Wednesday , August 15 2018

Home / SOLOMON

SOLOMON

MAKAMU WA RAIS ALIPOWAKARIBISHA SERENGETI BOYS NYUMBANI KWAKE

10

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys  jijini Dar es Salaam alipowaalika  nyumbani kwake na kupata nao chakula cha jioni kabla ya vijana hao kuondoka Tanzania..kuelekea katika michuano ya mataifa ya Afrika …

Read More »

BIBI TAGOLLA AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TEMESA

3

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla kufungua kikao cha Baraza la wafanyakazi TEMESA kinachofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Mkurugenzi wa Sera na Mipango …

Read More »

MWANAHABARI GEORGE BINAGI NA MISS PENDO KISAKA KUUAGA UKAPELA

1

Mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwanablogu wa mtandao wa Binagi Media Group, George Binagi (kulia) pamoja na Miss Pendo Kisaka (kushoto), wanatarajiwa kufunga pingu za maisha masaa machache yajao.   Wapendanao hao wanafunga ndoa hii leo March 26,2017 majira ya saa nane mchana katika Kanisa la EAGT Lumala …

Read More »

NINAYO YASHIRIKIANA NA HEIFER INTERNATIONAL KUWANUFAISHA WAKULIMA

2

Afisa mtendaji mkuu na mwanzilishi wa kampuni ya NINAYO Jack Langworthy akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari juu ya kuanzisha ushirikiano baina ya kampuni hiyo na shirika lisilo na kiserikali la Heifer utakaowawezesha wakulima kufikia masoko kupitia njia ya mtandao wa www.NINAYO.com .Kushoto ni Mkurugenzi mkazi wa Heifer International …

Read More »

RC MOROGORO ATOA RAI KWA VIJANA KUUNDA VIKUNDI

kebwe

        Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe S. Kebwe ametoa rai kwa vijana kujiweka katika vikundi ili wapate fursa za kupata mikopo kutoka Serikalini na kwa wadau mbalimbali. Mkuu wa Mkoa ametoa rai hiyo leo mkoani Morogoro alipokuwa akizungumza na mwandishi wa habari hii juu …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANA CCM PEMBA

6

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia)  vifaa  vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika …

Read More »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUFUNGA NDOA BILA CHETI CHA KUZALIWA

1

Serikali  imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hayo leo akiwa katika ziara yake mkoani Morogoro na kuongeza kuwa serikali imeamua kufanya hivyo ili kupata takwimu sahihi za wananchi wake zitakazosaidia kupanga …

Read More »