Monday , December 10 2018

Home / BURUDANI

BURUDANI

Habari za Burudani

MISS TANZANIA AKIMBIZA SHINDANO LA MISS WORLD,MPIGIE KURA HAPA

eliza

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss World), mwakilishi wa Tanzania, Queen Elizabeth Makune, ameendelea kuwa nafasi za juu huku Watanzania wakihimizwa kumpigia kura kwa wingi ili ashinde.     Queen Elizabeth ambaye yupo Sanya China tayari kwa mashindano hayo yanayojumuisha warembo zaidi ya …

Read More »

FILAMU YA UWOYA,RED LGHT KUONYESHWA IJUMAA HII

images

Baada ya uzinduzi wa Msimu wa Siku kuu na promosheni kutoka kwa Kampuni ya Star Media (T) Ltd, ambapo walitangaza rasmi nia yao ya kuisadia Bongo Movie kwa kununua filamu kadhaa na kuzionyesha kupitia chaneli yao ya Kiswahili, sasa filamu hizo zinaanza kuruka katika chaneli hiyo ya Kiswahili. Ili kurejesha …

Read More »

DIAMOND PLATNUMZ AWADATISHA MASHABIKI WAKE MJINI IRINGA USIKU HUU

01

Mwanamuziki Nasib Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz akitumbuiza usiku huu kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa katika tamasha kubwa la Wasafi Festival, Tamasha la leo ni Mwendelezo wa matamasha yake baada ya lile lililofanyika mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona na kuweka rekodi ya kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki …

Read More »

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

Baadhi ya washiriki Master Tanzania 201819

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo, Michael Maurus, alisema kuwa utambulisho huo ni sehemu ya maandalizi ya shoo ‘bab kubwa’ ya mchujo itakayofanyika wikiendi ya pili …

Read More »

Mojabet yatangaza kudhamini fainali za Bongo Star Search

0D6A0753

KAMPUNI ya Mojabet inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha kupitia mmoja ya michezo yake ya Boompesa leo imetangaza kudhamini fainali za Bongo Star Search (BSS) ambazo zinatarajiwa kufanyika tarehe 22 Disemba mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wakutangaza kudhamini Bongo Star Search msimu wa 9, Mkurugenzi wa Masoko kutoka …

Read More »

WASANII WALIVYOTOA BURUDANI KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA ULIOFANYIKA JIJINI DODOMA.

PMO_8697

Wasanii Misoji Nkwabi (wapili kulia)  na Peter Msechu wakiimba wimbo maalum wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozindua  Kampeni ya siku 16  za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwenye  Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kiongozi wa Kikundi  cha Nyati, maarufu kwa  ngoma za Kabila la Wagogo, John  Nchoya akiongoza katika kutoa …

Read More »

PANGANI JOGGING CLUB YAZINDULIWA KWA KISHINDO

pangani4

  Mbunge wa PANGANI na naibu waziri wa maji na umwagiliaji Mh jumaa awesso akikata utepe ikiwa kama ishara ya uzinduzi wa PANGANI JOGGING CLUB Mbunge wa PANGANI na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe Jumaa Awesso (Wa tatu toka kushoto) akiwa na Kamati na wajumbe wa awali wa …

Read More »

KISHINDO KIKUBWA UZINDUZI WA PANGANI JOGGING CLUB KESHO JUMAMOSI

IMG-20181123-WA0081

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Na Mbunge wa Pangani Mh. Jumaa Awesso anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho siku ya Jumamosi ya tarehe 24/11/2018 katika uzinduzi wa club mpya ya mazoezi jimboni kwake iliyopewa jina la PANGANI JOGGING CLUB. Akizungumza na wanahabari, Afisa Tarafa Pangani Mjini Zuhura Abdulrahmani, amesema kuwa …

Read More »

DEREVA BODA BODA ANAYEKIMBIZA KWENYE BONGO STAR SEARCH

index

“…sikuwa nafahamu, aliniambia usaili unafanyika Club Next Door wahi uende ukajaribu bahati yako huwezi jua. Akaniongezea na Tsh 2000.” Dar es Salaam November 21, 2018 Anaitwa Julius Macha mkazi wa Kiwalani jijini Dar es Salaam ambaye ni miongoni mwa washiriki 17 waliongia katika kambi ya Bongo Star Search jijini Dar …

Read More »

Moto wa Supersport wikiendi hii

DStv EPL Match 2018 Tottenham v Chelsea ads Instagram(1080px X 1080px) (2)

Mega-Millions Golf Clash – Pambano kali la Golf kati ya Tiger Woods vs. Phil Mickelson London Derby kati ya Totten ham vs Chelsea kwenye Premier League Fainali za Formula one Abu Dhabi Grand Prix Moja kati ya mpambano mkali sana wa Golf unafanyika wiki hii, Superstar Tiger Woods atakutana uso …

Read More »

SUPER D COACH AMFUA MBWANA CHINENDA KWA AJILI YA KUZIPIGA NOVEMBA 30

SA

Mbwana chinenda kg 57     Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ akimwelekeza bondia Mbwana chinenda  jinsi ya kupiga ngumi iliyo nyooka ‘Jab’ wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na   Nassoro Nyange Novemba 30 katika ukumbi wa  ukumbi wa Champion Nifht Club uliopo Gongolamboto Dar es …

Read More »

Sekta ya Filamu ni Sekta Mtambuka – Dkt. Mwakyembe.

Pix 1

Na Shamimu Nyaki Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameeleza kuwa sekta ya filamu ni kiwanda mtambuka  hasa katika uandaaji, urushwaji, uuzaji na usambazaji wa maudhui . Hayo ameyasema  leo Jijini Dodoma  alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa  jukwaa  la maudhui linalotarajiwa kufanyika Novemba 28 …

Read More »

STARTMIMES YAJA NA LIPA TUKUBUSTI MSIMU WA KRISMASI

Capture

Meneja masoko wa Startimes Davis Malisa akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya kabambe kabisa awa wateja wao pendwa kwenye msimu huu wa Krismasi uliofanyiaka jijini Dar es Salaam.  Meneja Maudhui wa Startimes Zamaradi Nzowa akizungumza na waandishi wa habari pamoja na …

Read More »

DStv yazindua kampeni ya mwisho wa mwaka

Pix1.

Msanii maarufu wa muziki wa Taarabu Khadija Oumar Kopa akitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya DStv ya msimu wa sikukuu ijulikanayo kama “Muda wa Kukiwasha na DStv” uliofanyika katika ofisi za MultiChoice Tanzania. Katika msimu huu wa sikukuu ambapo watu wengi hujumuika na familia zao kwa mapumziko ya mwisho …

Read More »

RAMADHANI SHAURI NA AZIZI ULIZA WASA INI KUZIPIGA DESEMBA 31

IMG_0426

Mratibu wa mpambano wa masumbwi nchini Chaurembo Parasa Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Azizi Uliza kushoto na Ramadhani Shauri baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Desemba 31 katika uwanja wa Kinesi uliopo Shekirango Picha na Super D Boxing News Mabondia Azizi Uliza kushoto wakitazamana kwa usongo mara baada ya kusaini …

Read More »

KEMI GOES NEXT LEVEL IN THE ART OF DESIGN

KEM4

 Models shows the fashion work of Kemi  Models shows the fashion work of Kemi Models shows the fashion work of Kemi TANZANIA’s fashion designer, Kemi Kalikawe, has gone next level in fashion designing showbiz after her brilliant performance in many world class events. The just ended International Young Fashion Designers …

Read More »