Thursday , December 14 2017

Home / bukuku

bukuku

PROF. MBARAWA ATAKA UJENZI RELI YA KISASA KUHARAKISHWA

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali ya Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (kushoto), kuhusu kusimamia kwa karibu mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge), wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika kijiji cha …

Read More »

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

sad2

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amefikishwa mahakamani mjini Dodoma na  maofisa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kukamatwa  nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma, akidaiwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM …

Read More »

WIMBO MPYA: COYO – NyakaNyaka

COYO

WIMBO MPYA: COYO – NyakaNyaka (AUDIO/VIDEO)   Huu ni wimbo mpya kutoka kwa COYO, “NyakaNyaka” uliotayarishwa na Producer DayDream kwa kushirikiana na KidBway.  Nimeambatanisha Wimbo na Beat. Pia, Hapo chini ni link ya video ya “NyakaNyaka” iliyoongozwa na director Hanscana.   VIDEO LINK:  https://www.youtube.com/watch?v=M22avD7NHco

Read More »

VIONGOZI WAKUU TFF KUMZIKA BENDERA

RAIS-KARIA-750x350

Viongozi wakuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais Wallace Karia na Makamu Rais Michael Wambura wataongoza ujumbe wa shirikisho katika mazishi Kocha wa zamani wa Taifa Stars, marehemu Joel Nkaya Bendera. Bendera aliyefariki dunia Desemba 6, mwaka huu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, atazikwa leo Jumapili Desemba …

Read More »

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

luku_umeme

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi. Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote. Asanteni kwa ushirikiano wenu. Tovuti: www.tanesco.co.tz Mitandao ya Kijamii www.facebook/tanescoyetultd twitter.com/tanescoyetu Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu Desemba 10, 2017

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA TISA WA UWT

20

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya wadhamini wa UWT akihutubia wakati wa kufunga mkutano mkuu wa tisa wa UWT uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) …

Read More »

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUHUSU MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA

index

Nguza Viking “Babu Seya”  kulia na Mwanaye  Johnson Nguza “Papii Kocha” wakipungia mikono mashabiki wao mara baada ya kutoka katika gereza la Ukonga kwa msamaha wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli. ……………………………………………………………………………… Katika kuadhimisha Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe      9 Disemba, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya …

Read More »

Rais Magufuli Asamehe Wafungwa 8157

22

Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesamehe jumla ya wafungwa 8,157 katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri, Mjini Dodoma. Msamaha huo umehusisha wafungwa 1828 ambao watatolewa kaunzia leo na wengine 6329 wamepunguziwa muda …

Read More »

WAZIRI MPINA AITAKA KAMPUNI YA GAME TRACKING SAFARIS (TGTS) KUONDOKA KWENYE RANCHI YA UVINZA KABLA YA JANUARI 2018

a

Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Mh.Luhaga Mpina  (katikati) kitoa maamuzi ya kuitaka Kampuni ya Game Tracking Safaris(TGTS)  kuondoka katika eneo la hekta 20000 kwenye vitalu  tisa vilivyomo kwenye Ranchi  ya Uvinza ifikapo tarehe 1/1/2018. Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Mh.Luhaga Mpina  akizungumuza na Meneja wa Kampuni ya Game Tracking Safaris(TGTS) …

Read More »