Thursday , November 23 2017

Home / BIASHARA

BIASHARA

Habari za kibiashara.

KAGERA WAJIPANGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BENKI YA KILIMO

DSC03601

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Kilimo ulipomtembelea Ofisini kwake Mkoani Kagera. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo, Bibi Rosebud Kurwijila na Katibu Tawala, Mkoa wa Kagera, Diwani Athumani (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi …

Read More »

Wahitimu Ndanda kuanzisha kampuni ya kukopesha fedha

nda

Na Mwandishi Wetu WAHITIMU wa Shule kongwe ya Sekondari Ndanda iliyopo Masasi mkoani Mtwara, kupitia umoja wao (UWAHISSENDA) wanakusudia kuanzisha kampuni itakayotoa mikopo midogomidogo kwa lengo la kujiimarisha kiuchumi. Hatua hiyo imekuja miaka miwili baada ya wahitimu hao kuanzisha kundi la mtandao wa kijamii la Whatsaap lenye zaidi ya wanaumoja …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAASWA KUWEZESHA MIRADI YA MAENDELEO SIMIYU

DSC03458

Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa TADB, Bw. Augustino Matutu Chacha (aliyesimama) akizungumza wakati walipofanya ziara ya kujionea miradi ya kilimo mkoani Simiyu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Kilimo, Bibi Rosebud Kurwijila (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (hayupo pichani) kuhusu nafasi ya TADB katika …

Read More »

Video-Waziri Prof Makame Mbarawa akijibu hoja kuhusu muswada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania ya Mwaka 2017

index

Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswaada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania ya Mwaka 2017 (The Tanzania Telecomunications Corporation Bill, 2017) mapema leo mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya hatua zinazochukuliwa na Serikali kuimrisha sekta ya Mawasiliano. Akizungumza wakati akijibu …

Read More »

TRA YAONGEZA UFANISI WA UKUSANYAJI KODI YA MAJENGO

IMG_0598

Dodoma, Novemba 14, 2017: Serikali imesema mapato yatokanayo na kodi ya majengo yanayokusanywa na Serikali yameongezeka baada ya jukumu hilo kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikilinganishwa na ilivyokuwa chini ya Halmashauri. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), …

Read More »

WAKULIMA WA KANDA YA ZIWA KUFIKIWA KUPITIA KONGANE

DSC03318

Meneja Uendeshaji wa Kiwanda cha Chobo, Bw. Charles Hotar (kulia) akitoa maelezo juu ya uchakataji wa nyama kwenye Kiwanda hicho kwa ugeni kutoka Benki ya Kilimo. Ugeni huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Bibi Rosebud Kurwijila (wapili kulia). Ugeni huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi …

Read More »

VIDEO: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TRA

tanzania-tra-pccb

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) siku ya tarehe 03 Novemba, 2017 ilifanikiwa kumkamata Bwana Dunia Athumani Tema mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam kwa tuhuma za kujifanya Mtumishi wa TRA na kutoa huduma kwa mteja ndani ya Ofisi ya TRA Kariakoo – Gerezani Jijini Dar es Salaam. Mara baada ya …

Read More »

Mkutano mkuu wa 44 wa wanahisa wa TBL wafanyika Dar es salaam

TBL wanahisa 3

Mwenyekiti wa Bodi ya TBL,Mh.Cleopa Msuya (katikati) akiendesha mkutano mkuu wa 44 wa  mwaka  wa wanahisa. wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa AB-InBev Afrika Mashariki Bruno Zambrano, Mkurugenzi wa Tbl Group ambaye pia ni Rais wa kitengo cha Biashara Afrika Mashariki  AB-InBev,Roberto Jarrin, Mkurugenzi wa bodi ya …

Read More »

TECNO KUSHIRIKIANA NA VODACOM KUITAMBULISHA PHANTOM 8 NCHINI

001.TECNO

Kampuni  kinara ya simu za mkononi  TECNO  imeungana na Vodacom kutambulisha toleo jipya TECNO Phantom 8, Simu hiyo iliyozinduliwa nchini Dubai imetambulishwa rasmi nchini Tanzania katika duka la TECNO SMART HUB lililopo Mlimani City mapema mwezi huu. Akizungumza wakati wa utambulisho ,  Afisa mahusiano wa TECNO , Eric Mkomoya  amesema …

Read More »