Saturday , March 23 2019

Home / bukuku (page 30)

bukuku

NEC YATANGAZA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA TEMEKE NA KATA 46 ZA TANZANIA BARA.

JAJI KAIJAGE

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R), SemistoclesKaijage akitoa taarifa kwa umma kuhusu Uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Temeke na Udiwani katika kata 46 za Tanzania Bara ……………………………………………………………………….. Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC) imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Temeke, Mkoani Dar es …

Read More »

Hifadhi ya Ngorongoro yawezesha Mashindano ya Riadha ya Taifa

index

MASHINDANO ya wazi ya Riadha ya Taifa ya Ngorongoro ‘Ngorongoro National Open Championship 2018’ yanatarajiwa kurindima Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha, Desemba 14 mwaka huu. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday, …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO

PMO_1001

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Meneja Uzalishaji wa Kiwanda cha Korosho cha Terra Cashew, Leonardo Denti  (wapili kulia) wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kibaha kwa Mathias, Desemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya ubanguaji korosho wakati alipotembelea kiwanda cha Terra …

Read More »

WAUGUZI WANAOVUNJA MAADILI YA KAZI KUKIONA CHAMOTO

2

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akipitia ubao wa matangazo ya gharama za matibabu katika Hospitali ya Rufaa Nanyumbu, akiwa katika ziara yake ya kukagua hali ya utoaji wa huduma za Afya na uhamasishaji kwa wananchi kujiunga na Bima ya Afya Mkoa wa Mtwara. …

Read More »

Makandarasi Washauriwa Kuunganisha Nguvu

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(Ujenzi) Bi. Elizabeth Tagora( wa kwanza kulia aliyesimama) akiongoza Mkutano wa Ushirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) kutoka Tanzania Bara na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Tanzania visiwani (Zanzibar) uliofanyika leo Desemba 6, 2018 …

Read More »

MADIWANI 11 WALIOJIHUSISHA NA UVUVI HARAMU WASUBIRI HATMA YAO

PICHA 1

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akitoa msimamo wa wizara baada ya kuwasilishiwa taarifa ya ‘Operesheni Sangara II, Mwaka 2018’ kutoka kwa wakuu wa makamanda wa operesheni hiyo (hawapo pichani) Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akitoa maelekezo kwa makamanda wa ‘Operesheni Sangara …

Read More »

Muhimbili kuendelea kuboresha huduma kwa watu wenye walemavu

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Comminications Ltd, Maria Sarungi akizungumza kabla ya kufungua huduma ya matibabu bure kwa watu wenye ulemavu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambayo ufanyika Desemba 3, kila mwaka. Huduma hiyo inatolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na wataalam …

Read More »

19TH EAC JUA KALI-NGUVU KAZI KICKS OFF IN ELDORET

IMG_5346

Hon. Peter Munya, accompanied by the Governor of Uashin Gishu County, H.E. Jackson Mandago, the Pricipal Secretary Dr. Susan Koech, the Director General Ketthen Bagamuhunda tour the exhibition stalls.Hon. Peter Munya, accompanied by the Governor of Uashin Gishu County, H.E. Jackson Mandago, the Pricipal Secretary Dr. Susan Koech, the Director …

Read More »

MAJALIWA AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA TAIFA CHA BASEBALL JIJINI DAR

PMO_0844 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili kwenye Shule ya Sekondari ya Azania jijini Dar es salaam, Desemba 6, 2018 Kufungua Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball na Kuzindua Mashindano  ya Taifa ya Baseball. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …

Read More »

MHE HASUNGA AAGIZA VYUO VIKUU KUTANGAZA MATOKEO YA TAFITI ZAO

1R6A3930

  Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza kwenye sherehe ya nne ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi tarehe 6 Disemba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo). Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Prof Faustine K. Bee akitoa …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIWANJA CHA TAIFA CHA MCHEZO WA BASEBALL

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball nchini. Amewaagiza viongozi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni na Ofisi ya Rais-TAMISEMI waone umuhimu wa kuuendeleza mchezo huo. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Desemba 6, 2018) alipofungua …

Read More »