Wednesday , January 17 2018

Home / SIASA (page 3)

SIASA

Habari za Siasa

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo majimbo 3 na kata 6

MAKAMU

Hussein Makame-NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mdogo katika majimbo ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini na kata sita za Tanzania Bara ambao utafanyika tarehe 13 Januari mwaka 2018. Akitoa taarifa kwa umma jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa NEC, Mhe. Jaji Mkuu …

Read More »

WEMA SEPETU ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KUREJEA CCM

Wema CCM

Mrembo na muigizaji wa Bongo Muvi, Wema Sepetu ametangaza kurejea kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya uwepo wa tetesi hizo kwa siku kadhaa. Wema ambaye alitangaza kuihama CCM na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kupata misukosuko ya tuhuma za matumizi ya madawa ya kulevya, ametangaza …

Read More »

UVCCM MIKOA YA ZANZIBAR LEO WAFANYA UCHAGUZI

IMG_0955

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, uliofanyika katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini iliyopo Mahonda. …

Read More »

JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA GEITA YACHAGUA MWENYEKITI MPYA

DSC_0536

Wajumumbe wa Jumuiya ya wazazi wakiwa kwenye mstaari kwaajili ya kupiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa Geita na wajumbe.   Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Geita ambaye amemaliza muda wake,Doto Biteko akiwashukuru wajumbe kwa ushirikiano ambao walimpatia wakati wa uongozi wake.   …

Read More »

UWT NGAZI ZA MIKOA Z’BAR WAFANYA UCHAGUZI LEO

IMG_0086

Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akifungua mkutano mkuu wa UWT Mkoa wa kaskazini Unguja. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa wa Kaskazini Unguja Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akipiga kura katika Mkutano Mkuu …

Read More »

WATUMISHI WA CCM WASISITIZWA KUISOMA KATIBA YA CCM 1977

DSC_0977

Mkufunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Afisi Kuu CCM Zanzibar,  Salum Khatib Reja akitoa ufafanuzi wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977. ……….. Na Is-haka Omar, Zanzibar. WATUMISHI na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar  wameshauriwa  kuzisoma, kuzielewa na kuzifanyia kazi kwa vitendo Katiba ya CCM ya mwaka …

Read More »

CCM YAHITIMISHA KAMPENI ZAKE KATA YA CHIPOGORO KWA KISHINDO

IMG_0163

Wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa katika mkutano wa kufunga kampeni Za Uchaguzi mdogo wa kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za CCM kwenye mkutano wa kampeni Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene akizungumza katika mkutano wa kufunga kampeni kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za …

Read More »

CCM ZANZIBAR YAWATAKA WATUMISHI WAKE KUBUNI MIKAKATI ENDELEVU YA KIMAENDELEO NDANI YA CHAMA KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,KIJAMII NA KISIASA

DSC_1019

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na washiriki wa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo Watumishi wa  Afisi Kuu CCM Zanzibar Kisiwandui Unguja. Baadhi ya Watumishi wa CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo. ………… Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka watumishi …

Read More »

MH. EMMERSON MNANGAGWA AAPISHWA RASMI LEO KUSHIKA MADARAKA KAMA RAIS WA ZIMBABWE

mnangagwa1

Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana kwenye uwanja wa michezo wa Harare nchini Zimbabwe. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa na mkewe  Auxillia wakiwasili uwanjani kabla ya kuapishwa leo mchana. ……………………………………………………………………. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana huu na hivyo kuhitimisha …

Read More »

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO NA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUFANIKISHA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

DSC_0036-2

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (Kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidi wa Uchaguzi Katika Manispaa ya Moshi 20.11.2017. Kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mtibora Selemani. …………… Na Clarence Nanyaro – NEC Mwenyekeiti wa Tume ya Taifa …

Read More »

Rais Robert Mugabe amejiuzulu

index

SOURCE BBC Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Spika wa bunge Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka kulingana na chombo cha habari cha reuters. Tangazo …

Read More »

NUKUU YA MAMBO 19 YALIYOZUNGUMZWA KWENYE KIKAO CHA NEC IKULU LEO

index

Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam. Mbali na Katambi makada wengine wa CHADEMA …

Read More »

MBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE

MGAYA 2

  Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Katikati Mstari wa Mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.  Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Mbele) akiwa na …

Read More »