Saturday , March 23 2019

Home / bukuku (page 10)

bukuku

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 26 KUHUSU MIFUMO YA USAFIRISHAJI UMEME

3

Kamishna wa Umeme na Nishati Mbadala, Mhandisi Innocent Luoga, kutoka Wizara ya Nishati, ameongoza timu ya wataalamu wa nishati kutoka Tanzania, kushiriki katika mkutano wa 26 wa Kamati Tendaji unaojadili mifumo ya kusafirisha umeme, iliyounganishwa katika nchi zilizopo Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool – EAPP) Mkutano huo unaofanyika …

Read More »

BENKI YA EXIM MDHAMINI MKUU MASHINDANO YA GOLF JIJINI ARUSHA

????????????????????????????????????

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mshiriki wa Golf toka Rotary club ya Arusha mara baada ya kufungua rasmi mashindano hayo katika viwanja vya Gymkana Arusha. Wengine ni Meneja wa Matawi ya Exim kanda ya Kaskazini Amos Lymo …

Read More »

SERIKALI YAKERWA NA MAUAJI, UNYANG’ANYI MIPAKANI

PMO_1803

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa  Taifa uliopo kwenye Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Februari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini na wazee baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Halmashauri ya wilaya ya …

Read More »

MKURUGENZI WA IDARA YA MAZINGIRA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEZA MAENEO YALIYOPANDWA MITI WAKATI WA KAMPENI YA KIJANISHA DODOMA.

2

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha(kushoto) akiangalia ukuaji wa mti uliopandwa wakati ya kampeni ya upandaji miti kuifanya Dodoma kuwa ya kijani katika eneno la Mzakwe jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Bi. Ester Makwaiya. Mkurugenzi wa Idara …

Read More »

Waziri Dk. Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni.

Pix 01

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni wakati alipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo ya wizara hiyo iliyoko jijini Dar es salaam na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Italia na Wizara ya Habari, Utamaduni, …

Read More »

MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA MENO YA TEMBO

index

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya …

Read More »

MAJALIWA AKAGUA MRADI WA MAJI WA MUHANGE WILAYANI KAKONKO

PMO_1566

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye eneo la Mradi wa Maji wa  Muhange wilayani Kakonko kukagua mradi huo, Februari 19, 2019. Kulia ni mkewe Mary na kushoto ni Mbunge wa Buyungu, Mhandishi Christopher Chiza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGA SOKO LA NDUTA

PMO_1517

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefunga soko la wakimbizi na wananchi lililoanzishwa nje ya kambi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo mkoani Kigoma.  Hatua hiyo imekuja baada ya soko hilo kubainika kuwa  chanzo cha  wakimbizi kutoka nje ya kambi kiholela na kushiriki katika kufanya matukio ya kiharifu.  Waziri Mkuu ametangaza uamuzi huo leo (Jumanne, …

Read More »

BENKI YA EXIM YATETA NA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA

DSC_7690

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim Ndugu Jaffari Matundu akifafanua jambo kwa watuja wa benki hiyo katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Arusha kwenye hoteli ya  Mount Meru wiki iliyopita. Hafla hiyo iliudhuriwa na wateja wakubwa na wadogo wa benki  hiyo yenye matawi 4 jijini Arusha. Naibu Mkuregenzi …

Read More »

WANADIASPORA WA SAUDIA WAPIGWA MSASA UHAMIAJI MTANDAO

ARABIA5

 Jumuiya ya Watanzania waishio Jeddah nchini Saudi Arabia “Tanzania Welfare Society” hivi karibuni ilifanya Mkutano wa pamoja wa wanajumuiya Watanzania na Wanadiaspora. Mkutano huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza. Wanajumuiya walipata fursa ya kujadiliana mambo mbalimbali yakiwemo uwekezaji na uchumi, ajira nchini Saudi …

Read More »

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MWEKA HAZINA KIBONDO

PMO_1517

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Thomas Chogolo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma  zinazomkabili za ubadhilifu wa makusanyo ya mapato ya halmashauri hiyo.  Pia, Waziri Mkuu amewataka watendaji wa halmashauri huyo kumaliza haraka migogoro yao ya kiutendaji kabla ya Serikali haijawachukulia hatua kwani …

Read More »

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

PMO_1508

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati  alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo,  Februari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya  ya Kibondo wakimsikiliza …

Read More »

TBS YAWAFIKIA WANANCHI 14929 KANDA YA ZIWA

index4

Mhandisi Paul Ndege kutoka TBS akitoa Elimu kwa Wafanyabiashara, wafugaji na wananchi kam walivyokutwa mnadani Tarime Elimu juu ya Udhibiti Ubora ikiendelea kutolewa Shuleni Sirari na Mhandisi Paul Ndege wa (Afisa udhibiti Ubora TBS, Tarime.) Sehemu ya Wajasiriamali Wa Kahama waliohudhulia semina ya Siku moja kujifunza elimu ya Udhibiti Ubora …

Read More »

VIJANA ANZISHENI MASHAMBA YA MICHIKICHI-MAJALIWA

PMO_0750

…………………………………………………………………………………. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana mkoani Kigoma waanzishe mashamba ya michikichi kwa kuwa zao hilo litawapatia kipato cha uhakika.  Amesema Serikari imedhamiria kufufua zao la michikichi ili kuliwezesha Taifa kujitosheleza kwenye mafuta ya kula na kuokoa fedha za kigeni.  Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Februari 18, 2019) alipowasalimia wananchi …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

PMO_1361

Kibao kinachoonesha ilipo Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa  katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo ambayo ilitembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye  Kambi …

Read More »