Saturday , March 23 2019

Home / bukuku (page 4)

bukuku

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA LEO

A1

AJALI YA MOTO KUUNGUZA NYUMBA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI. Mnamo tarehe 12.03.2019 majira ya saa 20:00 usiku huko katika Kitongoji cha Mapogoro, Kijiji cha Kapunga, Kata ya Itamboleo, Tarafa ya Ilongo, Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, CATHERINE MFIKWA [32] Mkazi wa Kapunga pamoja na mtoto wake …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MOROCCO HAPA NCHINI ALIYEAMBATANA NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KWAO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2a

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco  mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. katikati  ni Balozi wa Morocco hapa …

Read More »

WASANII WAMSAIDIA KIJANA HAMIS ALIYEVIMBA MIGUU,WAISHUKURU SERIKALI

4

WASANII wa fani mbalimbali nchini wameamua kumsaidia kijana Hamisi Salum anayesumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu kwa kumpeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili ili apate matibabu kwani wanaamini atapona na kutimiza ndoto zake.    Akizungumza jana Machi 12, 2019 kwa niaba ya wasanii wenzake, Msanii maarufu nchini Steve Nyerere amesema wanamatumaini …

Read More »

BODI YA WAKURUGENZI TANESCO YATEMBELEA KATAVI

DSC02302

  Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo balozi James Nzagi akizungumza jambo mbele ya wajumbe wenzake na wafanyakazi wa TANESCO mkoani Katavi. Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO wakishuka katika moja ya mashine ya kufua umeme. Aliyeko mbele ni meneja wa TANESCO mkoa wa Katavi Felix Olang’ Wajumbe wa …

Read More »

HOTEL YA ILBORU SAFARI YATEKETEA KWA MOTO

IMG-20190312-WA0001

Picha ni sehemu ya vyumba vya kulala wageni kwenye hotel ya Iboru Safari lodge baada ya kuzimwa Moto vikiwa vimeteketea paa lote picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha. ………………………………………………………………………………… Na Ahmed Mahmoud,Arusha Hoteli ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge inayomilikiwa na kanali Mstaafu wa Jwtz,Mika Metil, iliyopo Ilboru wilaya ya …

Read More »

MKUU WA WILAYA KINDONDONI AONGOZA KIKOSI CHA POLISI KUKAMATA MAGENDO MBWENI, NG’OMBE WATUMIKA KUFAULISHA MIZIGO KUTOKA KWENYE BOTI

1

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo mkoani Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye kituo cha Polisi cha Mbweni baada ya kufanya doria na kukamata magendo ya vitu mbalimbali vilivyokuwa vikivushwa kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara. Vitu vilivyokamatwa katika doria hiyo ni Sukari ya viwandani …

Read More »

MAONYESHO YA UJASIRIAMALI VIJANA WA ARUSHA WASHIRIKI KUKUZA MBINU ZA UJASIRIAMALI

IMG_5730

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabiel Daqqaro akipata Maelezo juu ya bidhaa zinazozalishwa na vijana kutoka Majukwaa ya Vijana Wilaya ya Arusha yaliyoandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la INFOY.Picha na ahmed mahmoud Arusha …………………………………………………………………………. Na Ahmed mahmoud,Arusha. Majukwaa ya Vijana  yaliyoko katika kata mbali mbali za Wilaya ya Ausha …

Read More »

KCB BANK TANZANIA BIASHARA CLUB YAFANYA SEMINA ARUSHA

Pic001

Bi. Christine Manyeye,Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusaino akijibu maswali kutoka kwa wafanya biashara wa jijini Arusha katika warsha ya Biashara Club iliyofanyika Mt. Meru Hotel tarehe 05 Machi 2019. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wafanyabiashara zaidi ya 250 iliwajumuiasha wadau mbali mbali katoka sekta ya utalii wakiwemo Tanzania National Parks Agency (TANAPA), Tanzania Revenue Authority (TRA), Tanzania …

Read More »

Kamati ya kitaifa mradi wa BEAR II yakutana Dar

JENNIFER

 Ofisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Jennifer Kotta akitambulisha meza kuu wakati wa kikao cha kamati ya kitaifa cha kupitia ratiba ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha elimu ya ufundi (BEAR II) kwa lengo la kuwajengea uwezo vijana katika ajira mbalimbali sokoni …

Read More »

MAKAMU WA RAIS ANAONDOKA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 UTAKAOFANYIKA KAMPALA – UGANDA

Hon. Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki kwenye Mkutano wa mwaka 2019 wa ‘Africa Now Summit’unaotarajiwa kufanyika tarehe12 na 13 Machi.Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2019

PHOTO MEDIA 3 MWANZA

Kampuni ya TBL Group chini ya kampuni mama ya  kimataifa ya ABInBev imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2019,kwa kushirikisha wafanyakazi wake  katika viwanda vyake nchini vilivyopo katika mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha. Katika maadhimisho hayo wafanyakazi Wanawake walipatiwa mada mbalimbali za kuwajengea uwezo wa kujiamini …

Read More »

NDG.GAUDENSIA KABAKA ATUA UNGUJA KUENDELEA ZIARA YAKE.

IMG_2176

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Gaudensia Kabaka akipokelewa na Viongozi mbali mbali wa CCM na Jumuiya zake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Unguja akitokea Pemba. Viongozi mbali mbali wa UWT Taifa wakiwa katika Chumba cha Wageni Mashuhuri(V.I.P),mara …

Read More »

Ethiopian Airlines: ‘hakuna manusura kwenye ajali ya ndege ya Boeing 737

_105965090_6bf2bde2-3a4c-4b7a-be1a-884aaebd4a96

Mkurugenzi Mkuu wa Ethiopian Airlines akiwa katika eneo la tukio la ajali …………………………………………………………….. Famlia na marafiki wanasubiri taarifa mjini Nairobi kuhusu hatma ya wapendwa wao waliokua wamesafiri kwa ndege ya Ethiopia iliyopata ajali leo jumapili asubuhi. Ndege hiyo ilitarajiwa kuwasili mjini Naorobi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo …

Read More »

Simbu, Sulle watangulia Olimpiki Tokyo 2020

Simbu+pic

NA MWANDISHI WETU  WANARIADHA wa Tanzania, Alphonce Simbu na Agustino Sulle wamekuwa wa kwanza kufuzu kwa michezo ya Olimpiki itakayofanyika jijini Tokyo Japan mwakani. Wanariadha hao wamefanikiwa kukata tiketi hiyo jana nchini Japan, baada yam kukimbia muda mzuri katika Mbio za Lake Biwa Marathon, ambazo zinatambulika na zimepitishwa na Shirikisho …

Read More »

WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WAPINZANI WANAOMTUKANA RAIS KUPITIA MIKUTANO YA NDANI, ASISITIZA MIKUTANO YA SIASA YA HADHARA MARUFUKU

PIX 1.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa Kilosa, Mkoani Morogoro, jana, ambapo amewaagiza Makamanda wa Polisi nchini kuwachunguza na kuwakamata wapinzani wanaomtukana Rais pamoja na Serikali kwa ujumla kupitia vikao vyao vya ndani vya siasa, nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya …

Read More »