Thursday , January 18 2018

Home / MICHEZO (page 20)

MICHEZO

Habari za Michezo

KIKAO CHA KAMATI YA TIBA KUFANYIKA LEO AGOSTI 30, 2017

Jengo-la-TFF1

Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Dkt. Paul Marealle ameitisha kikao cha Kamati ya Tiba kitakachofanyika kesho Jumatano Agosti 30, mwaka huu kuanzia saa 4:00 asubuhi. Kikao hicho kitakachofanyika Ukumbi wa Ofisi za Makao Makuu TFF, yaliyoko Uwanja wa Kumbukumbu ya Uwanja wa …

Read More »

TARIMBA ABBAS KUMALIZA UTATA WA HUKUMU YA KASEKE NA CHIRWA KESHO

hqdefault

KAMATI YA NIDHAMU KUKETI KESHO Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas, kinatarajiwa kuketi kesho Jumatano Agosti 30, mwaka huu. Kamati hiyo itakuwa na ajenda kadhaa ikiwamo ya mashauri yanayohusu wachezaji mbalimbali, viongozi na klabu. Shauri mojawapo linahusu ripoti ya …

Read More »

TAIFA STARS YAANZA MAZOEZI DAR

KOCHA-MAYANGAA

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza kujifua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Wachezaji wote kutoka klabu za Tanzania wamefika kadhalika baadhi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kama vile Nahodha Mbwana Samatta na Elias Maguli. Mazoezi hayo yataendelea kila siku hadi Ijumaa …

Read More »

MAJINA 8 YAPITA MCHUJO WA AWALI UONGOZI TPLB

logo-ligi

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza majina manane ya wagombea ambao yamepita katika mchujo wa awali kuwania nafasi mbalimbali katika Kamati ya Uongozi (Management Committee) ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Waliopitishwa ni kuwania uenyekiti wa Management Committee ni Clement Sanga na Ahmed …

Read More »

SPORTPESA YAITUNUKU CHETI CHA SHUKURANI IDARA YA HABARI-MAELEZO

PIX 1

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus (kulia) akipokea cheti cha heshima toka kwa Afisa Uhusiano wa Kampuni ya SportPesa Bi. Sabrina Msuya cha kutambua mchango wa Idara ya Habari (MAELEZO) katika kufanikisha uratibu wa vyombo vya habari wakati ujio wa timu ya Everton hapa nchini mapema Julai …

Read More »

TFF YAIFANYIA MAREKEBISHO NGAO YA JAMII WALIOICHUKUA SIMBA

NGAO #salehjembe5

  Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefanya marekebisho katika Ngao ya Jamii waliyoshinda Simba. Simba walikabidhiwa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju 5-4 ya penalti, lakini ikawa na makosa katika maandishi. Ngao hiyo ilikuwa imeandikwa, Community Sheild badala ya Community Shield. Baada ya malalamiko kuwa makubwa, …

Read More »

CHEKA AKATA RUFAA BMT KUPINGA MATOKEO

2

Meneja wa bondia wa Cosmass Cheka, Juma Ndambile (kulia) akizungumzia matatizo yaliyompata bondia wake. Cosmass Cheka akizungumzia hatua aliyochukuwa ya kukata rufaa BMT kupinga kufungiwa na matokeo ya pambano lake dhidi ya bondia Haidary Mchanjo. …………………………….. Na Mwandishi Wetu Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amekata rufaa …

Read More »

NIYONZIMA,BOCCO WAPO FITI KUWAVAA AZAM FC SEPTEMBA 5,2017

Haruna-Niyonzima-mu-myenda-ya-Simba-mu-myitozo-ya-mbere-mu-gitondo-cyo-kuri-uyu-wa-mbere

Kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na michezo inayofuata ya Ligi Kuu Bara. Niyonzima aliumia katika mechi ya kwanza ya ligi hiyo akiichezea Simba dhidi ya Ruvu Shooting. Msemaji wa Simba, Haji Manara amethibitisha Niyonzima kuanza mazoezi. Pamoja na Niyonzima, Manara amesema, John Bocco naye ameanza kujifua na …

Read More »

TFF MAPEMA TU, YAANZA KUPANGUA RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM

ok1-768x440

MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kama ifuatavyo. Michezo ambayo imefanyiwa mabadiliko ni kati ya Tanzania Prisons na Majimaji ya Songea; Azam FC na Simba, …

Read More »

