Friday , October 19 2018

Home / MAGAZETI

MAGAZETI

Habari za kwenye magazeti

FAMILIA YA SHEIKH RAMIYA ALIYEMFANYIA DUA HAYATI MWL .J.K .NYERERE BAGAMOYO YAIOMBA SERIKALI KUWEKA MAKUMBUSHO YA KUMBUKUMBU KUWAENZI WAASISI HAO

3

Jumba lenye historia aliyokuwa akienda kufanyiwa dua muasisi hayati Mwl.J.K Nyerere ,kisha kubarikiwa kwenda kuikomboa nchi mwaka 1961, nyumba ambayo kwasasa ina karne mbili , imekuwa gofu na ilijengwa kwa mawe ,ipo eneo la Zawiyani ,Dunda wilayani Bagamoyo Mtoto wa mwisho wa sheikh Ramiya ,aitwae Ramiya Mohammed Ramiya, akionyesha historia …

Read More »