Wednesday , January 17 2018

Home / MICHEZO (page 30)

MICHEZO

Habari za Michezo

Serikali Haitachukua Hatua kwa Chombo cha Habari Kinachokosoa

OTH_7838

Frank Shija – MAELEZO SERIKALI imesema kuwa hakuna chombo chochote cha habari kitakachochukuliwa hatua kwa kuandika habari zenye mrengo wa kukosa sera na utekelezaji wake kama ambavyo wadau wengi wamekuwa wakiaminisha umma. Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi wakati akizungumza katika Kipindi …

Read More »

UKWELI WA USAJILI WA NIYONZIMA KUSAINI SIMBA MIAKA MIWILI UPO HAPA

Niyonzima

Baada ya Yanga kumsajisili Ibrahim Ajibu kwa dau nono la shilingi milioni 50 pamoja na kumpa usajifiri wa gari, sasa Simba nao wamejibu mapigo. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa mazungumzo baina ya kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima na Simba yamefikia pazuri. Niyonzima ambaye amemaliza mkataba wa kuitumikia Yanga hivi …

Read More »

MIGUU YA AJIBU INAVYOIKOSA AKILI YA NIYONZIMA

19366607_1874851449506273_2101855680784521917_n

ABDUL DUNIA Titi la Mama ni tamu. Hata likiwa la mbwa. Kiswahili naazimu. Sifayo inayofumbwa. Niimbe ilivyo kubwa. Toka kama chemuchemu.Titi la Mama litamu jingine haliishi hamu. Aliwahi kuandika hayati Shaban Robert katika moja ya vitabu vyake. Nimemaliza kufuturu hapa kwa mama Dunia. Futari yake imenikumbusha mbali sana. Tangu mwezi …

Read More »

SINGIDA UNITED YAMNASA MKALI WA MABAO WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

18485891_450234012023049_4065303620128398873_n

Timu ya Singida United imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Rwanda ambaye alikuwa anacheza timu ya Polisi,Danny Usengimana na kuwa mchezaji wa sita wa kigeni kusajiliwa na matajiri hao. Mshambuliaji huyu anayetabiliwa kuwa nitishio katika kufumani nyavu ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ameingia kandarasi ya miaka miwili na kikosi cha …

Read More »

OKWI NDANI YA NYUMBA KUZIBA PENGO LA AJIBU

Simba striker, Emmanuel Okwi, displays a best club football of the year award during Simba Day celebration at the National Stadium in Dar es Salaam yesterday. (Photo; Khalfan Said

Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi Jezi 25 msimu ujao. ambaye ameshaitumikia Simba kwa vipindi viwili tofauti, ametua Bongo jana usiku na leo mchana nilipata nafasi ya kuzungumza na amethibitisha kwamba yupo …

Read More »

NENO KUTOKA KWA RAIS WA TFF KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Jamal Malinzi(TFF-PRES CANDIDATE)

Ndugu zangu viongozi, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu Tanzania. Kama ilivyotangazwa na kamati yetu ya uchaguzi leo tumeanza rasmi mchakato wa uchaguzi wetu. Hiki ni kipindi muhimu kwa ustawi wa mpira wetu. Ninaomba niwahakikishie wadau wa mpira wa miguu Tanzania kuwa Sekretarieti ya TFF ambayo kikatiba ninaisimamia mimi …

Read More »

YANGA YAILIZA TENA SIMBA USAJILI WA KIUNGO WA MBAO FC

IMG-20170616-WA0044[1]

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara timu ya soka ya Yanga wamekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa timu ya Mbao FC.Pius Buswita kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara kwa kandarasi ya miaka miwili. Awali Buswita ilielezwa kuwa alikuwa mbioni kujiunga …

Read More »

RAIS WA TFF,JAMAL MALINZI AMSHUKURU AHMED MGOYI

Aa1

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Jamal Malinzi amempongeza Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa TFF, Ahmed Mgoyi kwa utumushi mara baada ya kutangaza kutowania nafasi yoyote ya uongozi. Mjumbe Mgoyi anayewakilisha Mikoa ya Kigoma na Tabora aliandika waraka jana Juni 15, 2017 akielezea kutogombea tena katika Uchaguzi …

Read More »

TFF YARAHISISHA UPATIKANAJI FOMU ZA UCHAGUZI

Tanzania-Football-Federation-1

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kuwatangazia wanafamilia wote wa mpira wa miguu wenye nia ya kuwania uongozi kuwa limewarahisishia namna ya kupata fomu baada ya tovuti ya TFF: www.tff.or.tz kuwa kwenye marekebisho. Kwa wanafamilia ambao wapo nje ya Dar es Salaam, wanaotaka fomu hizo kwa sasa hawana …

Read More »

