Thursday , May 24 2018

Home / MICHEZO

MICHEZO

Habari za Michezo

TIMU YA NAPOLI YAMTANGAZA CARLOS ANCELOTTI KUWA KOCHA WAO MPYA

carloancelotti

Klabu ya Napoli imemteua Carlo Ancelotti kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri ambaye ametangaza kuihama klabu hiyo. Ancelotti baada ya kutimuliwa Bayern Munich hakuwa na timu hivyo amesaini Mkataba wa miaka mitatu ndani ya Napoli ambao wamemaliza katika nafasi ya Pili kwenye Ligi ya Serie …

Read More »

KOCHA WA PSG,RASMI ACHUKUA MIKOBA YA ARSENE WENGER NDANI YA ARSENAL

4C8CD75400000578-5757419-image-m-31_1527066384424

Unai Emery ametambulishwa rasmi kuwa kocha mpya wa Arsenal akichukua nafasi ya Arsene Wenger PICHA ZAIDI SOMAHAPA   WASIFU WA KOCHA UNAI EMERY   Kuzaliwa: Hondarribia, Hispania Novemba 3, 1971 MCHEZAJI Alianzia Real Sociedad, akacheza mechi tano za La Liga wingi ya kushoto kabla ya kuhamia Toledo ya Daraja la Pili. KOCHA 2005-06 Lorca Deportiva …

Read More »

SHAABAN IDD ‘MAJERUHI TU NDIYO YALINIHARIBIA MSIMU HUU’

WhatsApp Image 2018-05-22 at 15.39.40

By Abducado Emmanuel MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Shaaban Idd, amekiri kuwa kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi saba akiuguza majeraha ya nyonga kulimwaribia kuendeleza kasi aliyokuwa nayo msimu uliopita. Usiku wa kuamkia leo, Shaaban ameiongoza Azam FC kuichapa Tanzania Prisons mabao 4-1 kwenye mchezo …

Read More »

KOCHA ETIENNE NDAYIRAGIJJE NDIYE MRITHI WA PLUIJM SINGIDA UNITED

etienne-ndayiragije-kocha-wa-mbao-fc

TIMU ya Singida United imemthibitisha Mrundi, Etienne Nayiragijje kuwa kocha wake mpya, akichukua nafasi ya Mholanzi, Hans van der Pluijm anayeondoka.  Pluijm anaondoka Singida United baada ya msimu mmoja na taarifa zinasema Mholanzi huyo anahamia Azam FC ambao wanajipanga upya baada ya msimu huu mbaya kwao chini ya Mromania, Aristica …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA MBAO FC UWANJA WA TAIFA LEO

YANGA

1-Youthe Rostand 2-Hassan Kessy 3-Gadiel Michael 4-Abdalaha Shaibu Ninja 5-Said Juma Makapu 6-Maka Edward 7-Yusuph Mhilu 10-Thabani Kamusoko 9-Pius Buswita 10-Raphael Daudi 11-Emmanuel Martin SUBs -Benno Kakolanya -Salum Hassan Fakhi -Yusuph Seleman -Paul Geofrey -Geofrey Mwashiuya -Baruani Akilimali -Matheo Antony

Read More »

WAMBURA,MALINZI WAPAMBANA KORTINI KISUTU

wambura boni

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa anapokea mshahara wa Shilingi Mil 7 kwa mwezi Wambura ameyaeleza hayo jana wakati akitoa ushahidi wake katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili, aiyekuwa rais wa TFF, …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AMTEMBELEA MWANARIADHA ANAYEHESHIMIKA DUNIANI MZEE JOHN STEVEN AKHWARI NYUMBANI KWAKE MBULU MKOANI MANYARA

6

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akisalimiana na Mzee John Steven Akhwari  Mwanariadha anayeheshimika Duniani mara baada kwasili alipomtembelea nyumbani kwake Eneo la Sani mjini Mbulu  mkoani Manyara jana, John Steven Akhwari aliiwakilisha nchi katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika Mexco  City mwaka 1968 John …

Read More »

KWA HERI ANDRES INIESTA

4C7A4C3300000578-0-image-a-93_1526853139162

Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga.PICHA ZAIDI SOMA HAPA  Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na akajitokeza machozi yakimtoka akasema, nilifika hapa nikiwa …

Read More »

SIMBA YAMKABIDHI RAIS MAGUFULI ZAWADI YA JEZI NAMBA 19

Jersey

Na George Mganga Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Kaimu Rais wake, Salim Abdallah ‘Try Again’ umemkabidhi zawadi ya jezi yenye namba 19 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli. Abdallah amesema kuwa zawadi hiyo kwa Rais Magufuli ilipaswa kutolewa jana lakini kutokana na ufinyu wa …

Read More »

MIGOMBA MABINGWA KOMBE LA SIRRO CUP 2018 KIBITI

5

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarest Ndikilo akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Migomba kutoka Rufiji kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) iliyoikutanisha timu hiyo na Mjawa kutoka Kibiti katika uwanja wa Samora Kibiti. Migomba walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa …

Read More »

CHELSEA YATWAA KOMBE LA FA BAADA YA KUIDUNGUA MAN UNITED 1-0

4C711FE900000578-5748373-image-a-81_1526755316540

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na taji la ubingwa wa Kombe la FA baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United leo, bao pekee la Eden Hazard kwa penalti dakika ya 22 akimchambua vizuri David De Gea kufuatia yeye mwenyewe kuangushwa na Phil Jones kwenye boksi. Alexis Sanchez alidhani amefunga bao la kusawazisha …

Read More »

YANGA YAVUNJA MKATABA NA NYOTA WAWILI WA KIMATAIFA

unnamed

Klabu ya Yanga na Donald Ngoma tayari wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba. Ngoma ambaye alikuwa amebakiwa na mkataba wa mwaka mmoja wamekaa na kukubaliana kuvunja mkataba uliobaki. Donald Ngoma amekubali kuvunja mkataba wake ndani ya Yanga kwa sharti la kulipwa mshahara wa miezi 3 milioni 27 kama mkataba unavyosema na …

Read More »