Friday , October 19 2018

Home / filamu

filamu

TANZANIA YATHIBITISHA KUANDAA MICHUANO YA FAINALI ZA VIJANA

index

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)imeithibitisha rasmi Tanzania kuwa wenyeji wa Fainali za Africa za Vijana zitakazofanyika mwakani. Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji kimekutana kwa siku mbili huko Sharm El Sheikh,Misri.  Kupitia sauti ya Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa,Serikali ya Tanzania ilimthibitishia Rais wa CAF Ahmad …

Read More »

KUTOKA DStv TUNAKUAMBIA HIVI,MOTO HAUZIMWI

DStv ads Instagram(1080px X 1080px)

Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa! Amini usiamini…., utashuhudia mieleka na mbio za magari za langalanga(Formula 1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na 8. Ofa hii …

Read More »

VIDEO:MAMA SAMIA ANUKUU BIBLIA

8b

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinukuu baadhi ya aya kutoka kwenye Biblia Takatifu wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu  na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule …

Read More »

DK. FADHILI EMILLY MKURUGENZI WA FADHAGET AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI MBIU YA TANZANIA YA VIWANDA

2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Fadhaget inayomiliki Kiwanda cha VirutubishoTiba Fadhaget Nutrition Science (kushoto),Fadhili Emily  aki pokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda vidogo vidogo(SIDO).Cheti hicho ni kwa ajili ya kutambuliwa kwa kiwanda chake ambacho amekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam. Cheti chenyewe …………………………………………………………………… *Aishukuru Serikali,SIDO kwa …

Read More »

Kwenye DStv leo usiku

SUPERSPORT_lrg

Michuano ya UEFA champions League hatua ya robo fainali raundi ya pili inaendelea leo siku, Jana usiku tulishuhudia hatua ya kwanza ya robo fainali, ambapo Juventus walipigwa 3-0 na Real Madrid hivyo Madrid kusonga mbele kwenye michuano hii na mechi nyingine ilikuwa ni kati ya Sevila 1- 2 Bayern Munich, …

Read More »

Wasanii wa Filamu Nchini Waaswa Kuzingatia Maadili

P0

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Joyce Fissoo akionyesha Leseni inayotolewa na bodi hiyo kwa ajili ya waendeshaji wa vibanda vya kuonyeshea filamu wakati wa kikao kazi cha wadau wa tasnia ya Filamu na Maafisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha kilichofanyika jana Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Afisa …

Read More »