Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO (page 653)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

FEDHA ZA MAENDELEO KUUNGUZA WATAKAOZICHEZEA-MAJALIWA

BUR3

Wasanii wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakicheza ngoma ya Kasimbo  wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Mpanda wakati …

Read More »

WALIMU WA NNE NA WANAFUNZI WAHOJIWA POLISI

LONG

Na Mahmoud Ahmad Monduli WALIMU wanne pamoja na wanafunzi nane wa Shule ya Sekondari Ole Sokoine  wanahojiwa na polisi baada ya kupigiwa kura za siri na kuhusishwa na tuhuma za uchomaji moto wa bweni la shuleni hiyo. Aidha katika Shule nyingine za Nanja na Lowassa wanasubiri muda wowote kufikishwa kwenyesikuu …

Read More »

KAMANDA MPINGA AHITIMISHA KILELE CHA SHINDANO LA UCHORAJI KWA AJILI YA KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI KATIKA SHULE ZA MSINGI JIJINI DAR

OTH2

Hii ni zawadi ya heshima (tuzo) iliyotolewa na kampuni ya Puma Energy Tanzania na kukabidhiwa kwa mshindi wa kwanza,Mwanafunzi wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent.     Mkurugenzi Mkuu kutoka kampeni ya Puma Energy Tanzania Ltd,Philippe Corsaletti akimkabidhi tuzo/zawadi ya Begi na cheti mwanafuzi wa darasa …

Read More »

Waajiri 264 Serikalini wawasilisha taarifa za watumishi hewa

kai3

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.  Angellah J.  Kairuki (Mb) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu utekelezaji wa agizo la kuondoa watumishi hewa katika orodha ya malipo ya mishahara Serikalini ofisini kwake mapema leo.   Baadhi ya waandishi …

Read More »

MLEMAVU AOMBA AJIRA KWA WATANZANIA

MLE

Hujafa hujaumbika! Erasto Mketo (26) ni mkazi wa Lindi kijiji cha Mtondo Kimwaga, ni mlemavu wa miguu na mikono ambaye ana ndoto nyingi za kujikwamua kimaisha kama kijana mwingine wa Kitanzania, lakini ulemavu wake umekuwa changamoto kubwa ya yeye kuweza kufanikisha ndoto zake. Moja ya changamoto zinazomkuta Erasto ni pamoja …

Read More »

TUME YA MIPANGO YATOA MAFUNZO YA MPANGO WA MAENDELEO

mip2

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Maduka Kessy akifafanua kwa Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara kuhusu umuhimu wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo, leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Bw. Hassan Abbasi na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi …

Read More »

MSHAMA AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI KATI YA MWEKEZAJI NA WAKAZI SAGALE KAMBINI

index

Afisa ardhi wa halmashauri ya Mji wa Kibaha ,Magambo Lutulagala,mwenye shati  la mchalazo (draft) akiongozana na wakazi  wa mtaa wa Sagale Kambini ,alipokwenda kukagua eneo la  mwekezaji Nicodemus Namajeje ambae amekuwa kero kwenye eneo hilo na kutolipa fidia wakazi  hao.(Picha na Mwamvua Mwinyi) …………………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MKUU wa wilaya …

Read More »

Mawasiliano yaboreshwe kuelekea Dodoma

NY1

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi  akiongea na baadhi wa Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifungua  jukwaa la kujadili uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA. Katibu wa Sekretarieti ya …

Read More »

WAAJIRI WATAKIWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI

WHO -1

 Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kuhusu usalama wa Afya mahali pa kazi jijini Dar es salaam. 1024×768 kiongozi wa Timu ya wataalamu wa Afya ya Jamii na Mazingira kutoka  Makao Makuu ya Shirika la Afya Duniani, Geneva,  Dk. Ivan Ivanov akizungumza …

Read More »