Wednesday , January 17 2018

Home / MICHEZO (page 5)

MICHEZO

Habari za Michezo

YAH: MAFUNZO YA USALAMA WA MAJI, KUJIOKOA NA KUOKOA WENGINE

Skauti kutoka mikoa mbalimbali nchini wakipata mafunzo ya uokoaji majini ktk bwawa la kuogelea ktk Shule ya Kimataifa ya Tanganyika IST upanga jijini D'salaam. picha na HIDAN RICCO.--10

Chama cha Skauti Tanzania kimeandaa na kinaendesha mafunzo ya usalama wa maji na kuokoa maisha  katika kambi ya Jeshi Kikosi cha Majini, Kigamboni (Navy) Kozi hiyo ya mafunzo imewashirikisha vijana na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 16 na watu wazima wapatao 35 wengi wao ni  kutoka mikoa ya …

Read More »

Mhe.Mwakyembe:Stand United Hakikishine Mnachukua Kombe la Ligi Kuu

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimkabidhi jezi ya Timu ya Stand United  kwa muanzilishi wa Timu hiyo Bw.Steven Masele (katikati)iliyotolewa na BIKOSPORTS kama sehemu ya udhamini (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji BIKOSPORTS Bw. Charles Mgeta. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe …

Read More »

SIMBA KUANZA NA VIBONDE TOKA DJIBOUTI KOMBE LA SHIRIKISHO

DSC_0764

Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika imetoka na Simba imepata bahati yah kupangwa na timu laini au kibonde kutoka Djibouti. Simba imepangwa kuanza Gendamarie, timu ambayo imekuwa ni moja ya vibonde katika michuano ya Kagame ambayo ni maalum kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ikivuka hapo, Simba itakutana na …

Read More »

YANGA KUANZA NA TIMU KUTOKA SHELISHELI LIGI YA MABINGWA

DSC_0765

  Hatimaye wapinzani wa Yanga katika Michuano ya Kimataifa wamejulikana Leo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), kuipangia Yanga kuanza na St Louis ya Shelisheli, timu ambayo hauwezi kusema ni mlima mrefu kwa kwa Yanga.   Ingawa Yanga watapaswa kuwa makini kwa kuwa ni soka na soka la Shelisheli …

Read More »

MSIBA: KIUNGO WA SIMBA AMEFIWA NA MTOTO WAKE

Mo-Ibrahim_01-1

Kiungo wa Simba Mohammed Ibrahim MO amefiwa na mtoto wake mdogo ambaye amezaliwa hivi karibuni. Bado hakuna taarifa rasmi ambazo zinaeleza sababu ya kifo cha mtoto huyo, lakini inaelezwa alifariki akiwa katika hospitali ya mwananyamala. Klabu ya Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa Istagram (simbatanzania) wametuma salam za rambirambi kwa …

Read More »

RATIBA RAUNDI YA PILI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM

7be31445296665.582bf8a427453

Baada ya droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), kukamilika Jumatano Desemba 06, 2017 kwenye Studio za Kituo cha Televisheni cha Azam, kilichopo Tabata relini, Dar es Salaam, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ratiba rasmi ya mechi hizo za …

Read More »

SALAH ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA YA BBC 2017

_99165002_ms2

Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017. Nyota huyu wa Liverpool alipata kura nyingi zaidi ya Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon, Naby Keïta wa Guinea, Sadio Mané wa Senegal na mchezaji wa Nigeria Victor Moses. “Nimefurahi sana kupata tuzo hii,” …

Read More »

ARSENAL YAPELEKWA SWEDEN 32 BORA EUROPA LEAGUE

472F48B600000578-0-image-a-8_1512992456261

Arsenal imepangwa kucheza dhidi ya timu ya Ostersunds ya nchini Sweden katika Hatua ya 32 Bora ya michuano ya Europa League. Arsenal itawavaa wapinzani wao hao ambao wanafundishwa na Graham Potter ambaye ni raia wa Uingereza. Atletico Madrid wao wamepangwa kukutana na Copenhagen wakati Borussia Dortmund itakutana na wabishi kutoka …

Read More »

GUARDIOLA AMUUMBUA MOURINHO PALE PALE OLD TRAFFORD

47309D3500000578-5164879-image-a-154_1512928699937

Timu ya Manchester City imeendelea kuwa tishio katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Mahasimu wao wa kubwa toka Jiji Moja Manchester United Mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford. City walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa kiungo wao hatari David Da …

Read More »

VIBONDE KILI STARS KUIVAA KENYA KESHO CECAFA

Stars_ Yahya Zayd na beki Mnyarwanda

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kesho Jumatatu inakamilisha hatua ya makundi ikicheza mchezo wake wa mwisho wa kundi ‘A’ dhidi ya wenyeji Harambee Stars ya Kenya utakaofanyika Uwanja wa Kenyatta, Machakos. Mchezo huo utakaoanza saa 10.00 jioni unachukuliwa kwa uzito mkubwa na Kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, …

Read More »

VIONGOZI WAKUU TFF KUMZIKA BENDERA

RAIS-KARIA-750x350

Viongozi wakuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais Wallace Karia na Makamu Rais Michael Wambura wataongoza ujumbe wa shirikisho katika mazishi Kocha wa zamani wa Taifa Stars, marehemu Joel Nkaya Bendera. Bendera aliyefariki dunia Desemba 6, mwaka huu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, atazikwa leo Jumapili Desemba …

Read More »

AHADI YA MANARA KWA BABU SEYA NA PAPII KOCHA

20171209_193215

  Story kubwa leo ( Dec. 9, 2017) ni msamaha alioutoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wasanii Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae Papii Kocha ambao wote walikuwa wanatumikia kifungo cha maisha. Dkt. Magufuli ametangaza msaha huo akiwa mjini Dodoma kwenye …

Read More »