Saturday , March 23 2019

Home / bukuku (page 20)

bukuku

AFISA MTENDAJI WA MIHAMBWE ASEMA “WAJASILIAMALI MMENISHANGAZA

FB_IMG_1547378163159

Na Mwandishi wetu, Mihambwe Wajasiliamali wadogo  wamezidi kushangaza jamii tangu siku vilipoanza kugaiwa vitambulisho ndani ya Tarafa ya Mihambwe. Hayo yamebainishwa na Afisa Tarafa Mihambwe  Emmanuel Shilatu alipokuwa akihutubia kwenye mkutano wa Kijiji kwa Kijiji ndani ya kata ya Michenjele ambapo ameshtushwa na kupendezwa kwa namna ambavyo Wajasiliamali hao wanavyovichangamkia …

Read More »

WAZIRI LUGOLA, MWAKILISHI UNHCR WAJADILIANA MASUALA YA WAKIMBIZI WALIOPO NCHINI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimfafanulia jambo Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kulia) wakati Mwakilishi huyo alipomtembelea Waziri huyo ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kuwahudumia Wakimbizi nchini. Kushoto …

Read More »

TFDA yajivunia kuipaisha Tanzania kwa kuwa na mifumo bora ya udhibiti na kuifanya kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufikia hatua hiyo

index

Kaimu Mkurugenzi wa TFDA Bw.Adam Fimbo akizungumza na maofisa habari wa wizara na taasisi(hawako pichani) jinsi mamlaka hiyo ilivyokuwa na mifumo bora ya udhibiti na kuifanya kuwa nchi ya kwanza barani Afrika katika kampeni ya “Tumeboresha sekta ya Afya” ……………………………………………………………………………………. NA WAMJW-Dar es Salaam Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) …

Read More »

WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA KONDOA WAPATA NEEMA

AC3A9543

Afisa Elimu Sekondari wa Hamashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bi. Hildegard Saganda, akisoma taarifa ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, muda mfupi kabla Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, kabla ya kukabidhi mabati 1080 yenye thamani ya Sh. …

Read More »

Simba SC imekamilika, tutawashinda Waarabu – Waziri Mwakyembe

MWAKYEMBEEEE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kikosi cha timu ya Simba. ………………………………………………………………………………. Zikiwa zimesalia saa chache kwa Simba SC kuivaa JS Saoura katika mchezo wa klab Bingwa Afrika,Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kikosi cha Simba hivi sasa kimekamilika kila idara. …

Read More »

NIT Yazindua Kozi ya Wahudumu Ndani ya Ndege.

n5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaac Kamwelwe wakatikati aliyekaa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na waalikwa wakati wa uzinduzi wa kozi ya wahudumu wa ndani ya ndege iliyozinduliwa jana.Katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Mkuu wa Chuo cha NIT Profesa Zakaria Mganilwa akifafanua jambo …

Read More »