Thursday , January 17 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 609)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

Ziara ya Naibu Waziri Jafo jimboni Nsimbo yaleta furaha kwa wananchi.

JEF4

Naibu Waziri Suleiman Jafo akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa katika  sekondari ya Machimboni mkoani Katavi. Naibu waziri  Suleiman Jafo akiwa na Mbunge wa Jimbo la Nsimbo  Richard Mbogo akizindua mradi wa maji kijiji cha Mwenge Mkoani Katavi. …………………………………………………………………………. Naibu  Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na …

Read More »

MAANDALIZI YA MAHAKAMA YA MAKOSA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI

mafi2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kushoto) akiwa pamoja na wadau wengine wa Mahakama ya Tanzania walipotembelea kuangalia Maandalizi ya Jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililopo kwenye Shule ya Sheria Sinza leo  jijini Dar es salaam. Baadhi ya Wadau wa Mahakama …

Read More »

UJENZI WA RELI YA KISASA KUANZA MWEZI DESEMBA

BUW5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati), akizungumza na viongozi mbalimbali wa sekta ya uchukuzi (hawapo pichani), katika Mkutano wa Sita wa Kamati ya Mawaziri wa nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi uliofanyika jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi wa Burundi Eng. Jeon Ntunzwenidana …

Read More »

SUMATRA KUENDELEA KUKUSANYA MAONI YA WADAU.

PIX-1-6

Na Abushehe Nondo (MAELEZO). Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa  Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema kuwa bado inaendelea kupokea maoni kutoka kwa wadau mbalimbali wa usafiri wa treni inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo imetolewa na Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, Bw. David …

Read More »

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA FURAHISHA.

fuh2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini Eng. Patrick Mfugale, kulia …

Read More »

DC KAKONKO AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MGAZA

1

Mkuu wa wilaya ya Kakonko Col. Hosea Maloda Ndagala akikabizi funguo za magari mawili ya kubebea wagonjwa  (hayapo pichani)kwa Mganga Mkuu wa kituo cha afya Mgaza Wilayani Kakonko Dkt Selemani Fadhiri. Wanaoshuhudia wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya KakonkoLusubilo Mwakabibi na kushoto ni Diwani wa Kiziguzigu, Renatus Daniel. …

Read More »

VIJANA JIAJIRINI NA KUJITUMA ILI KUJILETEA MAENDELEO

IMG_1690

Na Mwashungi Tahir /Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar …………………………………. Vijana nchini wametakiwa kuongeza bidii ya kujituma na kujiajiri wenyewe ili kujiletea maendeleo endelevu. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Wizara ya Vijana Kazi,uwezeshaji Wazee,Vijana wanawake na Watoto Maua Makame Rajab wakati akifungua Kongamano la vijana ikiwa ni shamra shamra ya Siku ya Vijana …

Read More »

WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HATARINI KUFA KWA KUKOSA DAMU

ZIMAN

Kamanda wa jeshi la zima moto na uokoaji mkoani Pwani, mrakibu msaidizi,Goodluck Zerote ,akichangia damu ,katika zoezi lililoendeshwa na jeshi hilo ,kuchangia damu hospital ya rufaa ya Tumbi.(Picha na Mwamvua Mwinyi) …………………………………………………………………………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani WATOTO chini ya umri wa miaka mitano mkoani Pwani wako kwenye hatari ya kupoteza maisha …

Read More »

Serikali yalifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36

MSET1

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu kulifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 leo Agosti 11,2016 katika ukumbi wa Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu kulifungia gazeti …

Read More »