Wednesday , January 17 2018

Home / MICHEZO (page 10)

MICHEZO

Habari za Michezo

Goodnews: Upasuaji Aliofanyiwa Samatta Umemalizika Salama

20171110_201501-640x475

Ni taarifa njema kwa watanzania wote hususan wadau wa soka kwamba, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta upasuaji wake wa goti umefanyika na kumalizika salama. Samatta aliumia goti November 4, 2017 wakati akiitumikia klabu ya ya KRC Genk ya Ubelgiji na kushindwa kuendelea na mechi dhidi ya Lokeren mchezo ambao …

Read More »

CHIRWA MCHEZAJI BORA VPL MWEZI OKTOBA

WhatsApp-Image-2017-11-05-at-13.34.28-750x350

Mshambuliaji wa Young Africans ya Dar es Salaam, Obrey Chirwa amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2017/2018. Chirwa raia wa Zambia alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, beki Erasto Nyoni wa Simba na mshambuliaji Ibrahim Ajibu pia wa Young Africans …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI DARAJA LA PILI

TFF-LOGO

Mechi namba 1 Kundi B (Pepsi 1 v Madini 1). Pepsi imepigwa faini ya sh. 100,000 (laki moja) kwa kuchelewa kwenye kikao cha maandalizi (pre match meeting), na pia kufika uwanjani. Adhabu hiyo imezingatia Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Pili. Mechi namba 9 Kundi B (Madini 1 v …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI DARAJA LA KWANZA

bodi1-600x350

Mechi namba 16 Kundi A (Friends Rangers 1 v African Lyon 1). Klabu ya African Lyon imepewa Onyo Kali kwa timu yake kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi ikiwa na maofisa pungufu, kitendo ambacho ni kinyume na Kanuni ya 14(2b) ya Ligi Daraja la Kwanza. Adhabu hiyo ni kwa mujibu …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI KUU YA VODACOM

Wambura-4-750x350

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imepitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja Pili (SDL) na kufanya uamuzi ufuatao. Mechi namba 54 (Simba 4 v Njombe Mji 0). Klabu ya Simba imepewa Onyo Kali …

Read More »

HATUA YA KWANZA ASFC KUFUNGA KAZI

azfcj-750x350

Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), inaendelea kesho Alhamisi Novemba 9, 2017 kwa michezo saba ambako Dar City itacheza  na Majimaji Rangers ya Lindi. Mchezo huo utafanyika kwenye Uwanja wa Bandari jijini Dar es Salaam huku Real Mojamoja ya Iringa ikiwa wenyeji wa …

Read More »

RASMI; MBWANA KUIKOSA BENIN

MBWANA-ALLY-SAMATTA-08.111-750x350

Sasa ni rasmi, Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Mbwana Ally Samatta, atakosa mchezo kati Tanzania na Benin utakaofanyika Novemba 12, 2017 kwa sababu ya majeraha ya goti. Taarifa kutoka kwa matatibu wa Genk ya Ubelgiji, zinasema kwamba Mbwana Samatta anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mdogo na …

Read More »

TFF YASIMAMISHA MCHEZO WA FORODHANI v AMBASSODOR

azfcj-750x350

Wakati mchezo wa TFF ikisimamisha mchezo wa Azam Sports Federation Cup kati ya Forodhani FC ya Mara na Ambassodor ya Kahama, Mchezo wa Bulyanhulu na Area C, sasa utafanyika kesho Jumatano Novemba 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Mchezo kati ya Forodhani FC ya Mara na Ambassodor …

Read More »

TFF YAANDAA MICHEZO SOKA LA UFUKWENI

TFF-LOGO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litatoa mafunzo ya soka la ufukweni (Beach Soccer) kwa vyuo mbalimbali hapa nchini vilivyothibitisha kushiriki Ligi Maalumu ya soka la Ufukweni itakayoanza Novemba 18, 2017. Kwa upande wa mafunzo ni kwamba yatafanyia siku tano kabla ya kuanza kwa ligi hiyo ambako itakuwa ni …

Read More »

SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

photonews-10625441-050-jpg_1485903153

  NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ anayekipiga na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atakuwa nje ya uwanja kwa majuma sita akiuguza majera ya goti aliyopata katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa sare tasa dhidi ya Lokeren.   Samatta alishindwa kuendelea na mchezo baada kuumia …

Read More »

SAFARI YA NDEMLA KWENDA SWEDEN YASOGEZWA MBELE

Ndemla

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapenda kuwafahamisha kuwa  safari ya mchezaji wetu Hamis Said Juma Ndemla iliyokuwa ifanyike leo Jumanne imesogezwa mbele. Ndemla ambaye amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden ,sasa ataondoka nchini siku ya Alhamis ya tarehe 9 ya mwezi …

