Thursday , January 17 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 10)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

RAIS AMEDHAMIRIA KUFUNGUA MILANGO LA MAENDELEO NCHINI

PMO_5394-min

*Ni ile iliyokuwa imejifunga kwa muda mrefu kwenye mikoa mbalimbali RAIS Dkt. John Magufuli amedhamiria kufungua milango na fursa za maendeleo iliyokuwa imejifunga kwa muda mrefu kwenye mikoa mbalimbali nchini ukiwemo mkoa wa Ruvuma. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa, Januari 4, 2019) na Waziri MKuuKassim Majaliwa apozungumza na wananchi kwenye mkutano wa …

Read More »

MULTICHOICE YAKABIDHI NYUMBA ZA WALIMU ZANZIBAR

49898090_574318666347353_9141606511057829888_n

Kampuni ya MultiChoice Tanzania, imekabidhi jingo la nyumba mbili za walimu katika shule ya Kizimkazi Kusini Unguja Zanzibar katika hafla iliyofanyika shuleni hapo hivi karibuni na kuongozwa na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo na Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Jacqueline Woiso. Jengo la nyumba …

Read More »

JAFO ASISITIZA VIONGOZI KUTEMBELEA MRADI

image1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemank Jafo amesisitiza Viongozi na watendaji kutembelea miradi ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo hayo ili miradi hiyo iweze kutekelezwa vizuri Kama inavyotakiwa. Waziri Jafo aliyasema hayo Leo hii alipokuwa katika ukaguzi wa miradi ya DMDP wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam.  …

Read More »

BARABARA YA MBINGA-MBAMBA BEY KUKAMILIKA 2021

PMO_5246

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya Mbinga- Mbamba bay kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 66, Januari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim …

Read More »

WAKURUGENZI FUATILIENI UTENDAJI WA WATUMISHI-MAJALIWA

index

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafuatilie utendaji kazi wa watumishi kwenye maeneo kubaini kama wanakwenda kwa wananchi na kuwahudumia ipasavyo. ‘Serikali inahitaji kuona watumishi wa umma wanakwenda kwa wananchi  kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kushirikiana nao katika kuzipatia ufumbuzi’’. Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGUA SOKO LA MAZAO SONGEA

PMO_4834-min

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua  Soko la Mazao   la OTC Lilambo  wilayani Songea Januari 3, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, Watatu kushoto ni Waziri wa kilimo, Japhet Hasunga, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

DAWASA YAKABIDHIWA JENGO, WATAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII

IMG_8671

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo akizungumza na wanahabari na wageni waalikwa wakati wa utilianaji wa saini wa usimamizi wa jengo la Maji lililokuwa likijengwa na Wizara ya maji na Umwagiliaji na sasa wamekabidhiwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kwa ajili ya kulimalizia …

Read More »

AJALI ZAPOTEZA MAISHA YA WATU 454 KWA MIAKA MITATU MWANZA

DSC07959

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Imeelezwa kuwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita watu 454 mkoani Mwanza walipoteza maisha na wengine 423 walijeruhiwa na kupata vilema kutokana na ajali za barabarani. Hivyo kutokana na ajali hizo ipo haja ya kuendelea kutoa elimu ya usalama barabarani kwa makundi yote ya watumiaji wa barabara …

Read More »

Jafo apongeza Ujenzi Ofisi za Halmashauri-KIBITI

image3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(katikati) akitoa maelekezo wakati akikagua ujenzi wa Ofisi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo aKiwa na viongozi wa Wilaya …

Read More »

UCSAF YALETA CHANGAMOTO CHANYA KWA KAMPUNI ZA SIMU ZA MKONONI

JPEG. NA. 2

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kulia) akisikiliza kwa makini taarifa kutoka kwa Afisa Mtendaji Kata ya Katwe, Wilaya ya Sengerema, Mwanza, Deus Ngodagula Masasi (aliyenyoosha kidole) kuhusu ukosefu wa mawasiliano kwenye kisiwa cha Maisome wakati wa ziara yake ya kukagua hali ya mawasiliano wilayani …

Read More »

WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR

????????????????????????????????????

Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar. Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Mshirika …

Read More »