Tuesday , September 25 2018

Home / MICHEZO (page 4)

MICHEZO

Habari za Michezo

KISA MAJERUHI STERLING AJITOA KATIKA KIKOSI CHA ENGLAND

_103283188_sterlingbody_reu

Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Manchester City Raheem Sterling amejitoa katika kikosi cha England katika mechi dhidi ya Uhispania na Uswizi. Mchezaji huyo wa miaka 23 anaumwa mgongo shirikisho la soka limesema. Sterling ndiye mchezaji pekee aliyekosekana wakati timu hiyo ilipoteremka dimbani St George Jumatatu. Hakuna mchezaji aliyepangwa kuichukua …

Read More »

NANI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA

_103276388_ipiccy-collage

Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohamed Salah ndio wachezaji watatu wa mwisho ambao watawania tuzo la mchezaji bora wa Fifa mwaka 2018. Mshambuliaji wa Barcelona raia wa Argentina Lionel Messi, mshindi mara tano wa tuzo la Ballon d’Or amekosa kuorodheshwa katika tatu bora. Pia hakuna mchezaji yeyote aliyekuwa kwenye kikosi …

Read More »

Uganda The Cranes vs Taifa Stars Live ndani ya DStv!

The Cranes vs Taifa Stars

WIKI HII NDANI YA DStv!! Mashindano mapya kabisa ya UEFA Nations League yanaanza kutimua vumbi wiki hii huku pazia likifunguliwa na magwiji wawili wa Soka siku ya Alhamisi. Ambapo Ufaransa (Mabingwa wa Dunia) watacheza dhidi ya Ujerumani (Mabingwa wa Dunia waliopita). Kisha kuendelea na Albania dhidi ya Israel siku ya …

Read More »

SAMATTA NA ULIMWENGU WAINGIA KAMBINI TAIFA STARS

samatta-1024x768

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WASHAMBULIAJI Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamewasili nchini Alfajiri ya leo kujiunga na timu ya taifa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda mjini Kampala Jumamosi. Samatta ambaye pia ni Nahodha wa Taifa Stars, ametokea …

Read More »

MBILINYI ANG’AKA KUPAKAZIWA ASISITIZA ANACHEZA TAIFA SEPTEMBA 15

mbilinyiii

Na Mwandishi Wetu BONDIA machachali nchini Vicent Mbilinyi anatarajia kupanda ulingoni Septemba 15 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa kuzipiga na Saidi Kidedea mpambano wa raundi 6 ambambo watakuwa wakisindikiza mpambano wa Fred Sayuni na Haidari Mchanjo akizungumzia mpambano uho Mbilinyi amesema amejiandaa vya kutosha hivyo wamewataka mashabiki …

Read More »

UGANDA WAISUBIRI TAIFA STARS SIKU YA JUMAMOSI HII MJINI KAMPALA

Okwi Uganda

Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ wapo kamili kuivaa Tanzania siku ya Jumamosi Katika Mchezo wa kutafuta nafasi ya kushiriki Michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Mwakani zitakazofanyika nchini Cameroon. Katika kuelekea katika Mchezo huo kikosi cha Uganda kimeendelea na mazoezi makali huku kikiongozwa na …

Read More »

DCP MKUMBO KUONGOZA JAHAZI POLISI TANZANIA FC

6

Na. Jeshi la Polisi. Naibu Kamishna wa Polisi DCP Charles Mkumbo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania bara msimu wa mwaka  2018/19. Akizungumzia uchaguzi huo uliofanyika Makao Makuu ya Polisi, Afisa Habari na Mawasiliano wa Polisi Tanzania, Frank …

Read More »

CHIRWA AOMBA KURUDI YANGA

40628607_687398138306634_2778865843629457408_n

  Unaweza usiamini lakini ndiyo imetokea. Yule straika hatari aliyekuwa akiichezea Yanga, Obrey Chirwa, ametuma maombi kwa mabosi wa klabu yake ya zamani akiomba arejee. Imeelzwa Chirwa ametuma ujumbe huo kwa njia ya sauti kupitia mtandao akiuomba uongozi wa Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, umpe …

Read More »

UEFA KUANZISHA MASHINDANO YA TATU YA KLABU ULAYA

4F89D70C00000578-0-image-a-29_1535666180165

Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin aliongoza kikao jana kupitia muundo wa mashindano ya klabu Ulaya SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa katika mchakato wa kuanzisha mashindano mapya ya klabu, ambayo yatakuwa ya tatu baada ya Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Ulaya. Baraza la Taratibu za Soka lilikutana mjini …

Read More »

Michezo ya SHIMIWI kuanza Septemba 25 mwaka huu jijini Dodoma

moshi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MAANDALIZI YA MICHEZO YA SHIMIWI 2018           Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limeandaa Michezo kwa Watumishi wa Seriali kutoka katika Wizara, Idara Zinazjitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa itakayofanyika Jijini Dodoma kuanzia tarehe 25 Septemba  hadi …

Read More »

MAKAMU RAIS WA FIFA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA

fi

MAKAMU rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani (FIFA) amehukumiwa kifungo cha miaka tisa nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa rushwa iliyofanywa ndani ya chombo hicho kikubwa cha soka duniani. Juan Angel Napout, ambaye anatokea Paraguay alipatikana na hatia ya kuchukua mamilioni ya dola kwa njia ya …

Read More »