Thursday , January 17 2019

Home / Alex (page 30)

Alex

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

Baadhi ya washiriki Master Tanzania 201819

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo, Michael Maurus, alisema kuwa utambulisho huo ni sehemu ya maandalizi ya shoo ‘bab kubwa’ ya mchujo itakayofanyika wikiendi ya pili …

Read More »

SERIKALI INAFANYA MAPITIO YA LESENI ZA UCHIMBAJI-MAJALIWA

1

  *Zitakazobainika kutofanya kazi kwa muda mrefu itazichukua    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya mapitio ya leseni zote za uchimbaji wa madini na zile ambazo zitabainika kuwa hazijafanya kazi kwa muda mrefu zitachukuliwa na kisha maeneo hayo hayo yatagawiwa kwa wachimbaji wadogo. Amesema Wizara ya madini imeimarishwa  na …

Read More »

GWAJIMA AMPONGEZA LOWASA, AMPA NENO ZITO MH. RAIS MAGUFULI

IMG-20180917-WA0020

Mwambawahabari Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndugu  Methusela Gwajima, amemuomba Waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (CHADEMA ) Edward Lowasa, kufanyia kazi ushauri aliopewa na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa …

Read More »

Serikali kuendelea kuboresha Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto

001

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza kwenye kongamano la pili kuhusu huduma bora kwa mama na mtoto linalofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Dkt. Ulisubisya amefungua kongamano hilo la siku mbili ambalo limeanza leo Novemba 29- 30, 2018. Baadhi …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA, MASUMBWE WILAYANI MBOGWE

PMO_0693

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Hadhara kwenye Kiwanja cha Shule ya Msingi ya Masumbwe wilayani Mbogwe, Novemba 29, 2018. Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa Hadhara kwenye Kiwanja cha Shule ya Msingi ya Masumbwe wilayani Mbogwe, Novemba 29, 2018. ( Wananchi wakimshangilia Waziri Mkuu, …

Read More »

NDITIYE: TAKUKURU FUTUATILIENI UJENZI WA GATI YA BANDARI YA LINDI

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameilekeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufuatilia na kuchunguza thamani ya fedha zilizotumika kujenga gati ya bandari ya Lindi ili kuweza kubaini kama gharama iliyotumika inaendana na ujenzi uliofanyika Hayo yameelezwa na Nditiye wakati wa ziara yake ya …

Read More »

MEJA JENERALI JACOB AZITAKA IDARA YA HUDUMA ZA UANGALIZI, JESHI LA POLISI NA MAGEREZA KUSHIRIKIANA ILI KUONDOA MSONGAMANO WA WAFUNGWA MAGEREZANI

1

Na Mwandishi wetu, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu, amewataka watendaji wa Idara ya Huduma za Uangalizi , Jeshi la Polisi na  Magereza kushirikiana kwa pamoja ili kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani. Meja Jenerali Kingu ameyasema hayo leo wakati akizungumza kwenye Mkutano …

Read More »

Dkt. Ndumbaro Atembelea Chuo cha Diplomasia

A

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Dkt. Bernard Archiula mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika chuo hicho. Mhe. Naibu Waziri aliweza kutembelea maeneo mbalimbali ya chuoni hapo pamoja na kufanya mkutano …

Read More »

MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

8-min

Bw.Frank Mambo,mbunifu majengo kutoka  Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) akimuonyesha eneo Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ,Angelina Mabula itakapojengwa ofisi za Wizara hiyo alipotembelea eneo hilo leo jijini Dodoma Mafundi mbalimbali kutoka Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) wapo kazini katika eneo la ujenzi wa ofisa za …

Read More »

SERIKALI KUWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

PMO_0450

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananchi hususani wachimbaji wadogo wadogo wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.   Hivyo, Waziri Mkuu amewashauri wachimbaji wadogo wadogo wajiunge katika vikundi ili Serikali iweze kuwapatia misaada mbalimbali ikiwemo mkopo ili waongeze mitaji. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, …

Read More »