Read More »

MOYES KOCHA MPYA WA WEST HAM

_98645971_21e589cb-5428-4dd8-8e9e-74e35f108230

Kocha Mkuu wa zamani wa Everton na Manchester United David Moyes amechukua ya Slaven Bilic, ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu wakati klabu hiyo ikiwa katika nafasi ya kushushwa daraja. Moyes amekuwa bila kazi tangu mwezi Mei wakati alipojiuzulu kama mkufunzi wa Sunderland baada ya klabu hiyo kushushwa daraja. Mwenyekiti …

Read More »

Tigo Yatangaza Mbinu za Usajili kwa Washiriki wa Dodoma Marathon

1

Kaimu Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo(kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana namna ya kujisajili mbio za Dodoma Marathon zitakazotimua vumbi jumapili ya tarehe 12 mwezi huu, ambapo utaweza kujisajili kwa Tigopesa kwa namba 0674 444 444 kwa punguzo la asilimia 10%. Pembeni ni Meneja wa Maendeleo …

Read More »

TBL ilivyoshiriki matembezi ya kusomesha wauguzi wakunga

matembezi amref 3

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan Baadhi ya wafanyakazi wa TBL katika matembezi ya AMREF ya kuchangisha fedha za kusomesha wauguzi fani ya ukunga Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri …

Read More »

TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

3

MSHAMBULIAJI wa Taswa Fc, Said Seif (kushoto) akiruka kumkwepa beki wa Polisi Fc, Andew Thomas, wakati wa mchezo wa kirafiki katika Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar esSalaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Katika mchezo huo Taswa Fc ilishinda …

Read More »

U-23 NAYO KUINGIA KAMBINI NOVEMBA 5

OSCAR-MIRAMBO-750x350

Benchi la Ufundi la timu za taifa za vijana, limeita wachezaji 35 kwa ajili ya kambi yenye lengo la mchujo kutafuta kikosi imara cha timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 23 maarufu kwa jina la Kilimanjaro Warriors. Kocha Msaidizi wa timu hizo, Oscar Mirambo alitangaza …

Read More »

TFF YATOA UFAFANUZI WA MALIPO ASFC

TFF-LOGO-1

Wakati Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), ikiwa imeanza jana Novemba 02, 2017 na kuendelea leo Ijumaa na kesho Jumamosi, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ufafanuzi wa malipo kwa hatua hii ya awali. Kwa hatua za awali na hatua ya …

Read More »

KOCHA MAYANGA AFANYA MABADILIKO TAIFA STARS

Mayanga-750x350

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Shabani Mayanga amewaita kikosini viungo Jonas Mkude kutoka Simba na Mudathir Yahya wa Singida United. Mkude na Mudathir wanachukuwa nafasi za Erasto Nyoni na Muzamiru Yassin wote kutoka Simba ambao awali walijumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 walioitwa na …

Read More »

SIMBA JEURI KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6 KWA NDEGE

kikosi_simba_ssc

  KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya  ligi kuu Vodacom dhidi ya Mbeya City na Prison huku  kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog akiweka wazi kuwa anataka kuvunja rekodi ambayo ni kuibuka na pointi sita kwenye michezo miwili mbele ya …

Read More »

HII HAPA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

20643831.5444fdd56ea8b

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), hii hapa tena wikiendi hii. Mechi moja inachezwa kesho Ijumaa Novemba 3, 2017 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea ambako mwenyeji Majimaji FC itacheza na Stand United ya Shinyanga. Mchezo huo wa Songea utaanza saa 10.00 jioni (1600h). Jumamosi kutakuwa na michezo mitano …

Read More »

TANZANIA YATHIBITISHA KUCHEZA CHALENJI ZOTE 2017, PIA KUANDAA MWAKANI

DSC_5850-750x350

Baada ya kupita miaka miwili bila kuchezwa kwa mashindano ya kuwania Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki, michuano hiyo imerejea tena msimu huu na Tanzania imethibitisha kushiriki. Nchi wanachama Tanzania Bara, Zanzibar, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Eritrea na Ethiopia. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho …

Read More »

RAIS WA TFF KARIA AWAPA POLE SILABU

tff-news-750x350

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametuma salamu za pole kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mtwara (MTWAREFA), Athuman Kambi kufuatia ajali ya gari iliyopata timu ya Silabu ya Mtwara. Gari iliyowabeba wachezaji wa Silabu – mabingwa wa Mkoa …

Read More »