Thursday , December 13 2018

Home / Teknolojia

Teknolojia

Hbari za Teknolojia.

NAIBU WAZIRI MAWASILIANO AFASHASTA,AZINDUA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI ARUSHA

SUMATRAAA

Na Mahmoud Ahmad Arusha Naibu waziri wa mawasiliano na uchukuzi  Afashasta Nditie amezindua Mkutano mkuu wa kujadili mfumo wa Anuani za makazi uliofanyika mkoani Arusha ambao umewakutanisha  wadau mbali mbali wa mawasiliano kutoka barani Africa . Akizungumza na wadu hao Naibu waziri Nditie amesema  kuwa   mfumo huo kwa hapa nchini  upo vizuri na anaamini kuwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TUME YA TAIFA YA TEHAMA NA TCRA

IMG_4034

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela (katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Clarence Ichwekeleza, alipowasili ofisini hapo katika ziara yake ya kutembelea tume hiyo jijini Dar …

Read More »

ZANZIBAR KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA NDEGE

02

MAOFISA kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar wakikagua eneo linalotarajiwa kujengwa kiwanja cha ndege huko Kigunda Jomba Mkoa wa Kaskazini Unguja. ……………………………………………………………. Na Salum Vuai, MAELEZO SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar iko katika maandalizi ya ujenzi wa kiwanja kipya kidogo cha ndege kitakachosaidiana na kile cha Abeid Amani Karume kilichoko …

Read More »

Heko Makonda, Dar es Salaam ya viwanda inawezekana

index

Benjamin Sawe-Maelezo Sekta ya Viwanda na Biashara hutoa ajira kwa asilimia 62 ya wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.  Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya wakazi 4,364,541 kati yao watu wenye umri wa kufanya kazi (miaka 15 – 64) ni asilimia 66.3 (2,893,691); wengi wao wanafanya kazi …

Read More »

Prof. Muhongo azindua Mafunzo ya taa, chaja za mionzi ya jua

mad1

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akionesha mfano wa Taa zinazotumia mionzi ya jua ambazo vijana 20 katika Kata ya Nyegina watafundishwa namna ya kuzitengeneza baada ya kuzindua mafunzo hayo. Kulia ni Balozi wa Korea Kusini nchini, Song Geumyoung na kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo Dkt. …

Read More »

Wanawake 47 wahitimu mafunzo ya ukataji na ung’arishaji Vito.

WAR2

Mkufunzi Msaidizi katika Kituo cha Jemolojia Arusha, (TGC), Lilian Petro (wa kwanza kulia) akionyesha madini ya vito yaliyong’arishwa na wanafunzi wanaopata mafunzo katika Kituo hicho kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini. Wa Pili kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito (TANSORT), Archard …

Read More »

CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2017/2018

tanzania

INTRODUCTION Applications are invited from committed, motivated and qualified Tanzanians to apply for postgraduate studies in the one of China’s best Oil and Gas Universities – the China University of Geosciences (Wuhan). Sponsorship will be in the fields of oil and gas. The scholarships will be processed in collaboration with …

Read More »

Wanafunzi SAUT wafanya ziara ya mafunzo TBL Mbeya

sau2

Wanafunzi wa SAUT wakiingia katika eneo la kiwanda Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya upimaji wa viwango vya bia katika maabara ya kiwanda kutoka kwa Fundi wa maabara,Sylivester George Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya Usalama wakati wa ziara hiyo Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya taratibu za uzalishaji unavyofanyika kiwandani hapo kutoka kwa Afisa wa …

Read More »

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Vinywaji cha Azam

kiw3

Wataalam kutoka Tume ya Mipango wakimsikiliza Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi wakati wa ziara ya Tume ya Mipango katika kiwanda cha uzalishaji wa vinywaji kilichopo eneo la Mwandege Mkoani Pwani. Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi (aliyevaa koti jeupe) akiwaonesha maofisa wa ukaguzi wa miradi …

Read More »

Tanzania ya Viwanda; NSSF, PPF waanza kutekeleza ujenzi wa kiwanda cha sukari.

pp5

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu,  Jenister Mhagama (kushoto) na Waziri wa Fedha na Mpango, Dr. Phillip Mpango (katikati) wakijadili masuala pamoja na wakurugenzi wakuu wa mifuko hifadhi ya jamii ya NSSF na PPF,  Profesa Godius Kahyarara na Bw.William Erio pamoja na Mbunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Omari Mgumba (kulia) kuhusiana na mradi …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA YA KULA CHA MERU

jal4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akionyeshwa mafuta  ya kula na Mkurugenzi wa Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal  (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2016.  Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa …

Read More »

Shule ya msingi Bagamoyo yanufaika na msaada wa umeme wa jua wa Mobisol

sol3

Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mobisol katika hafla hiyo Wanafunzi wakishangilia kupata  nishati ya umeme Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya kutunza vifaavya umeme ambavyo vimetolewa na Mobisol Tanzania ………………………………………………………………………… Kaya 65,000 tayari zimeunganishwa kanda ya Afrika Mashariki   Kampuni ya kimataifa ya kusambaza umeme wa jua na …

Read More »

WAZIRI LWENGE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABOMBA NCHINI

kilu3

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge akiangalia aina ya bomba lililotumika kwenye mradi wa Ruvu Chini na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Tanzania Steel Pipes Limited, Nicolas Loh (kulia)  pamoja na Meneja Biashara, Ryan Koh. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge akiwa kwenye karakana ya kiwanda hicho. …

Read More »