Saturday , November 17 2018

Home / MICHEZO (page 3)

MICHEZO

Habari za Michezo

RC MNYETI ASHUHUDIA GWAMBINO FC IKITOSHANA NGUVU NA SINGE FC

IMGL0939

Na John Walter-Babati Kila kukicha wadau wa soka wanaumiza vichwa wapi watapata vijana wenye uwezo katika soka ili Tanzania ionekane kwenye uso wa Michezo Ulimwenguni. Timu ya Gwambino FC kutoka wilayani Misungwi mkoani Mwanza imeanza harakati za kutafuta vipaji vya soka katika mikoa mbalimbali hapa nchini ikiwa na lengo la …

Read More »

AMMY NINJE ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI WA TFF

images

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemthibitisha Ammy Conrad Ninje kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa shirikisho hilo. Ninje anachukua nafasi ya Oscar Milambo aliyekuwa anakaimu nafasi hiyo kwa muda tangu katikati ya mwaka kufuatia Salum Madadi kubadilishiwa majukumu. Mchezaji huyo wa …

Read More »

RIDHIWANI KIKWETE AUNGANA NA WASANII KUMZIKA MASHAKA

Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na wasanii mbalimbali waliojitokeza kwenye maziko ya msanii mwezao Mashaka jana.

Na Shushu Joel,Dar MBUNGE wa jimbo la chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete ameungana na wasanii wa kada mbalimbali katika kumzika msanii maarufu wa maigizo nchini Ramadhani Ditopile aliyewai kuwa msanii wa kundi la sanaa la kaole. Mashaka alifariki juzi asubui wakati akiwa anapata matibabu katika hospital ya …

Read More »

UBELGIJI NA UHOLANZI ZATOKA SARE YA 1-1 MECHI YA KIRAFIKI

5106590-6283685-image-a-35_1539723426666

Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay akipambana na mchezaji wa Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Dries Mertens alianza kuifungia Ubelgiji dakika ya tano, kabla ya Arnaut Groeneveld kuisawazishia Uholanzi dakika ya 27 PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

BRAZIL YATWAA KOMBE JEDDAH KWA KUICHAPA ARGENTINA 1-0

5105862-6283369-image-a-65_1539722060731

Neymar akiwa ameshika Kombe pamoja na Roberto Firmino baada ya ushinid mwembamba wa Brazil wa 1-0 dhidi ya Argentina usiku wa leo bao pekee la Joao Miranda dakika ya 90 na ushei Uwanja wa King Abdullah Sports City mjini Jeddah, Saudi Arabia katika mchezo wa kirafiki PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

MKUU WA MAJESHI JWTZ AIPONGEZA NMB KUKUZA MCHEZO WA GOLF

DSC_0172

Mgeni rasmi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali Yakub Mohamed (wa pili kulia) kwenye Mashindano ya NMB Kombe la Mkuu wa Majeshi mchezo wa Golf akimkabidhi kikombe mshindi wa jumla katika mashindano hayo, Richard Mtweve (kulia). Kutoka kushoto wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara NMB, Donatus Richard, Mwenyekiti …

Read More »

OKWI AFUNGA MAWILI UGANDA YAICHAPA LESOTHO 3-0 KUFUZU AFCON

DpZerOnW4AAT5nf

TIMU ya taifa ya Uganda, The Cranes imejiimarisha kileleni mwa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Lesotho jioni ya leo Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, Uganda. Kwa ushindi huo, Uganda inafikisha pointi saba baada ya kucheza mechi …

Read More »

YANGA YAICHAPA 2-0 MALINDI FC MECHI YA KUMUAGA CANNAVARO

NGASSA

Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR YANGA SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Zanzibar, Malindi FC katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo. Nyota wa mchezo wa leo alikuwa mkongwe, kiungo mshambuliaji Mrisho Khalfan Ngassa aliyefunga bao moja na kuseti moja katika …

Read More »

JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO

GY1A8524

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.   Rais …

Read More »