Tuesday , March 26 2019

Home / Alex (page 4)

Alex

TANZANIA YAPIGA HATUA MATUMIZI YA VYANDARUA VYENYE DAWA

1

Mratibu wa Malaria wa Halmashauri ya Kigoma/Ujiji Dkt. Abigael Kasumani (kushoto) akitoa salamu leo za washiriki wa semina za siku moja kuhusu usambazaji wa matokeo ya Utafiti wa Viashiria vya Malaria Tanzania wa mwaka 2017 kwa Kanda ya Magharibi kwa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri, Waratibu wa Malaria Mkoa, Halamashauri ,Mameneja Takwimu …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MUHOGO

PMO_0526

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mwenyekiti wa Kampuni ya Cassava Starch Of Tanzania Corporation Limited  (CSTC), Bw. Gerald Billet (kulia) wakifungua  kiwanda cha kuchakata muhogo cha CSTC kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye  Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuwasha mashine ya kuchakata muhogo wakati alipozindua kiwanda …

Read More »

SERIKALI YAPANIA KUTOKOMEZA KERO YA MAJI

MBARA

Waziri wa Maji  Pro, Makame Mbarawa,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kufunga wiki ya maji na kufungua kikao cha tathmini ya wataalamu wa maji,wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wafadhili waliokutana jijini Dodoma kuangalia namna ya kukabiliana ya changamoto ya utoaji wa huduma ya maji safi …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE AHIDI KUVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO TMA

index

NA EMMANUEL MBATILO Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe ameahidi kufuatilia na kuzifanyia kazi changamoto zinazoikabili Mamlaka ya Hali ya Hewa hapa nchini (TMA) ikiwemo vifaa vya kutosha katika vituo mbalimbali vya Mmalaka hiyo. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa baraza la …

Read More »

WAVAMIZI SHAMBA LA MITI BIHARAMULO WAPEWA MIEZI 3

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (katikati)  akizungumza   na Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe.  Mtemi Simeoni (kushoto)   wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Shamba la Miti la Biharamulo mara baada  ya kukagua maendeleo ya miti iliyopandwa katika shamba hilo kwa  ukubwa  wa hekari 900 katika wilaya ya …

Read More »

MAMBA WAGEUKA KERO KWA WANANCHI WA KILANGALANGA -DENGE

Screenshot_20190322-105305_1553241289832

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA VIJIJINI  WIMBI la mamba katika ukanda wa mto Ruvu, kata ya Kilangalanga, Kibaha Vijijini mkoani Pwani linadaiwa kuwa wengi hali inayojenga hofu kwa wananchi ambapo hadi sasa watu wawili wameshajeruhiwa na mamba hao.  Aidha  wanyama waitwao Kiboko wanadaiwa kuvamia baadhi ya mashamba ya watu na kuharibu …

Read More »

WAZIRI JAFO AAGIZA HOSPITALI GAIRO HADI JUNI 30 IWE IMEKAMILIKA

JAFO KAGUA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Selemani  Jafo akiwasili katika eneo panapojengwa hospitali ya wilaya ya Gairo mkoani Morogoro akiwa ameongozana viongozi mbalimbali Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Selemani  Jafo,akisalimiana na viongozi mbalimbali …

Read More »

Special Olympics kuwasili kesho Mchana kutoka Abudhabi

54435785_2178583732221724_2522749483410784256_n

Mkurugenzi wa Special Olympics International (SOI) Tim Shriver (kushoto) akipunga mkono na wachezaji wa Tanzania katika michezo hiyo iliyomalizika Falme za Kiarabu (UAE) …………………….. NA MWANDISHI WETU TIMU ya Taifa ya walemavu wa akili, wanatarajia kuwasili nchini kesho mchana ikiwa na medali 15 kutoka katika michezo ya Dunia ya walemavu …

Read More »

FAHAMU KUHUSU SUMUKUVU

IMG_20190321_174658_545

  Mazao ambayo yanasadikika kuwa na Sumu kuvu  ……………… NA EMMANUEL MBATILO Sumu kuvu ni aina ya kemikali  za sumu inayozalisha ukungu au fangasi wanaota kwenye mbegu za nafakaa zinazoota kwenye mahindi, mbegu za kunde,mbegu za mafuta au hupatikana pia kwenye mazao ya mifugo kama chakula kimechafuliwa na sumu hiyo …

Read More »

Lishe Endelevu kumaliza Tatizo la Udumavu Mkoa wa Rukwa

IMG_7568

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule akitoa nasaha wakati wa kufungua kikao cha utambulisho wa mradi wa Lishe Endelevu unaofadhiliwa na watu wa Marekani (USAID).  ……………………. Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amepongeza ufadhili wa mfuko wa watu wa Marekani (USAID) kwa kuujumuisha Mkoa wa Rukwa …

Read More »

ARUSHA UNITED WATANGAZA KUJITOA LIGI DARAJA LA KWANZA

ARUSHA UNITED

Mkurugenzi Mtendaji wa Arusha United Sports Club Otte Beda Ndaweka TIMU ya Arusha United Sports Club, inayoshiriki ligi daraja la kwanza imetangaza kujitoa rasmi katika ligi hiyo kwa madai  ya kuchoshwa na vitendo ambavyo si vya kimichezo huku TFF kupitia bodi ya ligi ikishindwa kuchukua hatua stahiki. Akizungumza na waandishi wa habari jijini …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

index

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesikitishwa na baadhi ya Maafisa na Askari wake kujihusisha na vitendo vya rushwa na unyanyasaji kwa wachimbaji wadogo wa madini huko Wilayani Chunya Mkoani Mbeya. Vitendo hivyo ni kinyume cha Sheria, kanuni, Taratibu, Miiko na Maadili ya Utumishi wa Umma. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji …

Read More »

DKT,BASHIRU KUZINDUA MKAKATI WA KUIMARISHA DEMOKRASIA DODOMA

aaa

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma, Jamila Yusuph,akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu machi 23 mwaka huu wanatarajia kuzindua,mkakati wa kukuza na kukomaza demokrasia kwenye mashina na matawi  ambapo Katibu mkuu wa CCM taifa Bashiru Alli,atazindua jijini Dodoma ……………….. Na.Ezekiel Nashon,Dodoma. Chama …

Read More »