Wednesday , January 17 2018

Home / SIASA (page 5)

SIASA

Habari za Siasa

WAGOMBEA UDIWANI WA CCM WAREJESHA FOMU DAR, LEO

1. BN647757

 Wagombea Udiwani wa CCM katika Uchaguzi wa marudio katika Kata ya Saranga Wilayani Ubungo na Kata ya Kijichi wilayani Temeke leo wamerudisha fomu zao kwa wasimamizi wa uchaguzi katika kata hizo kwa kishondo huku wakisindikizwa na viongozi kadhaa ya wa CCM wakiongozwa ana Katibu wa CCM mkoa wa Dar es …

Read More »

ALHAJ SHARIF-CCM BAGAMOYO KUUNDA BARAZA LA WAZEE MAKADA NA AMEAGIZA KATA ZIUNDE MABARAZA HAYO

SAM_6449

MWENYEKITI mpya wa chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Bagamoyo,mkoani Pwani,alhaj Abdul Sharif akizungumza na baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama,madiwani na wanachama ,ambao hawaonekani pichani huko Lugoba jimbo la Chalinze. Picha na Mwamvua Mwinyi ……………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MWENYEKITI  mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bagamoyo ,alhaj Abdul Sharif ,anatarajia …

Read More »

KIKAO CHA BARAZA KUU UWT TAIFA CHAFANYIKA KWA KISHINDO MJINI DODOMA

BN648668

 Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Idara ya Oganaizesheni Pereila Silima wakiwasili ukumbini tayari kwa ajili ya kusimamia Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, …

Read More »

KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA

2. BN648958

Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni  Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho …

Read More »

CCM ZANZIBAR YATAKA PEMBEJEO WANAZOPEWA WAKULIMA ZIWE NA VIWANGO.

2 (1)

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi akiwahutubia wakulima na wananchi katika uzinduzi wa kilimo cha mpunga bonde la mahekani huko Kizimbani Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi akizindua kilimo cha mpunga kwa kuendesha Tirekta akiashiria kuanza kwa shughuli za kilimo hicho …

Read More »

WANACHAMA 113 WAJITOKEZA KUWANIA UENYEKITI UVCCM

picccm-1

Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) 113 kutoka bara na visiwani wamejitokeza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu, idadi ambayo haijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwa umoja huo. Kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na Mbunge wa Donge …

Read More »

BOLIZOZO -VIONGOZI NDANI YA CCM TUFUATE MIIKO NA MAADILI YA UONGOZI

SAM_6147

Katibu muenezi CCM Bagamoyo ,John Francis Bolizozo ,wa kwanza kulia (pichani) Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo KATIBU mwenezi wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bagamoyo ,John Francis (Bolizozo),amewataka viongozi wa chama kuanzia ngazi ya chini ,kufuata maadili na miiko ya kiungozi katika utekelezaji wa majukumu yao ili kukijengea sifa chama. Aidha …

Read More »

Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya

index

                                                      Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya                                                          ……………………………………………………………                                                              SOURCE   http://www.bbc.com/swahili/habari-41568233 Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa …

Read More »

CHADEMA MANISPAA YA IRINGA WAPATA PIGO TENA

kitu

   Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi  CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya akizungumza na wanachama wa chama hicho wakati wa kuwapokea wanachama wapya kutoka chama cha demokrasia na maendeleo manispaa ya Iringa akiwa sambamba na viongozi wa chama katika ofisi za CCM wilaya  pale sabasaba.  Edwin bashir ni katibu wa …

Read More »

DK.MABODI ATOA NASAHA NZITO KWA MAKADA WA CCM

106 (3)

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akifungua Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”  huko Mahonda katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo. Baadhi ya Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”  wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi Naibu Katibu …

Read More »

ABULSHARIF-NITAPIGANIA MALI ZA CCM BAGAMOYO /TUONDOKANE NA KUWA OMBAOMBA

SAM_6129

mwenyekiti Mpya wa CCM Bagamoyo, alhaj Abdulsharif Zahoro akiwa amepokelewa kata ya Kisutu ,ambako ndipo alipozaliwa na kukua kisiasa. Picha zote na Mwamvua Mwinyi …………… Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MWENYEKITI mpya wa chama cha mapinduzi (CCM) wilayani Bagamoyo ,alhaj Abdulsharif Zahoro ,amesema atahakikisha anasimamia mali na vitega uchumi vya chama ili …

Read More »

CUF kusimamisha Wagombea Uchaguzi Mdogo wa Madiwani

COVER-660x400

Chama cha Wananchi (CUF) leo kimetangaza nafasi za wagombea wa ngazi ya madiwani katika kata 43 za Tanzania Bara baada ya Tume ya Uchaguzi (NEC) kutangaza kuwa kampeni za Uchaguzi huo zitaanza tarehe 27 Octoba mwaka huu, …………………………………………………………………. Akitangaza nafasi hizo za wagombea Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi CUF …

Read More »

GORA MWENYEKITI CCM WILAYA KONDOA ILA UCHAGUZI WAGUBIKWA NA RUSHWA

index

Na Mahmoud Ahmad Kondoa Mwenyekiti wa CCM aliemaliza mda wake Othman Gora ametetea kiti chake baada ya kuwabwaga wagombea wenzake kwa kura 676 sawa na asililimia 76 ya kura zote 1092 zilizopigwa katika uchaguzi ambao siku mbili kabla ya uchaguzi huo viongozi walionekana wakitoa rushwa za wazi kwa wajumbe ilikujipanga …

Read More »

CCM Z’BAR YAFANYA UCHAGUZI WA NGAZI ZA WILAYA LEO

01

Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Mabodi akifungua mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya  Kaskazini “A”  kichama katika uchaguzi wa Wilaya  uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM MKoa wa kaskazini Unguja Mahonda. Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akifungua mkutano Mkuu wa CCM Wilaya …

Read More »

MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU CCM WILAYA

mavunde (1)

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza katika mkutano Mkuu wa uchaguzi CCM wilaya ya Dodoma mjini. Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi CCM wilaya waliohudhuria Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Dodoma mjini aliyemaliza muda wake Paulo Luhamo akifungua mkutano Mkuu wa uchaguzi leo. Mbunge wa jimbo la …

Read More »

NEC YATANGAZA TAREHE YA KUFANYIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KATA 43

KAZ4

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 kuwa utafanyika Novemba 26 mwaka huu. Mwenyekiti wa NEC  Jaji  Semistocles  Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu, kutohudhuria vikao na wengine ushindi …

Read More »

MANGULA NA KIONGOZI WA PALESTINA

BN643346

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula akizungumza na Naibu Namishina wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (FATAH) Dk. Uri Davis, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 3, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM- Taifa) RAIS MHE: DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM-TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

11

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano huo  jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama …

Read More »