Tuesday , March 26 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 2)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

WAZIRI KAMWELWE ASISITIZA UZALENDO KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Sekta ya Uchukuzi (Hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa kufanya kazi kwa uzalendo, wakati Waziri huyo alipokuwa akifungua baraza hilo, jijini Dodoma, mwishoni mwa wiki. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe …

Read More »

KESI YA MAUAJI YA WATOTO WATATU IMEENDELEA NJOMBE

unnamed

  NJOMBE Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa njombe imeahirisha kesi ya mauaji yawatoto watatu wa familia moja inayowakabili watuhumiwa watatu mkoani humo hadi April 9 mwaka huu. TAARIFA YA JOCTAN MYEFU KUTOKA NJOMBE INASOMWA STUDIO. Kesi hiyo ambayo imesomwa na hakimu mkazi mfawidhi mkoa wa Njombe Magdalena Mtandu imesogezwa …

Read More »

MPINA AWAMWAGIA MABILIONI WAVUVI NCHI NZIMA

_MG_1305

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya  Bunge, Kilimo, Mifugo na Maji, Mahmoud Mgimwa(Aliyesimama) akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina na Mjumbe wa Kamati hiyo Calist Komu   Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina wa …

Read More »

WAZIRI LUGOLA AWASILI ZANZIBAR, KUFANYA MKUTANO WA HADHARA UNGUJA LEO, KUFUNGUA MKUTANO WA KUZUIA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU, KESHO

B

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsalimia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Thobias Sedoyeka, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya kikazi. Lugola anatarajia kufanya mkutano wa hadhara katika Viwanja …

Read More »

WAZIRI LUGOLA ATAKA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU IDHIBITIWE, KUFUNGUA MKUTANO MKUBWA WA WADAU WA KUZUIA BIASHARA HIYO, MJINI UNGUJA, ZANZIBAR KESHO

2. PICHA YA MAKTABA

Na Felix Mwagara, MOHA-Zanzibar. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ameitaka Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu nchini, iongeze kasi ya kupambana na biashara hiyo ili iweze kudhibitiwa kwa kuwa inaichafua nchi. Waziri Lugola, ambaye kesho anatarajia kufungua mkutano …

Read More »

Watanzania 52 wachomoza programu ya wajasiriamali TEF

2

Mwanzilishi wa Taasisi ya Tony Elumelu, Tony Elumelu (Kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na na mke wa Rais wa Nigeria, Aisha Buhari (katikati) na kulia ni Mwasisi Msaidizi  Dk. Awele Elumelu. Hafla ya kutangaza majina ya wajariamali 1,000 wa Afrika wataowezeshwa na Taasisi ya TEF ilifanyika jana jijini Abuja …

Read More »

GENEXPERT ITASAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA TB NCHINI

2

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kushoto) akiangalia zawadi ya nguo aliyopewa na Taasisi ya Mukukite inayojishughulisha kutoa huduma za matibabu ya ugonjwa wa kifua kikuu. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisema jambo na wananchi …

Read More »

WATENDAJI MAMLAKA ZA MAJI WATAKIWA KUWAJIBIKA ZAIDI

km jws

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akiongea na watendaji wa wizara yake wakati wa mkutano wa Mapitio ya Sekta ya Maji (JWSR), ambao pia ulikua ni moja ya matukio ya Wiki ya Maji kwa mwaka 2019, uliokutanisha wadau wa sekta ya maji kwa pamoja. ……………………… Katibu Mkuu, Wizara …

Read More »