Tuesday , March 26 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 3)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

WAZIRI JAFO AMETOA MIEZI MITATU KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA ASILIMIA KUMI YA MAPATO YA NDANI KWA AJILI YA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU

waziri jafo

NA  FARIDA SAIDY,(MOROGORO ) WAZIRI wa  nchi ofisi ya  Raisi Tawala za mikoa na serikali  za mitaa TAMISEMI  Seleman Jafo ametoa miezi mitatu  kwa wakurugenzi  wa Halmashauri za miji, majiji, manispaa na Wilaya  nchini kuhakikisha wanatenga   asilimia kumi  ya  mapato ya ndani  kwa ajili ya  wanawake, vijana na wenye ulemavu …

Read More »

KAMANDA SHANA AANZA NA “MATAPELI WA DOLLAR” BANDIA

JC9A2249

 Dola bandia zilizokamatwa jijini Arusha, baada ya Askari Polisi kuweka mtego na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana akiwaonyesha waandishi wa habari noti bandia ambazo zilikamatwa juzi eneo la Mjini Kati jijini Arusha. ……………………….. Na Rashid Nchimbi wa Polisi …

Read More »

Wafungwa Gereza Songwe Walima Ekari 750 za Mahindi

PIX 1..

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akielekea kukagua mahindi yanayolimwa na wafungwa katika Gereza la Kilimo Songwe kwa ajili ya chakula cha wafungwa nchini. Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo, Mrakibu Mwandamizi, Peter Anatory. Ziara hiyo imefanyika leo jijini Mbeya. Naibu Waziri wa Mambo …

Read More »

WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ZAMBIA, ITALIA

PMO_0841

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Hassan Simba Yahya ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Italia Nchini, Mhe. Roberto Mengoni, Ofisini kwa Waziri …

Read More »

TANZANIA YAPIGA HATUA MATUMIZI YA VYANDARUA VYENYE DAWA

1

Mratibu wa Malaria wa Halmashauri ya Kigoma/Ujiji Dkt. Abigael Kasumani (kushoto) akitoa salamu leo za washiriki wa semina za siku moja kuhusu usambazaji wa matokeo ya Utafiti wa Viashiria vya Malaria Tanzania wa mwaka 2017 kwa Kanda ya Magharibi kwa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri, Waratibu wa Malaria Mkoa, Halamashauri ,Mameneja Takwimu …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MUHOGO

PMO_0526

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mwenyekiti wa Kampuni ya Cassava Starch Of Tanzania Corporation Limited  (CSTC), Bw. Gerald Billet (kulia) wakifungua  kiwanda cha kuchakata muhogo cha CSTC kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye  Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuwasha mashine ya kuchakata muhogo wakati alipozindua kiwanda …

Read More »

SERIKALI YAPANIA KUTOKOMEZA KERO YA MAJI

MBARA

Waziri wa Maji  Pro, Makame Mbarawa,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kufunga wiki ya maji na kufungua kikao cha tathmini ya wataalamu wa maji,wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wafadhili waliokutana jijini Dodoma kuangalia namna ya kukabiliana ya changamoto ya utoaji wa huduma ya maji safi …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE AHIDI KUVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO TMA

index

NA EMMANUEL MBATILO Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe ameahidi kufuatilia na kuzifanyia kazi changamoto zinazoikabili Mamlaka ya Hali ya Hewa hapa nchini (TMA) ikiwemo vifaa vya kutosha katika vituo mbalimbali vya Mmalaka hiyo. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa baraza la …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOANI MBEYA

g1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma mbalimbali. KUINGIA NCHINI BILA KIBALI, Mnamo tarehe 21.03.2019 saa 16:30 jioni huko eneo na Kata ya Lupa Tingatinga, Tarafa ya Kipambawe. Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Polisi walimkamata OMARY JUMA @MWAMI [21] raia wa nchi ya Burundi akiwa …

Read More »

Zainabu Katimba: Vijana tuchangamkie fursa za kiuchumi

ZAINAB MB2

Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vijana bungeni, Zainabu Katimba, kulia, akizungumza na baadhi ya vijana wanaowakilisha makundi mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika kongamano aliloandaa lenye dhamira ya kuangalia fursa za kiuchumi zinazoweza kufanyia na vijana kwa ajili ya kukuza uchumi wao. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Friedrich …

Read More »

WAVAMIZI SHAMBA LA MITI BIHARAMULO WAPEWA MIEZI 3

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (katikati)  akizungumza   na Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe.  Mtemi Simeoni (kushoto)   wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Shamba la Miti la Biharamulo mara baada  ya kukagua maendeleo ya miti iliyopandwa katika shamba hilo kwa  ukubwa  wa hekari 900 katika wilaya ya …

Read More »

MAMBA WAGEUKA KERO KWA WANANCHI WA KILANGALANGA -DENGE

Screenshot_20190322-105305_1553241289832

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA VIJIJINI  WIMBI la mamba katika ukanda wa mto Ruvu, kata ya Kilangalanga, Kibaha Vijijini mkoani Pwani linadaiwa kuwa wengi hali inayojenga hofu kwa wananchi ambapo hadi sasa watu wawili wameshajeruhiwa na mamba hao.  Aidha  wanyama waitwao Kiboko wanadaiwa kuvamia baadhi ya mashamba ya watu na kuharibu …

Read More »

WAZIRI JAFO AAGIZA HOSPITALI GAIRO HADI JUNI 30 IWE IMEKAMILIKA

JAFO KAGUA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Selemani  Jafo akiwasili katika eneo panapojengwa hospitali ya wilaya ya Gairo mkoani Morogoro akiwa ameongozana viongozi mbalimbali Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Selemani  Jafo,akisalimiana na viongozi mbalimbali …

Read More »