TETEZI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA IJUMAA JUNI 16,2017

_96515892_p04q5v82

 Na Salim Kikeke Kuna ‘hali ya mvutano’ kati ya meneja wa Chelsea Antonio Conte na Diego Costa kufuatia hatua yake ya kumwambia Costa kwa ‘ujumbe wa simu’ kuwa hamhitaji tena Stamford Bridge msimu ujao (Gazzetta dello Sport). Chelsea wanataka kumaliza mzozo kati ya Conte na Costa, na Costa akiwa tayari …

Read More »

MADEGA AMVAA MALINZI URAIS WA TFF,ACHUKUA FOMU KWA MAPAMBANO

Madega TFF

Wakati uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukitarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma, hatimaye nafasi ya urais wa shirikisho hilo imepata wapinzani wawili hadi sasa. Jamal Malinzi ambaye ni rais wa sasa wa shirikisho hilo amechukua fomu ya kutetea nafasi yake lakini amepata mpinzani. Muda mfupi …

Read More »

BREAKING NEWS:SIMBA WATHIBITISHA KUACHANA RASMI NA AJIBU

images-10

Makamu mwenyekiti wa Klabu ya Simba Godfrey Nyange ‘Kaburu’, amethibitisha rasmi kuwa klabu hiyo, imeachana na mshambuliaji Ibrahim Ajib Migomba! ‘Kaburu’ amesema tangu kipindi kirefu Ajib amekuwa na msuguano na Simba huku akionesha kutokuwa na mapenzi na timu hiyo, hali iliyoilazimu kamati ya usajili, kutokuwa na mjpango ya kumuongezea mkataba …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI WA SPORTPESA

pes1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ubashiri wa michezo ya SportPesa Bw. Pavel Slavkov (kushoto), katikati ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Bw. Abbas Tarimba.Viongozi hao wa SportPesa walimtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu jijini …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA ALHAMISI 15.06.2017

_96500513_p03ybx1b

Na Salim Kikeke Mshambuliaji Alvaro Morata, 24, huenda akakamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 65 kutoka Real Madrid kwenda Manchester United mapema wiki ijayo (Daily Mirror). Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amesema itabidi’afanye uamuzi’ kuhusu wapi aende huku Arsenal na Real Madrid wakimtaka chipukizi huyo wa miaka 18 (Daily Mail), …

Read More »

MOURINHO AANZA KUFURU YA USAJILI,ANASA BEKI KISIKI WA BENFICA YA URENO

lidelof-salehjembe

Klabu ya soka ya Manchester United imemsajili mchezaji wa sehemu ya ulinzi kutoka Sweden,Victor Lindelof kwa pauni milioni 31. Hapo jana United ilithibitisha kuwa tayari inakamilisha taratibu za kumsajili beki huyo, ambaye atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha Jose Mourinho kipindi hiki cha majira ya kiangazi. Lindelof anatokea klabu …

Read More »

SIMBA YAZIDI KUVUNJA NGOME YA MBAO FC

IMG-20170614-WA0088-640x427

Wekundu wa Msimbazi Simba wameendelea kufanya fujo za kuwasainisha mikataba wachezaji kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa VPL pamoja na mashindano ya kimataifa (CAF Confederation Cup). Simba imemtambulisha golikipa wa Mbao FC Emanuel Elius Mseja baada ya mchezaji huyo kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Golikipa …

Read More »

RATIBA KAMILI YA SPURS MSIMU WA 2017-18,HII HAPA

Ut_HKthATH4eww8X4xMDoxOjBzMTt2bJ

Hakuna ubishi kwamba hii ni kati ya timu bora sana Uingereza katika siku za hivi karibuni, lakini bahati ya ubingwa hawana na msimu ujao wa ligi watajaribu tena kuutafuta na hii ndio ratiba yao kamili. Saturday 12 August 15:00 Newcastle United   v.   Tottenham Hotspur   Saturday 19 August …

Read More »

RATIBA KAMILI YA LIVERPOOL MSIMU WA 2017-18,HII HAPA

skysports-jurgen-klopp-liverpool_3933683

Jurgen Klopp alitarajiwa kufanya makubwa akiwa na Liverpool na wengi wakiamini huenda akawa mtu sahihi kurudisha heshima iliyopotea kwa muda sasa katika klabu hiyo, hadi sasa hajafanya jambo kubwa sana lakini je kwa ratiba hii anaweza kuipa Liverpool taji la Epl msimu ujao wa ligi? AUGUST 12/08/2017 15:00 Watford v …

Read More »

GUARDIOLA KWA RATIBA HII ATABEBA UBINGWA WA LIGI KUU YA UINGEREZA KWA MARA YA KWANZA

pep_guardiola

Tayari ameshafanya usajili mkubwa na kutumia pesa nyingi kutengeneza timu yake itakayocheza michuano ya Epl msimu wa 2017/2018, lakini pamoja na usajili huo je Gurdiola anaweza kuwa bingwa kwa ratiba hii? 12/08/2017         15:00     Brighton & Hove A v Manchester City 19/08/2017         15:00     Manchester City v Everton 26/08/2017         15:00     Bournemouth v …

Read More »