Tuesday , March 26 2019

Home / Alex (page 3)

Alex

TANZANIA YAICHAPA 3-0 UGANDA NA KUFUZU AFCON 2019

images

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imefuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda usiku huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon …

Read More »

WAZIRI LUGOLA AWASILI ZANZIBAR, KUFANYA MKUTANO WA HADHARA UNGUJA LEO, KUFUNGUA MKUTANO WA KUZUIA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU, KESHO

B

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsalimia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Thobias Sedoyeka, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya kikazi. Lugola anatarajia kufanya mkutano wa hadhara katika Viwanja …

Read More »

Wakazi wa Mtwara Wafurika kampeni ya la Shika Ndinga

????????????????????????????????????

Meneja wa Benki ya NBC,  Kanda ya Pwani, Daudi Mfalla (kushoto) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanawake, Mariamu Hamisi wakati wa kampeni hiyo  katika  Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani Mtwara jana. Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Mtwara, Job …

Read More »

WAZIRI LUGOLA ATAKA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU IDHIBITIWE, KUFUNGUA MKUTANO MKUBWA WA WADAU WA KUZUIA BIASHARA HIYO, MJINI UNGUJA, ZANZIBAR KESHO

2. PICHA YA MAKTABA

Na Felix Mwagara, MOHA-Zanzibar. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ameitaka Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu nchini, iongeze kasi ya kupambana na biashara hiyo ili iweze kudhibitiwa kwa kuwa inaichafua nchi. Waziri Lugola, ambaye kesho anatarajia kufungua mkutano …

Read More »

GENEXPERT ITASAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA TB NCHINI

2

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kushoto) akiangalia zawadi ya nguo aliyopewa na Taasisi ya Mukukite inayojishughulisha kutoa huduma za matibabu ya ugonjwa wa kifua kikuu. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisema jambo na wananchi …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA STARS

PMO_0923

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Taifa  ya Soka – Taifa Stars, Mbwana Samata  baada ya kuzungumza na wachezaji na viongozi wa timu hiyo  jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Soka, Mbwana Samata  baada ya kuzungumza …

Read More »

WATENDAJI MAMLAKA ZA MAJI WATAKIWA KUWAJIBIKA ZAIDI

km jws

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akiongea na watendaji wa wizara yake wakati wa mkutano wa Mapitio ya Sekta ya Maji (JWSR), ambao pia ulikua ni moja ya matukio ya Wiki ya Maji kwa mwaka 2019, uliokutanisha wadau wa sekta ya maji kwa pamoja. ……………………… Katibu Mkuu, Wizara …

Read More »

WAZIRI JAFO AMETOA MIEZI MITATU KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA ASILIMIA KUMI YA MAPATO YA NDANI KWA AJILI YA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU

waziri jafo

NA  FARIDA SAIDY,(MOROGORO ) WAZIRI wa  nchi ofisi ya  Raisi Tawala za mikoa na serikali  za mitaa TAMISEMI  Seleman Jafo ametoa miezi mitatu  kwa wakurugenzi  wa Halmashauri za miji, majiji, manispaa na Wilaya  nchini kuhakikisha wanatenga   asilimia kumi  ya  mapato ya ndani  kwa ajili ya  wanawake, vijana na wenye ulemavu …

Read More »

KAMANDA SHANA AANZA NA “MATAPELI WA DOLLAR” BANDIA

JC9A2249

 Dola bandia zilizokamatwa jijini Arusha, baada ya Askari Polisi kuweka mtego na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana akiwaonyesha waandishi wa habari noti bandia ambazo zilikamatwa juzi eneo la Mjini Kati jijini Arusha. ……………………….. Na Rashid Nchimbi wa Polisi …

Read More »

Wafungwa Gereza Songwe Walima Ekari 750 za Mahindi

PIX 1..

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akielekea kukagua mahindi yanayolimwa na wafungwa katika Gereza la Kilimo Songwe kwa ajili ya chakula cha wafungwa nchini. Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo, Mrakibu Mwandamizi, Peter Anatory. Ziara hiyo imefanyika leo jijini Mbeya. Naibu Waziri wa Mambo …

Read More »

WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ZAMBIA, ITALIA

PMO_0841

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Hassan Simba Yahya ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Italia Nchini, Mhe. Roberto Mengoni, Ofisini kwa Waziri …

Read More »