Monday , February 18 2019

Home / regina

regina

SERIKALI HAITALIPA MADENI YALIYOKOPWA NA USHIRIKA-MAJALIWA

PMO_0976

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa zao la kahawa kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018.  Baadhi ya wadau wa zao la kahawa  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018.  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka  viongozi wa vyama vya ushirika …

Read More »

IGP SIRRO AWASHUKURU WANANCHI

Mkuu-wa-Jeshi-la-Polisi-nchini-IGP-Simon-Sirro-310x165

Na Ahmed Mahmoud Arusha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro  amewashuru wananchi kwa ushirikiano uliopelekea matukio ya uhalifu nchini kupungua kwa kiasi kikubwa ikiwemo matukio ya matumizi ya silaha. Akizungumza na vyombo vya habari Jijini hapa Siro amesema kuwa matukio mengi ya uhalifu hapa nchini yamepungua ambapo amewataka …

Read More »

MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA

PMO_0909

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Elisha Gaguti wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayodumu kwa siku nne, Oktoba 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama Ngoma ya …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU AWATAKA WATENDAJI WA TANESCO NA REA KUFIKISHA UMEME KATIKA MGODI WA UCHIMBAJI WA MAWE CHALINZE

2 (26)

Naibu Waziri wa Nishati Subira Magalu akizungumza na baadhi ya wanawake ambao ni wafanyakazi katika mgodi wa machimbo ya mawe yaliyopo katika kijiji cha Luambo kata ya Mbwewe katika halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo,baada ya kufanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea  maeneo ambayo yatanufaika na nishati ya …

Read More »

MAJAMBAZI SUGU WAWILI HATARI WANASWA MWANZA

P1120787

Jambazi sugu Peter Thomas Nyanchiwa anayedaiwa kuiba gari na kumjeruhi dereva wa gari hilo kwa risasi akionyeshwa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC) ACP Jonathan Shanna (kushoto). Picha na Baltazar Mashaka. Mtuhumiwa wa Ujambazi Jackson Elias akitambulishwa wkwa waandishi habari jana baada ya kutiwa …

Read More »

ABAMBWA KWA KUJIFANYA DK BINGWA HOSPITALI YA BUGANDO

P1120795

Daktari bandia wa Hospitali ya Rufaa  ya Kanda Bugando (BMC) Joseph Samwel au Nkwabi Samwel maarufu Kabinza (26) akiwa kwenye kituo cha Polisi Kati Nyamagana, kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP Jonathan Shanna wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa daktari huyo bandia. NA BALTAZAR MASHAKA, …

Read More »

WATUMISHI BANDIA MAMBO YA NDANI WANASWA MWANZA

SHANA

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA WATU wawili wanaoaminika kuwa matapeli wa ajira wamenaswa na jeshi la polisi mkoani Mwanza baada ya kujifanya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Matapeli hao walikamatwa Oktoba 3, mwaka huu majira ya saa 7:30 mchana  katika eneo la kituo cha mabasi Nyegezi katika Wilaya ya Nyamagana …

Read More »

BENKI YA BIASHARA YA DCB MKOMBOZI WA WANANCHI KIUCHUMI

IMG-20180924-WA0066

Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa mjini Dodoma hivi karibuni. Katika maelezo yake mkurugenzi huyo alisema DCB ilidhamini mkutano huo wakiwa kama wadau wakubwa wa serikali za mitaa hii …

Read More »

WAFANYABIASHARA ARUSHA WAPEWA NENO

KWITEGA

Na Ahmed Mahmoud Arusha WAFANYABIASHARA mkoa wa Arusha wameshauriwa kutumia fursa  ya maonyesho ya biashara ili waweze kukuza mitaji yao na kuingia ubia na wafanyabiashara wakubwa Ulimwenguni. Rai hiyo imetolewa mapema leo Oktoba 6 na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha,Richard Kwitega,alipokuwa akifungua semina ya siku moja ya Uwekezaji iliyoandaliwa na …

Read More »

VIBE LA TIGO FIESTA LAPAGAWISHA SUMBAWANGA

Barnaba

Msanii Barnaba akiwa jukwaani  kwenye   Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga hivi karibuni. Wakazi wa manispaa ya Sumbawanga na vitongoji vyake usiku wa kuamkia leo walipata burudani ya aina yake ya msimu wa tamasha kubwa nchini la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote. Hili ni tamasha …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. JAPHET HASUNGA AFANYA KIKAO NA WENYEVITI WA BODI PAMOJA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZOCHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII JIJINI ARUSHA

1 (2) (1)

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ( wa pili kulia) akizungumza na  Wenyeviti wa Bodi  za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii wakati akifungua  kikao cha kutathimini hatua zilizofikiwa katika ukamilishaji wa taratibu za uanzishwaji rasmi wa Jeshi Usu kilichofanyika jijini Arusha. Wa kwanza …

Read More »

KAMATI YA UONGOZI YA CHAMA CHA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA – AFRIKA) YATEMBELEA SOKO LA KIHISTORIA LA WATUMWA LA MKUNAZINI, MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

STONE TOWN 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), (aliyesimama katikakati) na ujumbe wake ambao ni Kamati ya Uongozi ya Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA – Afrika) wametembelea soko la watumwa lijulikanalo kama Stone Town Mjini Unguja. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Maspika …

Read More »

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI KATIKA CHUO CHA USTAWI WA JAMII

ustawi

CHUO cha Ustawi wa Jamii nchini kimetangaza majina ya wanafunzi walioteuliwa kusomea kozi  katika mwaka wa masomo wa 2018/2019 mbalimbali chuoni hapo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chuo hicho, wanafunzi hao wanatakiwa kuripoti chuoni hapo tarehe 15 Oktoba 2018. Kupata majina ya waliochaguliwa gusa kiunganishi (link) hapo chini. Selected …

Read More »

TRA YAKAMATA WATU WAWILI KWA KOSA LA KUGUSHI RISITI ZA EFD

kayombo

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa mamlaka hiyo Richard Kayombo akizungumza jambo. Na Mwandishi wetu Dar es Salaam 5 Oktoba, 2018   Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya Sinza Mori jijini …

Read More »

HOSPITAL YA BAGAMOYO YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WATUMISHI NA BAADHI YA MAJENGO KUWA CHAKAVU – DKT .MULOKOZI

IMG_20181004_103529

Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoani Pwani walipotembelea hospital ya wilaya ya Bagamoyo kuadhimisha wiki ya wanawake UWT kimkoa ,(wa pili kulia ) Mganga Mfawidhi hospitalini hapo dokta Erick Mulokozi. (Picha na Mwamvua Mwinyi) Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoani Pwani walipotembelea hospital ya wilaya ya Bagamoyo kuadhimisha wiki ya …

Read More »