Wednesday , January 17 2018

Home / MCHANGANYIKO (page 30)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

AWESO AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI LONGIDO

2

Naibu Waziri na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel Chongolo wakitoka kukagua chanzo cha maji cha Mto Simba kilichopo wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro kitakachotumiwa na mradi wa Longido. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA), Mhandisi Ruth Koya (kushoto), …

Read More »

TARURA WATAKIWA KUSIMAMIA KWA WELEDI UTEKELEZAJI WA MIRADI

PICHA A

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Barabara ya Mkoa huo(hawapo pichani) katika Kikao cha bodi hiyo kilichofanyika jana Mjini Bariadi, (kushoto) Katibu Tawala Mkoa huo, Ndg.Jumanne Sagini na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi,Mhe.Festo Kiswaga(kulia) Meneja wa Wakala wa Barabara Mijiji na Vijijini(TARURA) Mkoa …

Read More »

BOHARI YA DAWA (MSD) YAPONGEZWA KWA USAMBAZAJI WA DAWA NCHINI

1

 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo Muhimbili (MOI) katika ziara yake ya kikazi ya kutembelea Hospitali za Mkoa wa Dar es Salaam kujua changamoto walizonazo za upatikanaji wa dawa na kuzitafutia …

Read More »

Mkutano Wa Nane Wa Baraza La Tisa La Wawakilishi Zanzibar Kuanza Jumatano Tarehe 6 Mwezi Huu

leo

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akizungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Mkutano wa Nane wa Baraza la Tisa la Wawakilishi linaloanza Tarehe 6/12/2017. ……………… .Na Maryam Kidiko  – Maelezo Zanzibar.                        Jumla ya maswali 113 yameratibiwa …

Read More »

RC WANGABO AIAGIZA SUWASA KUWAKATIA MAJI WENYE MADENI SUGU

P_115141_vHDR_On

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (kaunda suti ya Blu) akitaka ufafanuzi wa mchoro wa mradi wa maji taka unaotumika katika Manispaa ya Sumbawanga kutoka kwa Mkurugenzi wa SUWASA Hamis Makala (Kushoto) alipofanya ziara katika Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

RC TABORA: JENGENI TABIA YA KULIMA KILIMO KINACHOWAPA ZIADA

RC1

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA WAKULIMA wametakiwa kuhakikisha wanalima kilimo cha kisasa ambacho ndio kitawawezesha kuzalisha ziada ambayo ndio itawaletea faida kwa ajili ya kupata fedha za kujiletea maendeleo yatakayowaondoa katika umaskini. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa uhamasishaji wa kilimo cha …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

index

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA     Wito kwa Vyombo vya Habari     Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajia kutoa tamko rasmi la zoezi lijulikanalo kama ‘Ushirikiano Imara” 2017 litakalojumuisha nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tamko hilo litatolewa tarehe 5 Desemba 2017 …

Read More »