Thursday , January 17 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 20)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

DKT. JINGU AYAKUMBUSHA MASHIRIKA KUZINGATIA KATIBA NA SHERIA

3

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu akivalishwa zawadi ya skafu na Jazilla Jumanne mwanafunzi wa kituo cha kulelea watoto wananaoishi katika mazingira magumu Upendo Hope kilichopo nje kidogo ya Manispaa ya Singida. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …

Read More »

Wachimbaji Madini Namungo Waomba vifaa

PICHA NA 1

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) akifafanua jambo alipofanya ziara katika Mgodi wa Dhahabu wa Namungo uliopo Wilayani Ruangwa mkoani  Lindi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili katika mkoa huo yenye lengo la kukagua shughuli za uchimbaji wa madini pamoja na kutatua kero mbalimbali. Katikati ni …

Read More »

USHOGA HAUKUBALIKI KAMWE-DKT.MPANGO

E79A7911-min

Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Philipo Mpango,akizungumza na wadau leo wakati wa kufunga mkutano wa wadau wa mfumo wa ukusanyaji mapato (GePG)  uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango (Kambarage) Jijini Dodoma. Baadhi ya Washiriki wa mkutano wa mwaka wa mfumo wa ukusanyaji mapato (GePG), wakifuatilia hotuba ya …

Read More »

WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122

IMG_20181214_120514_3-min

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  MKUU wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanajenga madarasa 122 na matundu ya vyoo ili wanafunzi 4,731 waliobaki kujiunga kidato cha kwanza waweze kuanza masomo ,ifikapo January 30 mwaka 2019. Aidha amewaelekeza ,kufuatilia shule za msingi …

Read More »

TANZANIA YAFUNGUA OFISI NDOGO YA UBALOZI HONGKONG CHINA

index

Na Grace Semfuko-MAELEZO Tanzania imefungua ofisi ndogo ya kibalozi Hongkong nchini China ambayo itahudumia masuala ya kidiplomasia na kuongozwa na Balozi wa Heshima wa Tanzania Dkt Annie Wu alieteuliwa Septemba 2 mwaka huu na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga wakati alipohudhuria mkutano …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

MATEI-1

KUJIHUSISHA NA MATUKIO YA UHALIFU-WILAYA YA MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya uhalifu katika mbalimbali hapa Jijini Mbeya. Watuhumiwa hao wamekamatwa mnamo tarehe 13.12.2018 majira ya saa 06:00 huko maeneo ya Ilemi, Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba Jiji …

Read More »

WAISLAMU MWANZA WAZINDUA MFUKO WA MAENDELEO

DSC07447

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA   BARAZA Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limezindua Mfuko wa Maendeleo ya Waislamu utakaotumika kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi katika sekta za afya na elimu.   Mfuko huo ulizinduliwa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dk. Severin Mathias Lalika kwa niaba ya Mkuu …

Read More »

SERIKALI, MADHEHEBU YA DINI KUENDELEZA USHIRIKIANO

DSC07450

…………………………. NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA SERIKALI itaendeleza ushirikiano na madhehebu yote ya dini kwa kuwa ndiyo msingi wa amani na utulivu uliopo nchini na kuwataka viongozi  wa dini waisaidie kufichua ubadhirifu wa mapato ya serikali na kuiwezesha kuleta maendeleo ya nchi kwa maslahi ya wananchi. Kauli hiyo ilitolewa juzi na …

Read More »

Mkuu wa Wilaya ya Magu Adhamiria Kuleta Ustawi wa Wananchi Wanyonge

????????????????????????????????????

Mkuu wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza akizungumza na wanachi walioshiriki katika mafunzo yakuwajengea uwezo ili waweze kutekeleza dhana ya kilimo biashara katika Wilaya hiyo, mafunzo hayo yameratibiwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuwashirikisha wakulima 200, Kushoto …

Read More »

Maafisa Madini Watakiwa kuwa Wabunifu, Ukusanyaji Maduhuli

PICHA NA 1

Mtaalam kutoka kiwanda cha kuzalisha saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara, Victor Kamuhabwa (wa kwanza kulia mbele) akimwonesha Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wa pili kushoto mbele) namna mfumo wa uendeshaji wa mitambo unavyofanya kazi kwenye ziara ya Naibu Waziri Nyongo kwenye kiwanda hicho tarehe 13 Desemba, 2018. Mtaalam …

Read More »

WATENDAJI KILOMBERO WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WAFUGAJI NA WAVUVI

IMG-20181213-WA0015

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, amewaagiza watendaji wa Halmashauri ya Kilombero, Mkoani Morogoro kuhakikisha wanatafatuta mbinu za kutatua migogoro ya wananchi ambayo imekuwa ikijitokeza katika maeneo yao. Akizungumza katika ziara yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero zilizopo katika sekta za mifugo na uvuvi, kwenye kijiji …

Read More »