Saturday , March 23 2019

Home / Alex (page 554)

Alex

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA UMMA ARUSHA

maj

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na watumishi wa serikali na halmashauri wa mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Simba wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, Desemba 2, 2016    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  taarifa ya mkoa wa Arusha kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo baada …

Read More »

SERIKALI YAINGIA MKATABA NA YANGA

pptttttttt

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akisaini Mkataba kwa niaba ya Serikali na Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam ambayo iliwakilishwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Klabu hiyo Baraka Deusdedit (kulia) leo jijini Dar es salaam. Mkataba huo unahusu Klabu …

Read More »

RC Aruhusu mjane kujenga eneo ambalo polisi wamemzuia

janeeeeeeeeeeeeee

Badhi ya watumishi wa halmashauri ya Mji Makambako wakimsikiliza mkuu wa mkoa alipo fika katika Halmashauri yao kujia shina ma matatizo yao (Picha Hapo Chini)     Mkuu wa mkoa wa njombe Dr Rehema Nchimbi Akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri ya Makambako (Picha Hapo Juu)   SERIKALI mkoani Njombe imetoa …

Read More »

Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa Kupima Afya

damuu

 Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Kuambukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk  Amina Mgunya akimpima afya mmoja wa watu waliojitokeza Leo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Ukimwi Duniani. Kulia ni sister Halima Mayumana akimpima afya Dk James Masaganya Leo katika hospitali hiyo.  Sister Marim Msyan akimpima afya …

Read More »

RAIS MAGUFULI AMEFANANA NA YOHANA MBATIZAJI: MAKAMBA

makambajk

Na  Immaculate Makilika –MAELEZO Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Yusuph Makamba alisema kuwa  Rais Magufuli anafanana na Yohana Mbatizaji kwa vile ni kiongozi  anayefanyakazi bila kuogopa. Makamba ametoa kauli hiyo leo kwa njia ya simu katika mahojiano maalum …

Read More »

CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA (TPHA) CHAPATA VIONGOZI WAPYA

qqqkkkkk

 Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Shaibu Mashombo (wa nne kushoto), akiwa na viongozi wenzake wateule waliochaguliwa katika mkutano mkuu wa chama hicho 2016 jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Dismas Vyagusa, Violeth Shirima, Dk. Godfrey Swai, Dk.Nderineia Swai, Dk. Feliciana Mmasi,  Dk. Mwanahamisi Hassan …

Read More »

MBUNGE RIDHIWANI AWANGOZA WANANCHI KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI

kikw

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani akiwa katika  kituo cha kupima na kutoa Elimu ya gonjwa la Ukimwi kilichopo Mdaula, Chalinze akitolewa damu kwa ajili ya kupima virusi vya HIVvinavyosababisha Ukimwi jimboni humo ikiwa ni siku ya Ukimwi Duniani.. Baadhi ya wananchi wa jimbo la chalinze walijitokeza katika mkutano wa …

Read More »

Airtel yaungana na Serikali kutekeleza kampeni ya “Mti Wangu”

airt

Afisa Mazingira wa Manispaa ya Kinondoni, Awadh Jambo (kushoto) na Afisa Mazingira wa Airtel, Ncheye Mazoya wakipanda mti, wakati wafanyakazi wa Airtel waliposhiriki kupanda majani, miti na kuweka mbolea katika bustani iliyopo katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kuanzia Moroco hadi Namanga jijini Dar es Salaam jana, kuunga mkono kampeni …

Read More »

VIJANA WAKUBALI MAENDELEO ENDELEVU, WAAHIDI KUYAPELEKA VIJIJINI

rttttt

Wakati wanachuo wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) cha mjini Mbeya wakiahidi kupeleka vijijini kampeni ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amesema kwamba utekelezaji wa malengo hayo uko mikononi mwa vijana …

Read More »

WANAWAKE WAONGOZA KUWA NA VVU NCHINI

wwnawa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu siku ya UKIMWI Duniani, kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dr. Hamis Mwinyimvua. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dr. Leonard Maboko akifafanua juu …

Read More »

SH. BILIONI 40 ZIMEPELEKWA WIZARA YA AFYA KWA AJILI YA UNUNUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA – MAJALIWA

babati-3

  Desemba Mosi, 2016                                                           TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa, Serikali imekwishaipatia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto sh. bilioni 40 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba. Amesema hatua hiyo inalenga kupunguza …

Read More »