Wednesday , January 17 2018

Home / MICHEZO (page 2)

MICHEZO

Habari za Michezo

CHUO CHA IFM MABINGWA LIGI YA VYUO

IMG_9947-750x350

  Chuo cha IFM wametwaa ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar Es Salaam baada ya kuishinda Chuo cha Ardhi kwa magoli 6-4 kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa kwenye Ufukwe wa Coco Jumapili Januari 7, 2018.   Kufika fainali IFM ilicheza na Chuo cha TIA …

Read More »

RAIS KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA ATHUMAN CHAMA

RAIS-KARIA-750x350

  . Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Athuman Juma “Chama” maarufu kama Jogoo aliyefariki usiku wa kuamkia leo Januari 8, 2018 kwenye hospitali ya Taifa …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA URA LEO, MFUMO 3-5-2

Simba-Wachezaji-Bongosoka

1.Emmanuel Mseja-30 2.Nicholas Gyan-29 3.Asante Kwasi -16 4.Juuko Murshid -06 5.Erasto Nyoni -18 6.Jonas Mkude-20 7.Mwinyi Kazimoto-24 8.Yassin Mzamiru-19 9.Moses Kitandu-35 10.John Bocco-22 11.Shiza Kichuya-25 SUBS. 1.Ali Salim – 31. 2.Mohamed Hussein-15 3.Paul Bukaba-23 4.Jamali Mwambeleko-26 5.Yusufu Mlipili-05 6.Said Hamisi Ndemla-13 7.James Kotei-03 8.Mohamed Ibrahim-04 9.Laudit Mavugo-11

Read More »

YANGA HAISHIKIKI MAPINDUZI CUP YAILAMBISHA ZIMAMOTO 1-0

EMMANUEL MARTIN

Na Salum Vuai, ZANZIBAR YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Zimamoto 1-0 kwenye mchezo wa Kundi B usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Bao pekee la Yanga leo limefungwa na kiungo mshambuliaji wa zamani wa JKU, Emmanuel Martin dakika ya 60 …

Read More »

KOZI YA AWALI YA MAKOCHA YAFUNGWA

koc

Kozi ya awali ya Ukocha kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari imefungwa leo Jumamosi Januari 6, 2018 kwenye Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF). Kozi hiyo ya siku Kumi(10) iliyofanyika katika vituo viwili vya Karume na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ilishirikisha washiriki Sitini …

Read More »

DKT. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA HAMIS MSENGI

1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa mshituko mkubwa taarifa ya kifo cha Mwanahabari na Mpiga Picha mkongwe Ndg. Athumani Hamisi Msengi kilichotokea asubuhi ya tarehe 04 Januari, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwakyembe ameeleza kuwa kifo chake ni …

Read More »

MOHAMED SALAH MWANASOKA BORA WA AFRIKA 2017

IMG_20180105_084530-640x638

    Wengi wakitarajia na ndivyo ikivyotokea kwa Mohamed Salah kutangazwa mchezaji bora wa Afrika katika tuzo za CAF zilizofanyika mjini Accra usiku wa Kuamkia Leo, Salah anapewa tuzo hiyo kwa mafanikio ndani ya 2017. Salah amekuwa na mwaka mzuri sana ndani ya 2017 akizisaidia timu zake ya Misri kwenda …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA JAMHURI SC LEO USIKU SAA 2:15

DSC_0764

. Saa 2:15 Usiku 1.Emmanuel Mseja 2.Erasto Nyoni 3.Shiza Kichuya 4.Juuko Murshid 5.Asante Kwasi 6.James Kotei 7.Nicholas Gyan 8.Mzamiru Yassin 9.Moses Kitandu 10.John Boco 11.Mwinyi Kazimoto Benchi -Ally Salim -Jonas Mkude -Said Hamis -Yusuph Mlipili -Jamal Mwambeleko -Mohammed Ibrahim -Kelvin Faru -Laudit Mavugo #Mapinduzi_Cup

Read More »

ARSENAL YABANWA MBAVU NA CHELSEA EMIRATES

1515009026140_lc_galleryImage_Soccer_Football_Premier_L

  Timu za Arsenal na Chelsea zimemaliza mechi yao kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Emirates, London/ Mechi hiyo ya Ligi Kuu England ilikuwa na mvuto mkubwa baada ya mabao yote manne kufungwa katika kipindi cha pili. Arsenal walianza kufunga kupitia Jack Wilshere lakini Chelsea wakasawazisha kupitia mkwaju …

Read More »

DKT.MWAKYEMBE AUNDA KAMATI YA NGUMI ZA KULIPWA YA WATU 13

mwakyembe-310x165

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) leo tarehe 3 Januari, 2018 amekutana na wadau wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini. Kikao hicho ni mwendelezo wa vikao vya Mhe. Waziri na Wadau hao ili kutatua migogoro iliyodumu kwa muda mrefu katika mchezo huo wa masumbwi …

Read More »