Thursday , January 18 2018

Home / MCHANGANYIKO (page 4)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

WAZIRI MKUU AUVUNJA MFUKO WA KUENDELEZA KAHAWA

PMO_6968

*Amuagiza CAG kufanya uchunguzi tangu kuanzishwa kwake   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza mwenendo wa mfuko huo tangu ulipoanzishwa. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Januari 14, 2018) wakati akizungumza na …

Read More »

MIGODI YA WACHIMBAJI WADOGO BUHEMBA YAFUNGULIWA

TATU

Naibu Waziri wa Madini, Stansalus Nyongo (kulia) akijiandaa kufungua rasmi Migodi ya Dhahabu ya Wachimbaji Wadogo wa Buhemba, Wilayani Butiama Mkoani Mara. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (kushoto) wakati wa kufungua migodi ya wachimbaji wadogo ya Buhemba. Wa pili …

Read More »

SERIKALI YAMCHARUKIA MKANDARASI DOTT

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Mkandarasi Dott Service na Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya Kyongdong Engineering wanaojenga barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa KM 50 kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi huyo kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo haraka. Mbunge wa Jimbo la Nanyamba …

Read More »

ASILIMIA 80 YA WANAOHITAJI DAMU NCHINI NI WANAWAKE.

????????????????????????????????????

Waziri wa afya, Maendeleo ya  Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na wananchi hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu iliyoandaliwa na Chama cha wanawake cha Tasania ya Filamu nchini leo jijini Dar es salaam. …………………………………………………………………………… NA WAMJW-DAR ES SALAAM   ASILIMIA 80 ya wanaohitaji …

Read More »

NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA-MAJALIWA

PMO_6578

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi  wa Serekali pamoja na Watendaji waTanesco, REA. katika kikao cha maendeleo ya usambazaji umeme kilichofanyika , leo (Jumamosi, Januari 13, 2018)Ofisini kwake, Mjini Dodoma (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)  ……………………………………………………………………………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa …

Read More »

RC TABORA: AMCOS ZOTE KUANZA KUPANDA MITI JUMATATU

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA VIONGOZI wa vyama vya ushirika vya msingi (AMCOS) wameagizwa  kuhakikisha wanasimamia wanachama wao wanapanda miti ili   kuhifadhi mazingira na kupata nishati ya kukaushia tumbaku. Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Urambo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akitangaza wiki ya upandaji miti kwa ngazi ya AMCOS na …

Read More »

UHAKIKI WA MALI ZA UVCCM KILIMANJARO

IMG-20180113-WA0004

   Kamati ya utekelezaji Mkoa wa Kilimanjaro ikiongozwa na Mwenyekiti IVAN SAMSON MOSHI   leo tarehe 12/01/2018 imefanya uhakiki  wa mali za UVCCM KILIMANJARO   Kamati imebaini mambo mengi ambayo yalitokea kipindi kilichopita na Mwkt ameagiza mikataba yote ipitiwe upya haraka ili kuwezesha UVCCM  kunufaika na miradi ya Vijana tofauti na …

Read More »

KAIMU MKURUGENZI UZALISHAJI MIFUGO NA MASOKO WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI DK. ASSIMWE RWIGUZA ASHIRIKI UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOA WA SHINYANGA

1

 Kaimu Mkurugenzi wa uzalishaji  Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Dk. Assimwe Rwiguza akipigaji chapa ng’ombe katika Kijiji cha Idodoma Wilaya ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 wa mifugo walioko katika mikoa 26 kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa linalotarajiwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA VIWANDA VYA MAZAO YAMISITU NCHINI

1m

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akizungumza na  Rais wa Shirikisho la viwanda vya misitu Tanzania (SHIVIMITA) Ben Sulus  (kulia) wakati Rais  huyo  alipokuwa  akiwasilisha  taarifa  ya  wamiliki wa viwanda vya mazao ya misitu  wakati wa kikao   kilichofanyika jana  mjini Dodoma, ikiwa lengo la kikao hicho ni …

Read More »

RAIS MAGUFULI KUMPOKEA RAIS KAGAME

kagame-na-magufuli

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Dr. John Magufuli* anatarajia kumpokea Rais *Paul Kagame* wa Rwanda anaetaraji kuwasili Nchini Jumapili ya *January 14* majira ya Asubuhi kwa *Ziara ya Kikazi.* Akizungumza kuhusu ujio huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Paul Makonda* amesema *uwezo mkubwa wa Rais …

Read More »