Thursday , December 13 2018

Home / MCHANGANYIKO

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

TAMISEMI, PS3 Zawanoa Walimu Mfumo wa OPRAS

7

Mgeni wa mafunzo hayo Afisa Elimu Mkoa wa Tabora, Suzan Nusu akitoa neno la ufunguzi kwa maafisa elimu wa Halmashauri za Mkoa wa Tabora wakati wa mafunzo hayo. Renatus kutoka PS3 makao makuu akizungumza kabla ya kuanza kwa mafunzo. Mwezeshaji kutoka TAMISEMI, Yabesi Katamba akizungumza wakati wa mafunzo. Mafunzo ya …

Read More »

WABANGUAJI KOROSHO WAMPA KONGOLE RAIS MAGUFULI

1

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, akisisitiza jambo kwenye kikao na wawakilishi wa Umoja wa Wabanguaji Wadogo wa Korosho Tanzania(UWWKT) kilichofanyika kwenye hoteli ya Lindi Sea View. Pembeni ya Naibu Waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, mhehsimiwa Shaibu Ndemanga, Mkurugenzi Mkuu wa SIDO Profesa Sylvester …

Read More »

SIMIYU KUANDAA MWONGOZO WA UWEKEZAJI KWA KILA KIJIJI

PICHA 1

Na Stella Kalinga, Simiyu Mkoa wa Simiyu umejipanga kuandaa mwongozo wa uwekezaji  kwa kila Kijiji na Mtaa utakaobainisha fursa za uwekezaji zilizopo katika kijiji na mtaa husika katika vijiji vyote 471 na Mitaa 92 ya wilaya zote tano za Mkoa huu, ikiwa ni maandalizi ya utekelezaji wa Falsafa ya Bidhaa …

Read More »

NAIBU MWANASHERIA MKUU AZINDUA KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI

IMG_4436-2

Naibu Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Dkt. Evaristo Longopa akizindua Kamati mpya ya Ukaguzi wa Ndani katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika uzinduzi huo Dkt. Longopa amesema Kamati hiyo haitangiliwa katika utekelezaji wa Majukumu yake. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Bw. Waziri Kipacha kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi. …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA WAZIRI MKUU WA MISRI DKT. MOSTAFA MADBOULY WASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 2100 KATIKA MTO RUFIJI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji kati ya Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab Contractors/El Sewedy Electric kushoto …

Read More »

Serikali Yapongezwa Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji

4C1A0618

Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Jamii wa Kampuni ya Cetawico Limited, Bi. Katrin Boehl  akifafanua mambo mbalimbali kwa waandishi wa habari za Uchumi na Fedha  waliotembelea kiwanda cha kampuni ya Cetawico Tanzania jana Jijini Dodoma Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Jamii wa Kampuni ya …

Read More »

WANANCHI WA CHOLE WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI.

IMG-20181212-WA0069

Baadhi ya majengo yanayojengwa katika kituo cha afya Chole. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akikagua ujenzi wa nyumba sita zinazojengwa katika sekondari ya vikumburu. Wananchi wa Tarafa ya chole wameimwagia pongezi serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli …

Read More »