya Habari kuwa kumekuwa na ubadhirifu wa fedha ndani ya TFF.  Taarifa hiyo iliyochapwa kwenye gazeti la Tanzanite toleo namba 292 la Jumatatu Disemba 10,2018 lenye kichwa cha habari KASHFA TFF,ZAIDI YA 300M/- ZATAFUNWA. Taarifa …

Read More »