Friday , March 22 2019

Home / Alex (page 514)

Alex

CCM BAGAMOYO YAJIGAMBA KUSHINDA UCHAGUZI MDOGO WA VITONGOJI

UWT

  Katibu wa UWT wilaya ya Bagamoyo,Mwatabu Hussein (kulia)aliyemshika mgombea wa uenyekiti kitongoji cha Magomeni B Rajabu Swedy,wakishangilia baada ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa kitongoji hicho. Mwenyekiti wa UWT Bagamoyo,Apsa Kilingo akizungumza jambo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo kitongoji cha Magomeni B,kata ya Nianjema. Mwenyekiti wa jumuiya …

Read More »

SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.

BV

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa majonzi na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya watu saba wakiwemo viongozi na wanachama wanne wa CCM ambao ni Ndg Ally Mmbaga, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa, Ndg Arnold Swai, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana …

Read More »

VISIWA VYA UKEREWE KUPATA UMEME JUNI 2018

ukele

Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Styden Rwebangila, (kushoto) akielezea mafanikio ya sehemu ya nishati jadidifu chini ya   Idara ya Nishati katika upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam mapema tarehe 06 Februari, 2017. Kulia ni …

Read More »

Mayrose Pamoja Na Baadhi Ya Watanzania Waishio Marekani Katika Kampeni Ya Kuinua Maadili Kitaifa 2017, Maryland Marekani.

YUUKOO

Mtaalam wa Maendeleo ya Watu Mayrose Kavura Majinge akieleza umuhimu wa Kanuni ya Dhahabu “The Golden Rule” Katika kuondoa Ufisadi na maovu mbalimbali katika jamii yetu. Fuatilia Habari kamili: maadilikitaifa.blogspot.com Profesa Nicholls Boas wa Chuo Kikuu Maryland Marekani akiwa miongoni mwa wadau Watanzania waishio Marekani akifurahia jambo wakati wa Siku …

Read More »

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTOA FURSA ZA UONGOZI KWA WANAWAKE

WEHU

          BAADHI ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali. Ombi hilo limetolewa …

Read More »

CAMEROON BINGWA AFCON 2017,YALIPA KISASI DHIDI YA MISRI

Cameroons-Vincent-Aboubakar-celebrates-scoring-their-second-goal-with-teammates-and-staff

  Timu ya Taifa ya Cameroon imelipa kisasi cha Fainali ya 2008 ilipofungwa na Misri hatimaye nayo Imetwaa taji la Michuano ya Afrika ‘AFCON’ 2017 nchini Gabon baada ya kuwatandika Mafarao jumla ya magoli 2-1 na kubeba Ubingwa huo. Leo ndiyo mwisho wa michuano ya Afcon na Cameroon ambayo haikupewa …

Read More »

BALOZI AAHIDI INDIA KUISAIDIA SEKTA YA ELIMU TANZANIA

PINDA

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akisaidia kitabu cha wageni alipotembelea banda ya maonyesho ya Kampuni ya Uwakala wa vyuo vya nje ya Global Education Link juzi. Kulia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.   Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akiteta jambo na Meneja wa Kampuni ya uwakala wa vyuo …

Read More »

DK.SHEIN AWAANDALIA CHAKULA VIAJANA WA HALAIKI

HAIK

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Mjini Magharibi Unguja leo katika  hafla ya  chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya …

Read More »

KINANA KATIKA MAADHIMISHO MIAKA 4O YA CCM, DODOMA LEO

LEO CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwakabidhi msaada wa vyakula watoto wa Kijiji cha Matumaini, kilichopo eneo la Kisasa Dodoma mjini alipotembelea kituo hicho kuwafariki watoto yatima, leo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, ambayo kilele chake ni kesho. Kushoto ni mwanzilishi wa Kijiji hicho Padre …

Read More »

WAZAZI WATAKIWA KUWAPELEKA WATOTO HOSPITALINI MAPEMA

TUO

Mmoja wa wake wa viongozi, Germina Lukuvi akitoa zawadi kwa watoto wenye saratani katika maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani ambayo yamefanyika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam Leo. Kushoto ni  Dk Lodovick ambaye amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sofia Mjema. Watoto wenye saratani hawakuwa nyuma …

Read More »

Dk.SHEIN AWAANDALIA CHAKULA MAASKARI WALIOSHIRIKI GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MAPINDUZI

RAI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia mkono maaskari walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakati alipowasili katika  hafla ya chakula maalum kwa Askari hao iliyofanyika leo katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni (kulia) Brigedia Jeneral Sharif Sheikh Othman ,Kamanda …

Read More »

NDUGU WAGOMEA MAITI YA MTOTO HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM

TOTOUUUUUUUUUUUUUUU

Mzazi Julieth Daudi (19) mkazi wa Tabata Relini, akiwa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, alipozungumza na mwanahabari akidai amebadilishiwa mtoto aliyejifungua.  Mama mzazi wa Julieth, Veronica Lucas akiwa ameshika shavu kwa masikitiko kufuatia tukio hilo.    Shangazi yake Julieth, Judith Christopher akielezea tukio hilo  kwa mwanahabari.  Julieth Daud …

Read More »