PSG KUKAMILISHA USAJILI WA MBAPPE KUTOKA MONACO HII LEO

mbappe-man-city-monaco-ucl

Mshambuliaji wa Klabu ya Fc Monaco, Kylian Mbappe anatarajiwa kukamilisha usajili wake wa mkopo na klabu ya Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG). Mchezaji huyo anatarajiwa kutua nchini Ufaransa siku ya Leo, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Ufaransa. Kituo cha redio cha Ufaransa siku ya Jumapili kiliripoti kuwa …

Read More »

LIVERPOOL YAIPIGA 4G ARSENAL MCHEZO WA LIGI KUU YA UINGEREZA

439D64E300000578-4827652-image-a-148_1503848839079

Liverpool imeendelea rekodi ya ushindi kwa timu kubwa baada ya Kuitandika Arsenal jumla ya Magoli 4-0 na kumfanya Kocha Wenger kuwa na msimu mbaya kwani wiki iliyopita walipoteza tena ugenini kwa kufungwa bao 1-0 na Stoke City. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 17,Sadio Mane dakika ya …

Read More »

FAINALI ZA WATOTO WA COMPASSION MWANZA ZAFANA

2-19-1024x768

Fainali za mashindano ya watoto kutoka Vituo vya Huduma ya Mtoto (Compassion) Kanda ya Mwanza zimefana baada ya kufikia tamati hii leo jumamosi Agosti 26,2017 kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mashindano hayo yalianza tangu Mei 20 mwaka huu kwa kuhusisha michezo mbalimbali ikiwemo riadha, mpira wa miguu na …

Read More »

MAYANGA ATAJA TAIFA STARS MPYA KUIVAA BOTSWANA

AMAYA

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga ametangaza kikosi kipya kitakachocheza na Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Wiki ya FIFA kwa mechi za kimataifa inatarajiwa kuanza …

Read More »

CHEZO WA MPIRA WA MIGUU KATI YA POLISI NA KOREA KUSINI

3

Kamishna wa Polisi, Operesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwatoka mabeki wa timu ya Ubalozi wa Korea Kusini  nchini wakati wa mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 …

Read More »

MAYANGA AMREJESHA BEKI KISIKI TAIFA STARS

Taifa Stars defender Kelvin Yondani during a past international match at the National Stadium. The central back has failed to honour Stars call-up. PHOTO | FILE

Hatimaye Kocha Mkuu  wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  Salum Mayanga amemrejesha kikosini beki mkongwe na Kisiki wa klabu ya  Yanga, Kevin Yondan kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana wiki ijayo. Yondan amekuwa na kawaida ya kukaidi wito kwenye kikosi cha Taifa Stars …

Read More »

LWANDAMINA AONGEZEWA MWAKA MMOJA YANGA

maxresdefault

Kocha wa Yanga, George Lwandamina hana mpango wa kuondoka, maana tayari ameongezewa muda wa kuendelea kufanya kazi Jangwani. Uongozi wa Yanga umeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake George Lwandamina raia wa Zambia baada ya ule wa awali kumalizika Julai 16, mwaka huu. Katika mkataba wake uliopita, Lwandamina aliiwezesha …

Read More »

ARSENAL YAPELEKWA UJERUMANI NA EVERTON YATUPWA UFARANSA EUROPA LEAGUE

438C244800000578-0-image-a-8_1503658311254

MAKUNDI YOTE LIGI YA ULAYA: KUNDI A:Villarreal (Hispania), Maccabi Tel-Aviv (Israel), Astana (Kazakhstan), Slavia Praha (Jamhuri ya Czech) KUNDI B: Dynamo Kyiv (Ukraine), Young Boys (Uswisi), Partizan (Serbia), Skenderbeu (Albania) KUNDI C: Sporting Braga (Ureno), Ludogorets (Bulgaria), Hoffenheim (Ujerumani), Istanbul Basaksehir (Uturuki) KUNDI D: AC Milan (Italia), Austria Vienna (Austria), …

Read More »

RAIS WA FIFA INFANTINO AMPONGEZA KARIA, AMWALIKA ZURICH

W

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TFF kwa kipindi cha miaka minne ijayo ya 2017-2021. Rais Infantino katika barua yake ya Agosti 14, 2017 …

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AITAKA WIZARA YA UTALII KUONGEZA UBUNIFU.

PMO_9750

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,kushoto akikabidhi  Jarida lakutangaza Utalii wa Tanzania KwaKiongozi wamaswala ya Utalii katika Mkoa wa Matanzas .Bwana  Luis Marines ,jana August 23/2017 wakati alipokuwa katika Ziara yakikazi kwenye Mji  wa Varadero Mkoa wa Matanzas Nnchini Cuba katikati katika picha ni Mama Mary Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa …

Read More »