Thursday , January 17 2019

Home / Alex (page 5)

Alex

Dkt.Zainab Chaula Aripoti Wizara ya Afya

AA

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkaribisha Katibu Mkuu Mpya wa Idara Kuu Afya Dkt.Zainab Chaula kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Naibu Waziri Dkt.Faustine Ndugulile akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK,ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA SERIKALI YA ZANZIBAR

DSC_2093-min

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika Hafla ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Bw.Said Bakari Jecha katika Hafla ya …

Read More »

AJALI YA LORI YAGONGA TRENI DODOMA ”WAWILI WANUSURIKA KIFO”

D-min

Baadhi ya mashuhuda wakiangalia ajali ya Lori iliyoigonga Treni na kusababisha watu wawili kupata majeraha jijini Dodoma Na.Alex Sonna,Dodoma Watu wawili wamenusurika kifo baada ya lori aina ya scania walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Iringa kuigonga treni ya mizigo katika makutano ya reli na barabara eneo la hazina jijini Dodoma. …

Read More »

Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jeroen Verheul aipongeza Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya moyo kwa wananchi

balozi 3

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto Sulende Kubhoja akisalimiana na  Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul  wakati balozi huyo alipotembelea  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa. Katikati ni  Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi Robert …

Read More »

TTB KUWEZESHWA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

1A

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu  akifanya mahojiano kwenye kipindi cha “Jambo Tanzania” kinachoruka TBC 1 akielezea mikakati ya wizara hiyo jinzi ilivyojipanga kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi kupitia Bodi ya Taifa ya Utalii leo  Mikocheni  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtangazaji wa TBC1, …

Read More »

TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BIL. 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

IMG-20190108-WA0037

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara mkoani Pwani wakisikiliza jambo Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo wakati wa kikao cha bodi ya barabara mkoani hapo akizungumza jambo. (Picha na Mwamvua Mwinyi)  ……………………… NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani …

Read More »

Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana

Pix 03

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza wakati waziri huyo alipotembelea kujionea  maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akishika nyasi bandia za …

Read More »

TAZAMA HAPA VIINGILIO VYA MECHI YA SIMBA VS JS SAOURA

MANARA-ONE

Simba vs Js Saoura – Jumamosi 12/01/2019 BEI YA TIKETI MZUNGUKO  5,000 VIP B & C.    10,000 PLATINUM 100,000 Hii platinum wanapatia huduma zifuatazo: – Watakaa sehemu ya VIP A – Waacha gari zao Serenq hotel na kuchukuliwa na Min bus maalum kuja na kurudi Taifa kwa Escout ya …

Read More »

WAGONJWA 45 KUFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA MOYO INAYOFANYIKA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUANZIA TAREHE 7/01/2019 HADI 18/01/2019

160525142810_muhimbili_tanzania_bypass_heart_surgery_640x360_bbc

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupitia madaktari wake bingwa wa magonjwa ya moyo kwa kushirikiana na Madaktari Afrika na Shirika la Cardio Start wote kutoka nchini Marekani  wameanza  kambi maalum ya matibabu ya moyo  ya siku 12  kwa watu wazima . Matibabu yanayofanyika  katika kambi hiyo ni upasuaji wa …

Read More »

PTF YAPONGEZWA KWA KUTEKELEZA SERA YA UCHUMI WA VIWANDA

IMG-20190108-WA0010

   Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) wakati wa ziara ya kikazi alipowatembelea ofisini kwao jijini Dar es Salaam  kwa lengo la kufahamu majukumu ya mfuko na kuhimiza …

Read More »

JAFO ANENA ”UVINZA MMENIPA RAHA”

index

Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Selemani Jafo amefurahishwa sana na Utendaji kazi wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mhe. Mwanamvua Mrindoko pamoja na timu ya wataalam wa halmashauri hiyo ya Uvinza kwa kazi kubwa na nzuri wanayo ifanya ambayo imesaidia miradi ya halmashauri hiyo kutekelezwa kwa ubunifu mkubwa kwa …

Read More »