Thursday , December 14 2017

Home / SIASA (page 2)

SIASA

Habari za Siasa

UWT NGAZI ZA MIKOA Z’BAR WAFANYA UCHAGUZI LEO

IMG_0086

Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akifungua mkutano mkuu wa UWT Mkoa wa kaskazini Unguja. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa wa Kaskazini Unguja Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akipiga kura katika Mkutano Mkuu …

Read More »

WATUMISHI WA CCM WASISITIZWA KUISOMA KATIBA YA CCM 1977

DSC_0977

Mkufunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Afisi Kuu CCM Zanzibar,  Salum Khatib Reja akitoa ufafanuzi wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977. ……….. Na Is-haka Omar, Zanzibar. WATUMISHI na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar  wameshauriwa  kuzisoma, kuzielewa na kuzifanyia kazi kwa vitendo Katiba ya CCM ya mwaka …

Read More »

CCM YAHITIMISHA KAMPENI ZAKE KATA YA CHIPOGORO KWA KISHINDO

IMG_0163

Wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa katika mkutano wa kufunga kampeni Za Uchaguzi mdogo wa kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za CCM kwenye mkutano wa kampeni Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene akizungumza katika mkutano wa kufunga kampeni kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za …

Read More »

CCM ZANZIBAR YAWATAKA WATUMISHI WAKE KUBUNI MIKAKATI ENDELEVU YA KIMAENDELEO NDANI YA CHAMA KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,KIJAMII NA KISIASA

DSC_1019

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na washiriki wa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo Watumishi wa  Afisi Kuu CCM Zanzibar Kisiwandui Unguja. Baadhi ya Watumishi wa CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo. ………… Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka watumishi …

Read More »

MH. EMMERSON MNANGAGWA AAPISHWA RASMI LEO KUSHIKA MADARAKA KAMA RAIS WA ZIMBABWE

mnangagwa1

Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana kwenye uwanja wa michezo wa Harare nchini Zimbabwe. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa na mkewe  Auxillia wakiwasili uwanjani kabla ya kuapishwa leo mchana. ……………………………………………………………………. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana huu na hivyo kuhitimisha …

Read More »

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO NA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUFANIKISHA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

DSC_0036-2

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (Kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidi wa Uchaguzi Katika Manispaa ya Moshi 20.11.2017. Kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mtibora Selemani. …………… Na Clarence Nanyaro – NEC Mwenyekeiti wa Tume ya Taifa …

Read More »

Rais Robert Mugabe amejiuzulu

index

SOURCE BBC Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Spika wa bunge Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka kulingana na chombo cha habari cha reuters. Tangazo …

Read More »

NUKUU YA MAMBO 19 YALIYOZUNGUMZWA KWENYE KIKAO CHA NEC IKULU LEO

index

Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam. Mbali na Katambi makada wengine wa CHADEMA …

Read More »

MBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE

MGAYA 2

  Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Katikati Mstari wa Mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.  Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Mbele) akiwa na …

Read More »

CHALAMILA AMNADI BARAKA KIMATA KWA WANANCHI WA KATA YA KITWIRU

IRINGA

Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Albert Chalamila akiwa jukwaani na mgombea udiwani kupitia chama hicho Baraka Kimata katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa  Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Albert Chalamila akiwa jukwaani na mgombea udiwani kupitia chama hicho  Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza mgombea udiwani wa …

Read More »

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho.

NJE

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 14 Novemba 2017, katika Ikulu ya nchi hiyo. Mhe. Balozi Chana  akizungumza na Mhe. Rais Faure ambapo Serikali ya …

Read More »

Chama cha Zanu-PF kimemfuta Mugabe kama Kiongozi wake

MUGABE-660x371

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF kimefuta Robert Mugabe kama kiongozi wake. Kimemteua aliyekuwa makamu wa rais Emmerson Mnangagwa ambaye alifutwa wiki mbili zilizopita kama kiongozi wake. Kufutwa kwa Bw. Mnangawa kumezua mambo mengi huku jeshi likitwaa madaraka na kumzuia Mugabe 93, kumteua mke wake Grace kama makamu wa rais. Waandamanaji …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA LEO BUNGENI DODOMA

1847-Spika

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa …

Read More »

MAJALIWA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE

PMO_8594

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha kikao cha Tisa cha Bunge, bungeni Mini Dodoma Novemba 17, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha kikao cha bunge, bungeni mjini Dodoma November 17, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Read More »

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017

1363-Spika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri …

Read More »