Saturday , March 23 2019

Home / bukuku (page 2)

bukuku

JKCI YAWAPONGEZA WAFANYAKAZI BORA

Picha 1

Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja mfanyakazi bora wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2018/2019 (Oktoba – Desemba 2018) Afisa Uuguzi Prisca Kiyuka wakati wa hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika leo katika …

Read More »

Medie Kagere akabidhiwa tuzo na Bikosports ya mchezaji bora

IMG-20190319-WA0030

Msemaji wa bikosports nchini Tanzania, Geofrey Lea kushoto akiwa na mshambuliaji wa klabu ya Simba, Medie Kagere, aliyetwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi February, tuzo inayodhaminiwa na Kampuni ya michezo ya kubashiri matokeo nchini ya Biko Sports, ambapo mbali na tuzo hiyo, pia alikabidhiwa sh milioni moja. …………………………………………………………………………………….. Na …

Read More »

TAASISI ZA MIKOPO ZATUPIWA LAWAMA KWA KUWAKWEPA WAKULIMA

vlcsnap-2019-03-20-02h37m51s238

Serikali mkoani Njombe imezitaka taasisi za kifedha chini kupungumza masharti ya mikopo ya kilimo kwa wakulima ili kuinua sekta hiyo tegemeo katika uchumi wa viwanda ambayo imekuwa na maendeleo ya kusuasua kutokana na kutelekezwa na taasisi nyingi za mikopo kwa madai ya kwamba hazikopesheki kwasababu zinamrundikano wa majanga. Sekta ya …

Read More »

SEKTA YA KILIMO KULETA MAGEUZI YA KIUCHUMI-MAJALIWA

PMO_9417

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta aina ya Ursus  wakati alipokabidhi matrekta16 yenye thamni ya shillings bilioni 1.8  kwa wenyeviti wa baadhi ya  Vyama vya Ushirika via Msingi mkoani Mwanza    katika hafla fupi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, …

Read More »

MultiChoice yatangaza fursa kabambe kwa wadau wa filamu

H01

 Mkuu wa Uhusiano MultiChoice Tanzania, Johnson Mshana akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya MultiChoice Talent Factory portal iliyofanyika katika hoteli ya Southern Sun mapema leo asubuhi.  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Mama Joyce Fisoo  akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya MultiChoice Talent Factory portal iliyofanyika katika …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL wapatiwa mafunzo ya Usalama Mahali pa kazi

USALAMA 3

Wafanyakazi wa TBL  wakimsikiliza   Mkuu wa Idara ya   Usalama mahali pa kazi , Afya na Mazingira wa Vodacom Tanzania PLC. Kareen Rwakatare, wakati alipokuwa akitoa mada kuhusu elimu  usalama mahala pakazi wakati wa  mafunzo yaliyofanyika katika kiwanda cha TBL  Ilala jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa TBL wakiwa katika picha …

Read More »

TBL Arusha washerekea chapa zake za bia kupata tuzo ya kimataifa ya Africa’s Champion Beer ya ABInBev

????????????????????????????????????

Wakati serikali ya awamu ya tano ikiweka mikakati ya kuifanya Tanzania nchi ya viwanda tayari dalili njema zimeishajitokeza  na kuthibitisha kuwa tukiamua tunaweza mwaka huu chapa za bia  Kilimanjaro Lager na Safari Lager zinazozalishwa na kampuni ya Tanzania Breweries Limited katika viwanda vyake vya Arusha,Dar es Salaam,Mbeya na Mwanza zimeendelea …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAHADHARISHA WADAU WA MADINI

PMO_8712

WazirI Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika kipande cha dhahabu mali  Mchimbaji Mdogo Bw.  Christopher Thadeo (kushoto) chenye uzito wa gramu  141.01 kikiwa na thamani ya sh. 13,537, 439/= wakati alipofungua  Soko la Dhahabu mjini Geita, Machi 17, 2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel. (Picha na …

Read More »

Bilioni 1.27 Kukarabati Vyuo vya Polisi Nchini

PIX 0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya  Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama walipowasili katika Chuo cha Polisi Kidatu kwa ajili ya ukaguzi na ushauri  wa miradi ya serikali.Ziara hiyo imefanyika leo, Mkoani Morogoro. Picha na …

Read More »

KILIMANJARO WAANZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DUNIANI KWA KUFANYA USAFIKILIMANJARO WAANZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI

IMG_0860

Mkurugenzi wa Halmashaur ya Manispaa ya Moshi,Michael Mwandezi(katikati) akiwa na Afisa wa Bonde la Pangani , Segule Segule (Kushoto) kwa pamoja wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika soko la Mbuyuni ikiwa ni uzinduzi rasmi ya wiki ya Maji . Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi,Bonde la Maji …

Read More »

TPA YAKABIDHI MABATI 379 SHULE YA UFUNDI TANGA SCHOOL

IMG-20190316-WA0216

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Ignas Rubaratuka akizungumza kwenye halfa ya makabidhiano ya mabati 379 yenye thamani ya shilingi milioni 15 katika shule ya sekondari ya Tanga ufundi (Tanga School) kwajili ya kumalizia nyumba 5 za walimu kama sehemu ya kuunga …

Read More »

KONGAMANO LA KUIMPONGEZA RAIS SHEIN

8

Sehemu ya Waliohudhuria Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi lililofanyika kwenye hotel ya Verde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Sehemu ya Waliohudhuria Kongamano la UWT la kumpongeza …

Read More »

Waziri Lukuvi azindua mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, Asema wenye tija hawaonekani kwasababu tu hawako karibu na wakubwa.

1

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wadau wakati akizindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo. ………………………………………………………………………………………… …

Read More »