Wednesday , January 17 2018

Home / SIASA

SIASA

Habari za Siasa

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA (CCM) HUMPHREY POLEPOLE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu …

Read More »

SHAKA AMFAGILIA JAFO NA KUNIKUNI KISARAWE

jaff (1)

   Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka  akiwa na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo katika ufungaji wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kurui.        Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka  akivishwa skafu wakati …

Read More »

NAPE AFUNGUKA AKIMNADI DK. NDUMBARO ADAI KAMWE HATA IHAMA CCM

Nape

Nape akibadilishana mawazo na Dk. Ndumbaro Na Gideon Mwakanosya-Songea MBUNGE wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi Nape Nnauye amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kukihama chama cha mapinduzi (CCM) kama baadhi ya watu wakiwemo wa vyama vya upinzani  kwa kile alichodai kuwa  magari ya upinzani yanaenda kuzama na hayajulikani yataibuka …

Read More »

KAMPENI ZA CCM KATA YA KURUI KISARAWE ZAPAMBA MOTO.

index

Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo akimnadi Mgombea udiwani kata ya Kurui Kunikuni. ………………………………………………………………….. Kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kurui wilaya ya Kisarawe  zimeendelea kupamba  moto ambapo leo Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo amemnadi mgombea …

Read More »

CCM YATEUA WAGOMBEA SIHA NA KINONDONI, WALIOKUWA WABUNGE WA CUF NA CHADEMA NA KUJITOA WAPITISHWA KUGOMBEA KWA TIKETI YA CCM

CaiQtS3W8AApRAK

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAARIFA KWA UMMA WA WANACHAMA UCHAGUZI WA MARUDIO KATIKA KATA NNE ZA MANZASE (CHAMWINO), KIMAGAI (MPWAPWA), ISAMILO (MWANZA) NA MADANGA (PANGANI) PAMOJA NA MAJIMBO YA SIHA (KILIMANJARO) NA KINONDONI (DAR ES SALAAM) ____________________ Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wanachama wa CCM kuwa kimepokea …

Read More »

ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO, JANA

1. BN646425

  Bashir Nkoromo  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya UbungoLucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally  Mwenyekiti …

Read More »

UVCCM YAPONGEZA MIRADI YA AFYA TABORA

nzega26

Na Mwandishi wetu,Tabora    Umoja wa Vijana wa CCM umesema umeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya afya inayotokana na ahadi katika ilani ya uchaguzi katika halmshauri za wilaya mji  wa Nzega na Nzega vijijini mkoani Tabora.    Pia Umoja huo umeeleza kikubwa kasi hiyo inatokana na kuwepo kwa …

Read More »

KOMBA KUANZA NA UHAKIKI WA MALI ZA UVCCM MANYARA

IMG-20171228-WA0003

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Manyara, Mosses Komba akizungumza kwenye kikao cha Baraza la UVCCM Wilayani Hanang. Mbunge wa Jimbo la Hanang’ Mkoani Manyara, Dkt Mary Nagu akizungumza kwenye kikao cha Baraza la UVCCM Wilayani Hanang. Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Manyara, Mosses Komba (wa pili kushoto) baada ya kusimikwa kuwa mzee …

Read More »

MWENYEKITI WA CCM PWANI ASEMA WAPINZANI HAWANA SAFARI 2019-2020

IMG-20171228-WA0020

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM)Mkoani Pwani Ramadhan Maneno ,akizungumza kwenye sherehe za kumpongeza kushika nyadhifa hiyo ,iliyoandaliwa na CCM kata ya Bwilingu jimbo la Chalinze. Mwakilishi mkutano mkuu wa mkoa wa Pwani ,Imani Madega, akizungumza kwenye sherehe za kupongezwa kuchaguliwa kwa uongozi Mpya wa CCM Mkoani hapo ,iliyoandaliwa na CCM …

Read More »

MWENYEKITI UVCCM AKERWA NA MAKUNDI,MAJUNGU

kheri12

Na Mwashungi Tahir,Maelezo Zanzibar    VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, wametakiwa kujiepusha na tabia ya majungu na makundi ambayo yanaweza kuhatarisha uhai wa chama. Akizungumza katika mapokezi ya uongozi mpya wa Umoja wa Vijana Taifa wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mwenyekiti wa wa Umoja Kheir Denis James katika makao makuu …

Read More »

George Weah ashinda Urais Liberia

wear

Mwanasoka wa zamani wa Klabu za Ac Milan, Monaco, PSG, Manchester City na mshindi wa Tuzo ya Ballon d’Or 1995  George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia mara baada ya kushinda majimbo 12 kati ya 15 kwenye nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Kwa kupitia ukurasa wake wa Twitter amewashukuru watu …

Read More »

KABAKA ASISITIZA KUONGEZA WANACHAMA WAPYA KWANI NDIO MTAJI WA UWT NA CCM

IMG_20171222_170602

Mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake(UWT)Taifa,Gaudentia Kabaka akivishwa skafu baada ya kuwasili viwanja vya ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kibaha Mjini ,ambapo alipokea wanachama wapya 750 wa jumuiya hiyo Mkoani hapo. Mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake(UWT)Taifa,Gaudentia Kabaka akisalimia na baadhi ya wanachama wa jumuiya hiyo wilayani Kibaha na Mkoa wa Pwani …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE CONVETIONAL CENTRE MJINI DODOMA

6

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi …

Read More »